HELLO TANZANIA
Mimi ALBINO nina haki ya kuishi.
Siku : Jumapili
Tarehe :19/04/2015
Muda : Saa 2 Asubuhi
Tukio : Matembezi ya hisani
Mh Edward Lowassa atashiriki nasi Watanzania wote katika matembezi ya hisani kwa umbali wa km 5 kupinga mauaji dhidi ya ALBINO, Matembezi yataanzia katika geti la Uwanja wa Taifa kupitia makaburi ya wales, Hospitali ya Temeke, chang'ombe polisi hadi Serengeti breweries na kumalizia viwanja vya TCC chang'ombe.
Njoo tuungane na Mh Edward Lowassa kupigana vita dhidi ya mauaji ya ALBINO.
Tujitokeze kwa wingi kupaza sauti dhidi ya ukatili huu.
NI AIBU SASA IMETOSHA.