Lowassa kutumia sh bilioni 70 kujenga gorofa 25 Dar City Centre!

Lowassa kutumia sh bilioni 70 kujenga gorofa 25 Dar City Centre!

Ameiba wapi Lowasa?anavyochafuliwa kama ameiba unadhani wangemuacha?

Che Nkapa alikopa NBC akanunua Kiwiri...........aaaah ! Mkasema kavunja Katiba, mwishowe mkamnyang'anya ! Sasa Leigwanani hajavunja Katiba ?
 
Nafikiri Lowasa hana utajiri tunao msingizia mbona hayumo kwenye list ya Fobes
 
Majitu mengine ni wivu tu unawasumbua Ulitaka ajenge muhindi au mwarabu malofa wana Shida sana
acheni mambo ya kike leta mada za maana siyo umbeya wa Hilo gazeti la Bernard membe dira
 
billioni70 ni ela ndogo sana kwa lowasa alikuwa anapokea na wenzake million 152 per day na inasemekana ana maela kibao kaficha uswisi,nawashangaa sana wanaomtetea na kumshabikia fisadi,mtoa rushwa na mwizi lowasa.
 
Ina maana ni sahihi kuhalalisha wizi kwa sababu tu mtu ana invest BONGo? kama lowasa allipwa mafao ya kustaafu sidhani kama yalifikia hata milioni mia. hata angekuwa ameweka mishahara yake yote na marupurupu asingefikisha robo bilioni. serikali makini inapaswa kuchunguza chanzo cha mapato ya mtu kama huyu na ku verify kama nia halai au la.
 
Gazeti la DIRA silielewi vizuri lakini lime quote mkataba kati ya Nyumba ya Sanaa na Integrated Property Investment (Tanzania) Limited. Pia nyaraka za BRELA zinaonesha kuwa Lowassa ndiyo mmiliki wa Integrated Property Investment (Tanzania) Ltd. Tujifunze kuwa open-minded na si kutetea watu tu. Tunapaswa kufuatilia jambo hili. Pia si jambo la siri kuwa Lowassa ana utajiri mkubwa sana wa mashaka kupitia kampuni yake ya Alphatel na nyinginezo
Huu ni ujinga,utajiri unakuwaje wa mashaka kama mtu ana kampuni yenye usajili halali kwa mujibu wa sheria za nchi???Wabongo bwana mmezidi umbeya na hamwelewi vitu rahisi tu!!!
 
mwacheni ajenge na mahela ambayo hayana chimbuko na cjui anayatolea wapi
 
Kwa mujibu wa gazeti la DIRA la leo toleo la Novemba 29 - Desemba 5, 2010, waziri mkuu wa zamani aliyejiuzulu kwa kashfa ya ufisadi ya Richmond, Edward Lowassa, amebomoa jengo la kihistoria la Nyumba ya Sanaa pale karibu na Movenpik Hotel Dar city centre na sasa atajenga gorofa 25 kwenye eneo hilo.

Kwa mujibu wa gazeti hilo, mradi huo utagharimu dola za kimarekani $45.5 million, sawa na takriban shilingi bilioni 70!.

Mradi huo wa jengo unajengwa kupitia kampuni ya Lowassa inayoitwa Integrated Property Investment (Tanzania) Limited.

Kuna tuhuma kuwa huu ni mradi wa kifisadi. Wasanii walilalamika mpaka Ikulu kwa Kikwete kujaribu kuzuia Nyumba ya Sanaa isivunjwe na kampuni ya Lowassa wakashindwa.

Kampuni hiyo ya Lowassa ndiyo iliyohusika na kashfa ya kununua nyumba huko London kwa karibu shilingi bilioni 1. Kwa mujibu wa gazeti la RAIA MWEMA la wiki iliyopita, mtoto wa Lowassa, Frederick, anachunguzwa na polisi wa Uingereza kutokana na kashfa hiyo.

* Je, Lowassa ambaye maisha yake yote amekuwa civil servant ametoa wapi 70bn/- kujenga gorofa hilo?

* TAKUKURU inasemaje kuhusu utajiri wa kutisha wa PM huyu wa zamani haswa baada ya yeye kuhusishwa na ufisadi wa Richmond na baadae TAKUKURU kumkosha?

* Huyu ndiye mtu anayetaka kuwa Rais baada ya Kikwete 2015 "by any means necessary" kwa kushirikiana na Rostam Aziz, Andrew Chenge, Nazir Karamagi, Yusuf Manji, Yusuf Makamba, Kingunge Ngombale Mwiru, etc. Nchi hii ya Mwalimu Julius Kambarage Nyerere itapona kweli?

Ndugu,laiti na wewe ungekuwa na akili kidogo tu ungeweza kujenga jengo hilo...cha kufanya ni kuanzisha kampuni yako ya biashara na kukopa fedha benki...elewa kuwa huwezi kumiliki mali kama hiyo kwa fedha zako za mfukoni hata ukitambika na ukawatoa ndugu zako wote kafara,au kwa kupiga porojo hapa JF.
 
Hii ni nondo ya mwaka 2010 leo imeibuliwa ngoja nisubiri mrejesho.
 
Kwa mujibu wa gazeti la DIRA la leo toleo la Novemba 29 - Desemba 5, 2010, waziri mkuu wa zamani aliyejiuzulu kwa kashfa ya ufisadi ya Richmond, Edward Lowassa, amebomoa jengo la kihistoria la Nyumba ya Sanaa pale karibu na Movenpik Hotel Dar city centre na sasa atajenga gorofa 25 kwenye eneo hilo.

Kwa mujibu wa gazeti hilo, mradi huo utagharimu dola za kimarekani $45.5 million, sawa na takriban shilingi bilioni 70!.

Mradi huo wa jengo unajengwa kupitia kampuni ya Lowassa inayoitwa Integrated Property Investment (Tanzania) Limited.

Kuna tuhuma kuwa huu ni mradi wa kifisadi. Wasanii walilalamika mpaka Ikulu kwa Kikwete kujaribu kuzuia Nyumba ya Sanaa isivunjwe na kampuni ya Lowassa wakashindwa.

Kampuni hiyo ya Lowassa ndiyo iliyohusika na kashfa ya kununua nyumba huko London kwa karibu shilingi bilioni 1. Kwa mujibu wa gazeti la RAIA MWEMA la wiki iliyopita, mtoto wa Lowassa, Frederick, anachunguzwa na polisi wa Uingereza kutokana na kashfa hiyo.

* Je, Lowassa ambaye maisha yake yote amekuwa civil servant ametoa wapi 70bn/- kujenga gorofa hilo?

* TAKUKURU inasemaje kuhusu utajiri wa kutisha wa PM huyu wa zamani haswa baada ya yeye kuhusishwa na ufisadi wa Richmond na baadae TAKUKURU kumkosha?

* Huyu ndiye mtu anayetaka kuwa Rais baada ya Kikwete 2015 "by any means necessary" kwa kushirikiana na Rostam Aziz, Andrew Chenge, Nazir Karamagi, Yusuf Manji, Yusuf Makamba, Kingunge Ngombale Mwiru, etc. Nchi hii ya Mwalimu Julius Kambarage Nyerere itapona kweli?

Unafuu mpaka viporo vilivyochacha / all n all Lowassa for PRESIDENCY 2015
 
Sasa mnataka hayo mahela yaende wapi? Wapewe wahindi waondoke nayo? Bora ajenge hapa hapa nchini
 
From the beggining, baba yake alikuwa mfanya biashara enzi za ukoloni na aliwekeza sana. wakati baba yako na baba yangu wakiwa wamelala, kwa hiyo utajiri ule kaukuta wala sio wake.
Zaidi alikuwa na akili ya kumtosha kuhamikisha kuwa mtaji ule aloachiwa anauzungusha vizuri ili uzae matunda ndio maana leo unashangaa kuona lowasa anachangia milion mia kadhaa ktk harambeee, katiaka vitabu vya mungu ukiwa mcha mungu na ukajituma mungu atakuzidishia ulichonacho.
Lowasa hana porojo, wakati watu wanamsema yeye hujichimbia mahali akiwa za jinsi ya kutafuta hela,

Tatizo tumekuwa na akili iliyo duwaa, hatuwezi kuwaza jinsi ya ujasiria mali tunakesha ktk mitandao kuwasema wenzetu ambao wanajituma.

Ni lini ulishawahi kuona watu wanojituma kutafuta wakikesha kuchati au kuongea na simu???
Ni nadra sana, they know how to manage time.
 
You are missing the point my friends. Is Lowassa a civil servant au multi-million dollar investor? Surely, he can't be both! The overriding question is, where does a person who spent all his career working as a civil servant get the money to invest in a $50m project? How can a civil servant afford to buy a 1 billion shilling apartment in the UK?

Have you tried getting a bank loan lately? Even if you have the best writtten business plan, they won't loan you even $100,000 let alone $4.5 million. You need to have some serious cash flow and millions of dollars in your name to get such kind of a loan.

This is a major scandal!


This is the Source of Income and 50ml us dollar is just a small amount !

[h=3]stolen from Tanzanians in Vodacom scandal[/h] In the elaborate scandal, Tanil’s company, Shivacom Group, printed millions of pirated 500 shillings electronic recharge vouchers (Jero Jero) between 2008 and 2012 and colluded with other companies owned by Fred Lowassa (Alphatel) and TIB Development Bank Managing Director Peter Noni (Planetel) to distribute the vouchers across Tanzania.
Fred Lowassa is the director of Alphatel, a Vodacom super dealer, while Noni, a former senior Bank of Tanzania (BoT) official, also owns another Vodacom super dealer, Planetel.


Together, Shivacom colluded with Alphatel and Planetel to carry out the massive fraud involving the production, distribution and sale of pirate electronic recharge vouchers worth over 675 billion shillings without Vodacom’s knowledge until the scam was unearthed in 2012.
There was also rampant tax evasion in the scandal with Value Added Tax (VAT) worth more than 121 billion shillings evaded by Shivacom and its conspirators, which is a serious criminal offence.
 
Kwa mujibu wa gazeti la DIRA la leo toleo la Novemba 29 - Desemba 5, 2010, waziri mkuu wa zamani aliyejiuzulu kwa kashfa ya ufisadi ya Richmond, Edward Lowassa, amebomoa jengo la kihistoria la Nyumba ya Sanaa pale karibu na Movenpik Hotel Dar city centre na sasa atajenga gorofa 25 kwenye eneo hilo.

Kwa mujibu wa gazeti hilo, mradi huo utagharimu dola za kimarekani $45.5 million, sawa na takriban shilingi bilioni 70!.

Mradi huo wa jengo unajengwa kupitia kampuni ya Lowassa inayoitwa Integrated Property Investment (Tanzania) Limited.

Kuna tuhuma kuwa huu ni mradi wa kifisadi. Wasanii walilalamika mpaka Ikulu kwa Kikwete kujaribu kuzuia Nyumba ya Sanaa isivunjwe na kampuni ya Lowassa wakashindwa.

Kampuni hiyo ya Lowassa ndiyo iliyohusika na kashfa ya kununua nyumba huko London kwa karibu shilingi bilioni 1. Kwa mujibu wa gazeti la RAIA MWEMA la wiki iliyopita, mtoto wa Lowassa, Frederick, anachunguzwa na polisi wa Uingereza kutokana na kashfa hiyo.

* Je, Lowassa ambaye maisha yake yote amekuwa civil servant ametoa wapi 70bn/- kujenga gorofa hilo?

* TAKUKURU inasemaje kuhusu utajiri wa kutisha wa PM huyu wa zamani haswa baada ya yeye kuhusishwa na ufisadi wa Richmond na baadae TAKUKURU kumkosha?

* Huyu ndiye mtu anayetaka kuwa Rais baada ya Kikwete 2015 "by any means necessary" kwa kushirikiana na Rostam Aziz, Andrew Chenge, Nazir Karamagi, Yusuf Manji, Yusuf Makamba, Kingunge Ngombale Mwiru, etc. Nchi hii ya Mwalimu Julius Kambarage Nyerere itapona kweli?[/QUOTE

CHEAP POLITICS,FOR CHEAP PEOPLE WITH SHALLOW BRAIN
 
swali: wafanyabiashara ambao sio lowassa wanapata wapi fedha zao halali? Mbona angejenga mwingine asingeulizwa? Haiwezekani kwa lowassa kufanya biashara halali?
 
Acheni mawazo mgando Lowasa anamiliki 30% ya voda com ambapo wewe kwa cm yako hata sasa unamchangia pesa kl seconds. Anaingiza tsh. 600m par day. Tubadilike sasa tumpe raisi tajiri tayari kwenda ikulu kuliko kumpa uraisi maskini na akitoka ikulu ni tajiri na familia yake km sasa na watoto kupewa ubunge kwa hila na hata mama anategemewa kuwa mbunge
 
Mwenye picha za hilo jengo aziweke maana ni miaka sasa.
 
Back
Top Bottom