Lowassa kunyang'anywa shamba

Lowassa kunyang'anywa shamba

Ebu ficha ujinga wako hakuna aliye juu ya sheria, kama una ardhi kubwa na hauitumii ni lazima wagawiwe watu wengine, Tanzania siyo kama Kenya na naunga mkono uamuzi huu wa serikali.

Hivi Lowasa amewaroga hata akili za kufikiri zimekwenda likizo? Hata Sumaye kule Mabwepande akiendelea kufuga mapori tu naye wanyang'anye tu, nachukizwa sana na tabia ya watu kuhodhi ardhi wasiyoitumia wakati kuna wananchi hawana ardhi.
Wapangaji wenzanguuu naona mna lalama sana. Mlikua wapi kuwekezaaa? Acheni roho za kicha......we are
 
..mashamba makubwa yasiyotumika bora wakagaiwa wananchi wa eneo husika. Anatakiwa akubaliane na hali ile kiuzalendo tu..
mbona yapo mengi tu alijimilikisha kwa kutumia madaraka yake? Sumai je?
 
Itakuwa poa
Kutuibia katuibia sana
Na mashamba makubwa akae nayo bila kuyaendeleza haiwezekani
 
Huwa sielewi watu wanaushaidi wote juu ya huyu jamaa lakini hawampeleki mahakamani.sana sana wanaishia kua keyboard warriors nyuma ya smartphones zao.

Jamaa atakua sio mtu wa mchezo kabisa,super genius. Imagine UKAWA particularly CHADEMA walivyo mchafua then akawaza kwanini walio nichafua nisiwatumie wao wenyewe kunisafisha...Na wakamsafisha kama haitoshi na fomu ya kugombea uraisi wakampa.

Mtaa wa pili nao wakawa wanahaha balaa ikimaanisha aliacha bonge la pengo huko.

Leo bado wanamzungumzia huyo huyo Lowassa. Ni kwanini watu hawana balls za kumchukulia hatua huyu babu wanabaki kutupigia kelele tu!?!!
 
Tatizo lililopo apa nchini ni kwamba kosa likiwa upande wa Ccm wanalishikiria njuga kama jana wamemuandama mama tibaijuka anamiliki ekari 4000.

Sasa Lowasa na sumaye wanamiliki mashamba ambayo ayaendelezwi watu wengi wanaongea sana. Sheria ni msumeno wacha ifanye kazi yake
 
Wapangaji wenzanguuu naona mna lalama sana. Mlikua wapi kuwekezaaa? Acheni roho za kicha......we are
Mimi si mpangaji, bali wapo wanaoniita baba mwenye nyumba, lakini siyo issue kwangu hoja hapa hatuwezi kuukumbatia ubepari wa aina hii wa kina Lowasa, Sumaye na wengineo, Chrisant Mzindakaya ana eneo kubwa lakini ranchi inayotumika i mean iko active sina tatizo naye, tatizo langu ni kwa yeyote anayefuja ardhi.

Watanzania tuache huu upumbavu wa kila maamuzi mema ya serikali kuyachukulia kwa jicho la kisiasa.

Katika serikali hii ya Magufuli mpaka sasa waziri bora kabisa ni Lukuvi na huyu hata mimi nitajitokeza kumpigania kama siasa za bunge zitataka kumchafuwa, sikuwahi kumpenda Lukuvi kwa kiburi chake na kubinyabinya midomo akiongea kwa jeuri lakini inavyoonekana Lukuvi ni kama amezaliwa upya kwa maono yangu.
 
Ila isiwe kwa lowasa tu na wengine pia ....mashamba yao yagawanywe ,kina makamba, mkapa,msuya, kiketwe, magufuli,mwinyi,kinana, pinda.....
 
Huwa sielewi watu wanaushaidi wote juu ya huyu jamaa lakini hawampeleki mahakamani.sana sana wanaishia kua keyboard warriors nyuma ya smartphones zao.
Jamaa atakua sio mtu wa mchezo kabisa,super genius. Imagine UKAWA particularly CHADEMA walivyo mchafua then akawaza kwanini walio nichafua nisiwatumie wao wenyewe kunisafisha...Na wakamsafisha kama haitoshi na fomu ya kugombea uraisi wakampa.
Mtaa wa pili nao wakawa wanahaha balaa ikimaanisha aliacha bonge la pengo huko.
Leo bado wanamzungumzia huyo huyo Lowassa.
Ni kwanini watu hawana balls za kumchukulia hatua huyu babu wanabaki kutupigia kelele tu!?!!
Mada ni Lowassa kunyang'anywa nyumba
 
Usiniprovoke, tuheshimiane, unachokitafuta utakipata tu tena very soon. endelea.....
UNANITISHA, WEWE ULIOWATUKANA KUWA AKILI ZIMEKWENDA LIKIZO UNADHANI NI KAULI NZURI. UKISEMA MANENO YA KUUDHI NAWE UTAJIBIWA KAMA ULIVYONENA. UJINGA NI NENO LA STAHA? NA LAZIMA KWA MAISHA YA LEO UJUE UNAZAA WATOTO WANGAPI ILI UWEZE KUWAMUDU NA SIYO KUTEGEMEA MASHAMBA YA WATU ETI HAWAYATUMII!
 
Siyo kosa lako, nimekupuuza maana hujui hata sheria za ardhi zinasema nini, msongo wa mawazo unakusumbuwa
 
Back
Top Bottom