Lowassa kutumia sh bilioni 70 kujenga gorofa 25 Dar City Centre!

Lowassa kutumia sh bilioni 70 kujenga gorofa 25 Dar City Centre!

Kamanda, mbona unaji contradict. Kwanza umsifie civil servant Lowassa kwa kuwa na unexplained wealth na sasa anachunguzwa UK kwa money laundering allegations. Halafu umpongeze mtu huyu kwa kuwekeza pesa zake za wizi hapa Tanzania, wakati huo huo unazungumzia zero tolerance kwa rushwa. Mbona unajichanganya wewe mwenyewe.

Mwizi wa kuku akikamatwa anapigwa mpaka anauwawa. Kwani mapato ya yule kuku wa wizi anayapeleka kwenye offshore bank account? Vile vile kwa wezi wa simu au majambazi wanaovamia nyumbani kwa watu. Mbona na hawa huwasifii?

Au useme tu you admire Lowassa. Sijaona hata kwenye post yako moja uki condemn utajiri wa mashaka wa Lowassa. Tutakuamini vipi tena kamanda?

Suala la mwizi wa kuku au simu kuuliwa na wananchi wenye hasira....linahitaji mjadala...binafsi naona hakuna haki yeyote kumuhukumu mtu bila kufuata sheria.....hukumu wanayotoa wananchin wenye hasira....inatokana na kuchoshwa na mfumo wa hakii.....
Lakini ni wazi watanzania wa leo ipo siku watawahukumu mafisadi kwa mfumo huu huu wa wezi wa kuku..."wananchi wenye hasira kali" .......mwalimu nyerere alipata kutuonya juu ya kuongezeka kwa pengo kubwa la masikini na wenye mali....

Nadhani wengi wameweza kunielewa ...msimamo wangu juu ya rushwa upo pale pale ....siipendi..!! hapo tuko pamoja ...!!!
Naomba ambao hawajanielewa waniambia sasa tunarudisha vipi pesa ambazo zimeibiwa ???? hao waingereza wenyewe kurudisha chenchi ya rada hadi leo wanasua....ndo tuwategemee.....? Lazima tuwe na mkakati .......wetu wenyewe.....
...pesa za EPA zilizoahidiwa kurudi hazijarudi......je tutumie aproach gani kurudisha mapesa yetu...????? kwani hadi sasa huo ni mjadala mkubwa afrika ..kuanzia Congo,congo brazaville,liberia,nigeria ..etc hata mbali zaidi IRAQ,India etc......kote huko wanapigania kurudisha mapesa waliyoibiwa toka kwenye mabenki ulaya bila mafanikio.......so what do we do??????....ndio maana msimamo wangu ni kuweka zero tolerance ..ili tusiibiwe tena...na pale na kwa zile pesa zilizopotelea nje ...lets put a blind eye watch approach ....wakati zinarudishwa taratibu ndani...tukifanya papara ..tutakosa kila kitu!!!!...aKILI ni nywele wazee.....hao wazungu wenyewe wanafanya blind watch approach wakati black money zinapotoka mataifa mbali mbali kwenda kwao.....pamoja na anti money laundering law kuwepo ...mbona hawazirudishi...wanajifanya hawaoni kwa sababu zinaenda kukuza uchumi wao........wakishachuma ndio wanatuambia viongozi wenu wana pesa ....na bado hawazirudishi....unyonyaji mtupu!!
 
Kama ana-invest hapahapa Bongo haina shida. Mwache aendelee. Wanaoniudhi na Rostam na Manji wanao-invest nje ya nchi. Hao ndiyo wa kufa nao.
Watukumbuke basi na sisi wa Kimara,mbezi,kibamba,bonyokwa n.k hata kwa barabara na maji,kinachotia hasira haya manyang'au yanakwiba kodi zetu hatimaye tunaishi maisha magumu hakuna mfano....
 
Huwezi kuisemea kila benki kuhusu kukopesha, ninachojua unakopa tokana na dhamana uliyo nayo, lakini pia niwambie si bemki tu zinazokopesha hata mashirika ya kijamii ndani na nje ya nchi. Mnalalamika vijana hamna kazi na EL kila leo analia na vijana kutokuwa na kazi, anajaribu kuongoza kwa mfano akiwa mzalendo anayejaribu ku=invest nchini mwake na mwako mitambo ya maneno kibao. N a unajuaje kama kama kaingia ubia na makampuni makubwa ili vikana mpate ajira au mnasubiri kijarida cha DIR kiwaambie, hovyoooo. Maskini ni maskini tu, wakati mwingine sishangai mmezaliwa maskini na bado mnadhani umaskini ndio maisha piga ua, hamfikrii mtu mzalendao kama EL anayejaribu kutengeneza fursa za ajira kwa vijana kama mtu mwenye vission wakati mnamsikia kila wakati anavyolia na ajira kwa vijana. Najua hawezi kupendwa na kila mtu kama wewe usivyopendwa na kila mtu bila kujiuliza sababu, lakini mnyonge mnyongeni haki yake mpeni. EL IS THE BEST
 
Kwa mujibu wa gazeti la DIRA la leo toleo la Novemba 29 - Desemba 5, 2010, waziri mkuu wa zamani aliyejiuzulu kwa kashfa ya ufisadi ya Richmond, Edward Lowassa, amebomoa jengo la kihistoria la Nyumba ya Sanaa pale karibu na Movenpik Hotel Dar city centre na sasa atajenga gorofa 25 kwenye eneo hilo.

Kwa mujibu wa gazeti hilo, mradi huo utagharimu dola za kimarekani $45.5 million, sawa na takriban shilingi bilioni 70!.

Mradi huo wa jengo unajengwa kupitia kampuni ya Lowassa inayoitwa Integrated Property Investment (Tanzania) Limited.

Kuna tuhuma kuwa huu ni mradi wa kifisadi. Wasanii walilalamika mpaka Ikulu kwa Kikwete kujaribu kuzuia Nyumba ya Sanaa isivunjwe na kampuni ya Lowassa wakashindwa.

Kampuni hiyo ya Lowassa ndiyo iliyohusika na kashfa ya kununua nyumba huko London kwa karibu shilingi bilioni 1. Kwa mujibu wa gazeti la RAIA MWEMA la wiki iliyopita, mtoto wa Lowassa, Frederick, anachunguzwa na polisi wa Uingereza kutokana na kashfa hiyo.

* Je, Lowassa ambaye maisha yake yote amekuwa civil servant ametoa wapi 70bn/- kujenga gorofa hilo?

* TAKUKURU inasemaje kuhusu utajiri wa kutisha wa PM huyu wa zamani haswa baada ya yeye kuhusishwa na ufisadi wa Richmond na baadae TAKUKURU kumkosha?

* Huyu ndiye mtu anayetaka kuwa Rais baada ya Kikwete 2015 "by any means necessary" kwa kushirikiana na Rostam Aziz, Andrew Chenge, Nazir Karamagi, Yusuf Manji, Yusuf Makamba, Kingunge Ngombale Mwiru, etc. Nchi hii ya Mwalimu Julius Kambarage Nyerere itapona kweli?

sawa kabisa,lowasa atafaa sana kuwa rais wa tz.huu mtindo wa kuchagua viongozi masikini ni hatari kwa kuwa huja kuwa na tamaa ya kujilimbikizia mali mf.kikwete,riz 1,maige,ngeleja nk.
 
Akheri hata huyu anawekeza nyumbani kuna watu watapata ajira kujenga ,hela zitaingia kwenye mzunguko wa uchumi wetu , sasa hao wamezificha uswisi aisee hao wanatakiwa kunyongwa tu kama china ,
 
inawezeka gazeti likawa lina mchafu tu ila tusubiri majibu kutoka kwake atakapo kubali ndo tuanze kuquestion
 
Kwa mujibu wa gazeti la DIRA la leo toleo la Novemba 29 - Desemba 5, 2010, waziri mkuu wa zamani aliyejiuzulu kwa kashfa ya ufisadi ya Richmond, Edward Lowassa, amebomoa jengo la kihistoria la Nyumba ya Sanaa pale karibu na Movenpik Hotel Dar city centre na sasa atajenga gorofa 25 kwenye eneo hilo.

Kwa mujibu wa gazeti hilo, mradi huo utagharimu dola za kimarekani $45.5 million, sawa na takriban shilingi bilioni 70!.

Mradi huo wa jengo unajengwa kupitia kampuni ya Lowassa inayoitwa Integrated Property Investment (Tanzania) Limited.

Kuna tuhuma kuwa huu ni mradi wa kifisadi. Wasanii walilalamika mpaka Ikulu kwa Kikwete kujaribu kuzuia Nyumba ya Sanaa isivunjwe na kampuni ya Lowassa wakashindwa.

Kampuni hiyo ya Lowassa ndiyo iliyohusika na kashfa ya kununua nyumba huko London kwa karibu shilingi bilioni 1. Kwa mujibu wa gazeti la RAIA MWEMA la wiki iliyopita, mtoto wa Lowassa, Frederick, anachunguzwa na polisi wa Uingereza kutokana na kashfa hiyo.

* Je, Lowassa ambaye maisha yake yote amekuwa civil servant ametoa wapi 70bn/- kujenga gorofa hilo?

* TAKUKURU inasemaje kuhusu utajiri wa kutisha wa PM huyu wa zamani haswa baada ya yeye kuhusishwa na ufisadi wa Richmond na baadae TAKUKURU kumkosha?

* Huyu ndiye mtu anayetaka kuwa Rais baada ya Kikwete 2015 "by any means necessary" kwa kushirikiana na Rostam Aziz, Andrew Chenge, Nazir Karamagi, Yusuf Manji, Yusuf Makamba, Kingunge Ngombale Mwiru, etc. Nchi hii ya Mwalimu Julius Kambarage Nyerere itapona kweli?
Ndugu yangu JK Nyerere akifufuka hivi sasa atalia saana, nchi hii mafisadi sasa wanatamba, wanafanya kila kitu hakuna wa kuwasema wala kuwakemea!!!! Mheshimiwa Zito kaleta swala la mabilion yaliyofichwa huko Uswiss kaonekana kama anacheza mdundiko spika hataki kabisa kusikia watu wakitajwa kuhusika na ufisadi!!! Wao wenyewe ndio wabunge ,mawaziri , makatibu wakuu sasa nani atawasema mbona Watanzania woote tumenywea kimyaaaa????

 
sawa kabisa,lowasa atafaa sana kuwa rais wa tz.huu mtindo wa kuchagua viongozi masikini ni hatari kwa kuwa huja kuwa na tamaa ya kujilimbikizia mali mf.kikwete,riz 1,maige,ngeleja nk.
Wewe umerogwa nini na Lowasa??? Huyo Lowasa kajilimbikizia mali sijui kama zingine anazijua, London mahoteli, Arusha Tour COs (Leopard CO) Mjumba makubwa mahorofa sasa unaona anavunja hata jumba la sanaa ili ajenge majumba, anategemea huyo mtu aliwa mkubwa TZ itakuwaje???

 
Ni kweli, wafanyabiashara wote mara nyingi hukopa benki ili kutekeleza miradi mikubwa kama hii. Lakini benki haiwezi kukukopesha wewe pesa nyingi kama hii ya $45.5 million mpaka uwe mfanyabiashara mkubwa na una cash flow ya kutisha. Swali linabaki pale pale, utajiri huu ameutoa wapi huyu civil servant? Pia inaelekea kuna ufisadi kwenye mkataba wenyewe na Nyumba ya Sanaa.
hUYU uRAISI ATAUPATA TUU. natilia mashaka sana kwa serikali ya Iran kuweza kuweka kibaraka hapa Tanzania. walishindwa kwa mara ya kwanza lakini mara ya pili hawatashindwa tena. Ukona rushwa zinatisha katika uchaguzi ndani ya CCM, basi wewe lazima ujua kuna taifa la koiarabu tayari limeisha pata kibaraka. hawa waasia wanaotoa toa pesa hovyo, najua kabisaa si zao.

Kuna wakati muasia mmoja aliwahi kudanganya taifa kuwa kuwa katoa shilingi milion 443 kugharimia uchaguzi wa UVCCM. Msikaji hizo zilikuwa pesa za Irani tuu na tunajua sababu yake ilikuwa ni nini. Nasema na kuhakikishi watu, tujihadhali na kuwekewa raisi kibaraka hapa nchini.
 
Intergrated properties ni kampuni ya wasomali iliyosajiliwa uk. Hizo pesa ni za ransom na haziusiani na mh. Lowassa.
 
Naona huu mradi tayari umeshaanza. Mtu akipita pale ni vizur akapiga picha bango lenye building permit na vitu vingine tuone client ni nani!
 
Ni kweli, wafanyabiashara wote mara nyingi hukopa benki ili kutekeleza miradi mikubwa kama hii. Lakini benki haiwezi kukukopesha wewe pesa nyingi kama hii ya $45.5 million mpaka uwe mfanyabiashara mkubwa na una cash flow ya kutisha. Swali linabaki pale pale, utajiri huu ameutoa wapi huyu civil servant? Pia inaelekea kuna ufisadi kwenye mkataba wenyewe na Nyumba ya Sanaa.
Hapo penye red umenena si benki tu hata PRIDE hawezi kukuposhe hela ya kupikia chapati kama huonyeshi jinsi ya mwendelezo wa marejesho yako na benki haikopeshi kila mtu hata ukiwa na akaunti hadi waone mzunguko wa fedha zako,jinsi ya unavyokuwa na hela nyingi ndio hata mkopo unapata mkopo mkubwa sasa wewe una tumiloni twako 10 usitarajie kama utapata hata milioni 50,kwa hiyo kwa huo kopo mkubwa inaamanisha jamaa pia na fweza za kufa mtu katika hizo benki alikokopa.na wengine hutumia kujifanya kukopa fedha benki ili iwe danganya toto kwa wadaku mkihoji,au mumesahau ya Majige
 
KAUMZA Mkuu wewe ndio mzushi hasa kuzidi magazeti, magazeti yamefichua tuhuma nyingi tuu kila kukicha kwa nini basi kama si kufichua uozo unadhani mwana halisi lifungiwe??? Huyo Sumaye unaye mtetea juzi bungeni walisema kuna mawaziri wastaafu walioficha mafedha Uswiss, Lowasa ana majumba London bado unabisha tuu????

New hint on TZ who's who in Sh303bn Swiss accounts

Monday, 25 June 2012 08:06
By Mkinga Mkinga, The Citizen Reporter
Dar es Salaam.

The International Police Organisation (Interpol) in Dar es Salaam has said some local political bigwigs are behind the stashing of colossal amounts of money in Swiss banks, The Citizen can reveal today.Interpol sources told this newspaper in an exclusive interview over the weekend that politicians and scores of other individuals have fat accounts in Swiss banks, but the money wasn't deposited by account holders themselves.
The cash, our sources said, was deposited into the Tanzanians' accounts by certain oil exploration and mining firms operating in the country.
On Saturday, this paper reported that some Tanzania's big shots have stashed away Sh303.7 billion in Swiss banks, according to a report by Swiss National Bank (SNB).
This amount was more than double the Sh133billion swindled through the External Payment Arrears (EPA) from the Bank of Tanzania in 2005/06. A handful of businessmen and erstwhile BoT employees have appeared in court in connection with this scandal.
Also, this amount of money can run the budget of the ministry of Livestock and Fisheries for five years, going by the current exchange rate of Sh1,660 to the Swiss franc.

The ministry of Foreign Affairs and International Cooperation would run its affairs for two years.
The sources said initial enquiries from Swiss authorities have established that about Sh303.7 billion are in six different accounts owned by individual Tanzanians, including influential politicians.

However, the Interpol sources said information coming from Switzerland indicated that since the accounts were opened the legal owners have not deposited a single coin.
"Our enquiries have established that the moneys are in about six different accounts owned by influential Tanzanian politicians …our counterparts in Switzerland have established that the money has been deposited by several companies which have interests in oil searching and mining in the country," the sources said.

Asked to shed more light over the information, the source said their counterparts could not divulge the names of account holders for now, since it would be against the rules and regulations guiding the financial sector in Switzerland.

The source said under the Switzerland principle of bank secrecy, privacy is statutorily enforced, with Swiss law strictly limiting any information shared with third parties, including tax authorities, foreign governments or even Swiss authorities, except when requested by a Swiss judge's summons.

The report has created anxiety, with some top politicians calling The Citizen newsroom enquiring for more details like names of those thought to have stashed away the money.
"Sorry for calling you at this midnight hour….actually, I would like to congratulate you people for the very good article today (Saturday) ...but please look if you have access to the report and kindly make it available to me," requested one senior politician (name withheld).

On Saturday the Prevention and Combating of Corruption Bureau (PCCB) said it was getting in touch with Swiss authorities to help trace the money and those who own it.
PCCB director-general Edward Hoseah said his office has the information and it was following up with Swiss authorities.

Dr Hoseah said he would be seeking to establish how the money was deposited in the Swiss banks, the people involved and the nature of those transactions.
Responding by phone from Arusha, he said he was putting in place strategies on how to get more information on the report.

Other countries whose nationals have stashed away wealth in Switzerland (in Swiss francs) include Kenya (818 million), Uganda (154 million), Egypt and South Africa (1.914 billion each), the Seychelles (2.515 million), Zimbabwe (96 million), Senegal (150 million), Rwanda (29 million), Sierra Leone (29 million), Somalia (1 million) and Sudan (796 million).
The amounts, described by SNB as "liabilities of Swiss banks towards clients from different countries" do not necessarily project the much-talked-about black money held by Tanzanians in the safe havens of Switzerland.

The total overseas funds in Switzerland's banking system stood at 1.53 trillion Swiss francs, the report adds.
At the same time, global pressure on Switzerland has been mounting, with demands that the country orders its banks to share information about clients with foreign governments.
Tanzania's anti-corruption boss said Tanzania would need to establish from Switzerland who owns the money and if it happens it were money that has been illegally earned, he would consult the BoT on the immediate steps to take.

"After we have established where the money originated, we will follow due procedure and make sure it is returned home," Dr Hoseah said, adding: "We shall use the relevant international law to sort this thing out."

Recently, the Bank of Tanzania received over Sh72 billion as compensation for a dubitable military radar transaction under a settlement agreement between the government of Tanzania and British Aerospace Defence System Limited.
Over expenditure in the construction of the BoT twin towers is among scandals that have cost Tanzania billions in taxpayers' money.

 
Last edited by a moderator:
mkuu sina shaka na lowassa katoa wapi pesa hizo...jibu ni very simple...KAKOPA BENKI...issue nayoiona mie ni amewezaje kupata hilo eneo na kubomoa jengo la kihistoria kama hilo?...pili lazima tujue hiyo design ya jengo la ghorofa 25 litakuwa na facilities gani au matumizi gani?...unawezakuta ni jumba la sanaa la ghorofa 25..so matumizi yaleyale na tija juu
Nimependa uchambuzi wako. Watanzania sasa hivi tunafikiria kiwiziwizi tu. Na hatueleweki tunataka nini, mara tunataka ujamaa mara ubepari uchwara, na mtu akiwa na hela tu tunamwita mwizi kisa mweusi.Na hili gazeti la Dira ninawasiwasi kuwa ni gazeti maalum kwa kazi maalum maana wanalopoka then hakuna mtu anayewahoji.
 
Back
Top Bottom