Lowassa kuongoza matembezi kupinga mauaji ya Alibino

Lowassa kuongoza matembezi kupinga mauaji ya Alibino

Miaka ya 1994 viongozi waandamizi CCM walikuwa hawatendi vile inavyopaswa na Mwl.Nyerere hakusita kuwakemea. Kutokana na heka heka hizo ilifikia hatu Mwl.Nyerere kunyimwa ushirikiano na Ikulu wakata mmoja. Hata baada ya kufika mwaka wa uchaguzi 1995 Mwl.Nyerere aliitwa na chama ili aokoe jahazi na katika mchakato wa kuteua kiongozi wa kuongoza nchi alikuwa muwazi kwa kuhakikisha jina la EDWARD NGOYAI LOWASA linakatwa.

Sasa sijui kama yale mapungufu aliyokuwanayo katika nafasi za uwaziri zimeisha kiasi cha kufaa leo kuwa RAIS wa nchi yetu. Kwa mantiki hiyo turejee Muhtasari Mkutano Mkuu CCM 1995 kabla mchakato wa kuchukua fomu za urais haujaanza.
Nyerere sio Mungu wa watanzania,tunamuheshimu but sio Mungu wa nchi hii,Lowassa atosha
 
Miaka ya 1994 viongozi waandamizi CCM walikuwa hawatendi vile inavyopaswa na Mwl.Nyerere hakusita kuwakemea. Kutokana na heka heka hizo ilifikia hatu Mwl.Nyerere kunyimwa ushirikiano na Ikulu wakata mmoja. Hata baada ya kufika mwaka wa uchaguzi 1995 Mwl.Nyerere aliitwa na chama ili aokoe jahazi na katika mchakato wa kuteua kiongozi wa kuongoza nchi alikuwa muwazi kwa kuhakikisha jina la EDWARD NGOYAI LOWASA linakatwa.

Sasa sijui kama yale mapungufu aliyokuwanayo katika nafasi za uwaziri zimeisha kiasi cha kufaa leo kuwa RAIS wa nchi yetu. Kwa mantiki hiyo turejee Muhtasari Mkutano Mkuu CCM 1995 kabla mchakato wa kuchukua fomu za urais haujaanza.

KAULI YA NYERERE:
Hakuna mahali popote pale, narudia tena Hakuna mahali popote pale katika maandiko ya Mwalimu au katika hotuba zake za kumkataa Lowassa, na ukweli ndio huo…. Pamoja na kauli ya mama Nyerere hapo juu naomba sasa niwaletee kauli za Nyerere katika hili jambo. Gazeti Majira 26/5/1995: Mahojiano ya waandishi wa habari na Mwalimu Nyerere, kwenye nyumba ya waziri mkuu na makamu wa kwanza wa Rais iliyoko Osyterbay Dar es Salaam.

Nyerere anasema (alipoulizwa swali na mwandishi Mwita Matinyi, kuhusu nani anafikiri anafaa kurithi mikoba ya Rais Mwinyi), Nanukuu jibu la Mwalimu “Ni kweli mzee Mwinyi anaondoka, lakini ndani ya CCM tuna viongozi wengi wenye sifa ya kuwaongoza watanzania kikubwa tu awe na dhamira; kwa mfano wapo wakina Warioba, Mzee Msuya na Bomani Mark, lakini pia tuna vijana hodari na wenye upeo mkubwa sana kama Mkapa, Kikwete na Lowassa, ni jambo la heri sana CCM kuwa na watu kama hawa (Majira 26/5/1995 ukurasa wa 3; na Nipashe 26/5/1995 ukurasa wa 3).
 
Haya ndiyo maamuzi magumu ya Lowassa??? OVYOOOOOO!!!!

Maamuzi yake magumu ya kukaa kimya bungeni na kuingizwa kwenye top 10 ya wabunge ambao hawatoi wala kuuliza swali lolote bungeni, yeye akiwa ameshikilia Na 5 inamaana hsts top 5 kwa wabunge!!!
 
T 2015 enl
haikwepeki.
Watashindana lakini hawatashinda
 
KAULI YA NYERERE:
Hakuna mahali popote pale, narudia tena Hakuna mahali popote pale katika maandiko ya Mwalimu au katika hotuba zake za kumkataa Lowassa, na ukweli ndio huo…. Pamoja na kauli ya mama Nyerere hapo juu naomba sasa niwaletee kauli za Nyerere katika hili jambo. Gazeti Majira 26/5/1995: Mahojiano ya waandishi wa habari na Mwalimu Nyerere, kwenye nyumba ya waziri mkuu na makamu wa kwanza wa Rais iliyoko Osyterbay Dar es Salaam.

Nyerere anasema (alipoulizwa swali na mwandishi Mwita Matinyi, kuhusu nani anafikiri anafaa kurithi mikoba ya Rais Mwinyi), Nanukuu jibu la Mwalimu "Ni kweli mzee Mwinyi anaondoka, lakini ndani ya CCM tuna viongozi wengi wenye sifa ya kuwaongoza watanzania kikubwa tu awe na dhamira; kwa mfano wapo wakina Warioba, Mzee Msuya na Bomani Mark, lakini pia tuna vijana hodari na wenye upeo mkubwa sana kama Mkapa, Kikwete na Lowassa, ni jambo la heri sana CCM kuwa na watu kama hawa (Majira 26/5/1995 ukurasa wa 3; na Nipashe 26/5/1995 ukurasa wa 3).
Waambie hao wanao ona dhahabu wakasema ni Kokoto
 
lowasa hataki kukubali kushindwa aisee, lakini hana chake bora angekaa nyumbani apumzike tu kama anatafta popularity
Ngoja siku ofisi za CCM zitakapobandikwa picha za Lowasa ndiyo utajua ana chake au la we jifariji tu
 
Mi ni team Lowassa,but I think huu ni muda mzuru kwangu wa kujiondoa,inasikitisha sana mzee kukosa washauri wazuri na kujiengage kwenye vitu kama hivi kwa sasa,ni non sense cause MaCCM yakimmwaga vitu kama hivi yatavitumia kama fimbo kwake
 
Waambie hao wanao ona dhahabu wakasema ni Kokoto

1922439_971185179582599_9035027950876258795_n.jpg

Mwl JK Nyerere alisema 'Ujenzi wa taifa letu uko mikononi mwetu na hiki ndio kitu tunachokisubiri toka kwa Lowassa!
 
Tuna matumaini makubwa sana na wewe Mheshimiwa Waziri Mkuu Mstaafu, Edward Lowassa kwani uwezo wako unajulikana na kila Mtanzania.
1907513_966068363427614_4736803703485890492_n.png
Mheshimiwa watanzania tunakuamini, nataka nikuhakikishie kuwa watu wengi huku mtaani wanakuzungumzia wewe, sijasikia hata siku moja wakamtaja mtu yeyote mwingine kwa sasa kuwa anafaa kuwa Rais, hata viongozi wenzako wamejaa kigugumizi na woga kutamka hadharani kuwa wewe unaweza, hao wanaoitwa sijui makatibu waenezi sio kuwa hawakutaki ila wanajua fika kuwa kama utafanikiwa kuwa mwenyekiti wa chama cha mapinduzi, huenda ugali wao utapata mtikisiko naamini utawasamehe, ukiingia Ikulu hakikisha yale mema aliyofanya Rais Kikwete una yaendeleza, pia hakikisha kuwa nchi yetu haiwi tegemezi,. Endelea tu kumtegeemea Mungu na kunyamaza kama unavyofanya siku zote maana UKINYAMAZA MUNGU ATASEMA, usiache kuomba maana maaduni wameghadhibika sana ukitaka ujue hilo pitia tu humu jamvini utagundua kuwa wale pepo wachafu wamejipenyeza humu ili kujaribu kuzuia mafuriko kwa viganja vya mikono, mpaka sasa nataka nikuhakikishie kuwa wameshashindwa!
 
Wanaandamania Dar kwenye lami badala ya yalipotokea mauaji kijijini Geita?!
 
kweli lowassa raisi wangu anajua siasa sio midomo zege imekaa humu kukutukna tu
huo ni uvivu wa kufikir mnashind kuandaa mikakati yenu mmekalia kychafua wenzenu
siasa yenu ipo wapi?
weledi wenu upo wapi?
elimu yenu ipo wapi?
 
Back
Top Bottom