1000 digits
JF-Expert Member
- Oct 16, 2012
- 7,802
- 10,306
Mbona haupondi walioalikwa mkesha was pasaka?
Amesahau wafanyabiashara waliopelekwa Komoro kwenye Kongamano.
Hsemi nani amewagharamikia ?
Mbona haupondi walioalikwa mkesha was pasaka?
Huyu mzee anajitafutia kifo, hebu nitoe rai msalaba mwekundu wawe karibu naye maana muda wowote ataweza kuzima kwani afya yake ni ya mashaka sana hana nguvu za kutembea hata km5 kwani hata kupiga mihayo hawezi mpaka wawepo vijana wa kumsaidia kufumbua mdomo wake.
Mbona hatujawahi kumuona au kumsikia akiandamana kupinga ufisadi,wacha auze sura yake ingawa tumeishaichoka imekosa mvuto!!Hakuna unafiki hapo wewe ndio mnafiki huyu mzee ana maanisha anacho kifanya kaeeni tu kusema huyu mnafiki mwenzenu amapiga hatua "kalaga baho"
Kazoea tu kuwapokea wenzake !!Watu wa huduma ya kwanza wasikosekane...
Mauaji na kuwafanya walemavu wa ngozi (albino) kuwafanya walemavu wa viungo ni vitendo ambavyo vimekuwa vikifanyika kwa zaidi ya miaka kumi sasa. Huyu mzee wa 'maamuzi magumu' amekuwa bungeni muda wote tena kama mbunge mwenye heshima kubwa kwa vile aliishawahi kuwa waziri mkuu lakini hatujawahi kusikia akichangia hoja yo yote au kuleta hoja binafsi ya kulaani, kuunda tume ya kibunge kuchunguza chanzo na hatimaye kutunga sheria kali za kukomesha vitendo hivi. Angefanya hivyo hapo ndio tungemuelewa kuwa ni mzee wa 'maamuzi magumu'. In fact amekuwa akienda bungeni kama kutalii. Bubu. Sasa anasubiri hizi kampeni za kisanii (political slogans) ndio anaibuka! Hafai hata kuwa mjumbe wa nyumba kumi huyu. Shame on you LowassaHakuna unafiki hapo wewe ndio mnafiki huyu mzee ana maanisha anacho kifanya kaeeni tu kusema huyu mnafiki mwenzenu amapiga hatua "kalaga baho"
lowassa hana uwezo wa kutembea hata km1 ajaribu aone ikulu ataisikia kuzimu.
Mh. Lowassa ni kiongozi anaetambua fika matakwa ya watanzania kwa muda mrefu kwani yupo kwenye siasa na serikali kwa ujumla zaidi ya miaka 20 hivyo anaelewa fika kuwa Tanzania yetu inahitaji maboresho ya elimu ambayo itamnufaisha kila mtanzania pamoja huduma bora za kijamii.
Bora tuwe na Raisi Fisadi aliyetuibia na akawekeza hapa kuliko kuwa na Raisi Fisadi ambaye hela zake ziko Swiss!Huyu hata vujijini wanamjua ni fisadi na hafai kuwa raisi.
Mmeanza kukerwa lini? Haya mauaji yamekuwepo kwa zaidi ya miaka kumi sasa? Mlisubiri wauwawe wengi ndio muanze political slogans za 'imetosha'. Tungeelewa mnakerwa pale tu tukio la kwanza lilipotangazwa hadharani! Hii mnayofanya ni usanii wa kisiasa.Wewe ni kichaa ulitaka mama yako aandamne kulaani mauaji ya albino ndo uamini wengi tunakerwa?Go Lowassa
Sasa kutembea ndio kunapinga mauaji ya albino?
Tafuta na dhibiti chanzo cha mauaji mabango na matembezi hayatoshi.
Waswahili husema Almas haichafuki kwa vumbi. Lowassa anafaa na anakubalika na wananchi!
Vipi kuhusu wanao sema hafai na hawamtaki kuwaongoza hao sio wana-nchi au niwanainji?.