Prince Kunta
JF-Expert Member
- Mar 27, 2014
- 22,873
- 29,048
Hii series imefikia pazuri kweli kweli
Anaongea na wananchi kama nani?
Sefue amsafishe yeye ndiye KINANA? au hata haujui tofauti kati ya Sefue na KINANA?
Mimi naona wengi mnaomuona Lowassa kama mchafu, fisadi, mwizi na mengine mengi machafu mnayompamba, hamna ushahidi wa wazi kuonesha hayo mnayodai kwani wengi mmekuwa bendera fuata upepo. Hilo suala la Richmond alishasema lilikuwa limeamuliwa na baraza la mawaziri chini ya rais na ndio maana alisema kila alichokifanya alikuwa anamjulisha rais. Mwenye Richmond alikuja hapa akaongea na waandishi wa habari kisha akaenda mpaka ikulu. Ulishasikia kaenda kwa Lowassa. Mnamtuhumu kwa ushahidi wa kimazingira tu. Ingekuwa leo naye angesafishwa kama wale wengine sema wakati wake fitna zilikuwa nyingi. Kuhusu yeye kuwa na pesa nyingi kwa maana ya kuwa tajiri, hilo sio kosa ili mradi hajamwibia mtu. Mbona matajiri wako wengi tu hapa nchini kwanini EL? Mtafika mahali mtaaibika pale kweli itakapo dhihili kwani ukweli huja mwishoni!Hata atumie JIK hawezi kufanikiwa kuondoa japo ukurutu wa juu kwenye uchafu wake.
Sefue amsafishe yeye ndiye KINANA? au hata haujui tofauti kati ya Sefue na KINANA?
"We will cross the brigde when we reach there" Kwa kiswahili tungesemaje?
Jibu swali mkuu!Lowassa kashafika Ikulu...
Tutuvuka daraja tukilifikia...Ma Presdent is lowasa siwezi kuongozwa na njozi na mzee wa watabiri a.k.a joka la mdmu......iwe ni kupitia ccm au kuptia familia yake yeye ndye rais wangu mtarajiwa na nitahakikisha mimi binafsi namtaftia wapga kura 1000 moja kwa Jina la Yesu na Mungu anipe uwezo"We will cross the brigde when we reach there" Kwa kiswahili tungesemaje?
baada ya kusoma uchambuzi wa Mtatiro ndo ameona IPO haja ya kuongea????....
Anaongea na wananchi kama nani?
Asipopita utafanyaje? Utahama nchi?Tutuvuka daraja tukilifikia...Ma Presdent is lowasa siwezi kuongozwa na njozi na mzee wa watabiri a.k.a joka la mdmu......iwe ni kupitia ccm au kuptia familia yake yeye ndye rais wangu
CCM patachimbika mwaka huu! yetu macho,pigeni sarakasi zote mnazojua, tarehe 25october tuwapige chini.