Lowassa kuongea na Wananchi 14/05/2015 kupitia Clouds FM

Lowassa kuongea na Wananchi 14/05/2015 kupitia Clouds FM

Kumekucha mkuu, Wakati umefika tutajua nani Rais wa wasafi na yupi wa Akudo. Vijana tunamtaka Lowassa Full stop

uongo umekupa faida gani tangu uanze hiyo tabia ? vijana wa wapi wanaotaka kuongozwa na viongozi waliofirisi nchi ?
 
Am very Sorry for him I wish I could STOP him ...oooh my GOD...who are his POLITICAL STRATEGIST & ANALYST.Yani ata kile kidogo alichonacho kimekwenda MSUMALI WA MWISHO.....ngiiiii.Sometimes binadamu anaweza kuwa too blind..kikwetu tunasema tabia ya mtu haina dawa...[temo ya monto etana ryogo] kweli wahenga wakikurya mlishasemaga.
 
Ina maana humjui Lowasa? Yeye ni mtu aliejipatia Umaarufu mkubwa kwa utendaji wake uliotukuka , akiwa ni mtu anaetegemewa na wananchi wengi zaidi katika nafasi ya Urais kuliko mtu mwingine Yeyote.

pia ndo alipiga dili la richmonduli
 
Tulishasema Clouds ilinunuliwa na Rostam kwa sababu maalum hasa za kumpigia chapuo Lowassa kwenda Ikulu watu akiwamo Ruge wakakanusha kwa nguvu sana.... Sasa nadhani mnayaona wenyewe.
 
Tutuvuka daraja tukilifikia...Ma Presdent is lowasa siwezi kuongozwa na njozi na mzee wa watabiri a.k.a joka la mdmu......iwe ni kupitia ccm au kuptia familia yake yeye ndye rais wangu mtarajiwa na nitahakikisha mimi binafsi namtaftia wapga kura 1000 moja kwa Jina la Yesu na Mungu anipe uwezo
hakuna Mungu wa mchezo kama huyo unayemtaka wewe , yaani Mungu wa kweli akusaidie kupeleka fisadi ikulu yetu ? laana ya milele ikuzunguke pande zote za mwili wako , amina .
 
Tulishasema Clouds ilinunuliwa na Rostam kwa sababu maalum hasa za kumpigia chapuo Lowassa kwenda Ikulu watu akiwamo Ruge wakakanusha kwa nguvu sana.... Sasa nadhani mnayaona wenyewe.

mimi ni mmoja wa wale waliopinga kabisa taarifa ile , nachukua fursa hii kuomba radhi kwa ubishi niliofanya na naahidi sitarudia tena.
 
Mbona Lowassa anatumia nguvu kubwa sana kujipigia kampeni? Si atulie kama wenzake? Hivi usiku huwa anapata usingizi kabisa? Naona anajitafutia magonjwa kwa lazima. Nafahamu jitihada binafsi kwenye masuala kama haya yanahitajika ila mbona yeye anatumia nguvu sana na kumwaga pesa nyingi? Kama Mungu amemchagua yeye awe Rais wetu atakua tu ata asipotumia nguvu kiasi hicho.

Nimemshusha hadhi alivyoichagua clouds kama media ya kwenda kujipigia kampeni.
 
Nasikia wamasai wameitwa babati kuna kikao kinaendelea.ili kumsaidia huyu mamvi aweze kupita.huyu mtu anatumia pesa nyingi sana kununua madaraka.anataka kwenda ikulu kufanya nini?
 
Nasikia wamasai wameitwa babati kuna kikao kinaendelea.ili kumsaidia huyu mamvi aweze kupita.huyu mtu anatumia pesa nyingi sana kununua madaraka.anataka kwenda ikulu kufanya nini?

Hujui Ingekuwa mtihani ushafeli Mkuu
 
Aongee na wananchi wa wapi,yy kama nani? Labda anaongea na wamasai wavaa ndala za mataili ya gari au mafisad wenzake wakina Rostam,chenge na mijiz yenzie
 
kila Mtanzania ana haki ya kugombea uongozi kama hafai wanao mchagua ndio watamuhukumu kwa kutomchagua na Mh Lowasa ana haki hiyo kwa hiyo apewe nafasi ya kusikilizwa na watu waamue inaonekana wengi wanazungumza mambo wasio yajua maana majungu na ukweli vitajitenga siku moja
 
Labada aseme anatoka ccm kwenda chagadema.

Asisahau kuongea vurugu za jamii yake wanaovamia mashamba yetu naye akakaa kimya asikimee kisa wapiga kura, harafu m,bona hii issue ya posho hakuchukua maamuzi magumu kama kweli yeye mzee wa maamuzi magumu
 
babariz kamtosa swahiba.kawasafisha wachache kamuacha T2015ENL ajifie kivyake anaitikisa MAGOGONI na LUMUMBA magamba kazi mnayo,LOWASA tampa kura yangu kama atasema ukweli kuhusu dowans na richmonduli
 
clouds mmemtema mzee wa cybercrime mmeenda upande wa pili kwa richmonduli,mnachangamkia FURSA twende zetu.teh teh teh
 
Am very Sorry for him I wish I could STOP him ...oooh my GOD...who are his POLITICAL STRATEGIST & ANALYST.Yani ata kile kidogo alichonacho kimekwenda MSUMALI WA MWISHO.....ngiiiii.Sometimes binadamu anaweza kuwa too blind..kikwetu tunasema tabia ya mtu haina dawa...[temo ya monto etana ryogo] kweli wahenga wakikurya mlishasemaga.

DSN

Yaani sijui ni kuchanganyikiwa.Hadi silaha yake ya Mwisho anaelekea kuiharibu
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom