Mwasita Moja
JF-Expert Member
- Dec 31, 2015
- 2,903
- 2,580
Taratibu hatimaye majizi wakubwa wameanza kufikiwa.
Asante Magufuli
Asante Magufuli
Kitakachofuata ni kupelekana mahakamani na kunawatakaoshindwa tu hapa.Kumbe atanyanganywa. Sio kunyang'anywa.
Nyumba Za serikaliTaratibu hatimaye majizi wakubwa wameanza kufikiwa.
Asante Magufuli
Hivi Lowasa na Sumaye walihongwa nyumba?kama hajaliendeleza ni lazima apokwe.Vigezo na masharti kuzingatiwa.Wanaotumiwa kupewa nyumba visivyo halali hawanyang'anywi?
Kuhama kwa jamaa kumewauma sana hawa watuMmh...huyu mtu ni super power....namuona 2020 akisumbua tena.
Serikali kupitia waziri wa ardhi nyumba na makazi, imetangaza uamuzi huo bungeni wa kumnyang'anya shamba la makuyuni lililopo monduli, waziri mkuu aliyejiuzulu kwa kashfa ya Richmond ndugu Lowassa, na kuwagawia wananchi wa eneo hilo.
Chanzo: Jambo leo
Lazima watakuwa wamemfuata na kumuomba wagawie maana limekaa muda na haliendelezi! Kwa maslahi mapana ya wananchi wa eneo lile na busara zake atakuwa amekubali walichukue
Ni kweliWanyang'anywe wote sio lowassa ni viongozi wengi wana maeneo Makubwa wameyaweka Bila kuyaendeleza.
Ebu ficha ujinga wako hakuna aliye juu ya sheria, kama una ardhi kubwa na hauitumii ni lazima wagawiwe watu wengine, Tanzania siyo kama Kenya na naunga mkono uamuzi huu wa serikali.Hapo ndiyo watamjua Lowassa ni nani. Eti wamnyang'anye shamba. Thubutuuuuu. Hivi Lowassa mnamjua mnamsikia?