Sibonike
JF-Expert Member
- Dec 23, 2010
- 17,297
- 18,047
"We will cross the brigde when we reach there" Kwa kiswahili tungesemaje?
Kama unataka maana na si tafsiri, inamaanisha tutalifanyia kazi wakati wake ukifika.
"We will cross the brigde when we reach there" Kwa kiswahili tungesemaje?
Vyote kwa pamoja itakuwa ni vizuri mkuu.Kama unataka maana na si tafsiri, inamaanisha tutalifanyia kazi wakati wake ukifika.
Duuuh...unaikumbuka hii?fungua ofisi za utabiri mkuu...ahahahaaaLabada aseme anatoka ccm kwenda chagadema.