Lowassa kunyang'anywa shamba

Lowassa kunyang'anywa shamba

Siyo kosa lako, nimekupuuza maana hujui hata sheria za ardhi zinasema nini, msongo wa mawazo unakusumbuwa nenda katafute bwana mbele wa kukusaidia kulea watoto uliowapata guest.
Tulia mafisadi wenzio wakamuliwe
 
Siyo kosa lako, nimekupuuza maana hujui hata sheria za ardhi zinasema nini, msongo wa mawazo unakusumbuwa .
Sasa mbona unatukana, unatumia maneno ya kuudhi.

Jenga hoja, ad homine arguments hazikusaidii kujenga hoja. Sheria za ardhi si unachukua sheria namba 4&5 za 1999 ( na sheria zingine za ardhi-land acqisition act, TIC act etc) unasoma na regulations zake. Unasoma tena conditions za kuwa granted right of occupancy zinasemaje.

Hivi ni vitu ambavyo unaweza chukua vitabu ukasoma na usipoelewa section/provision una google kuona kifungu hicho kama kuna kesi iliyokitafsiri- simple; kama wewe ni mwanasheria basi wenzako tulimaliza huko zamani sana tena tulisoma kama nyongeza tu baada ya kumaliza degree zingine!
 
[/U]huyu mzee na ardhi, ukiigombania ardhi ipo siku itakumeza TU
 
Hapo ndiyo watamjua Lowassa ni nani. Eti wamnyang'anye shamba. Thubutuuuuu. Hivi Lowassa mnamjua mnamsikia?
Mmmmh acha mikwala hiyoo,hakuna aliyejuu ya sheria...zile zama za unanijua mimi nani zishapita kitambo saana
 
Power ya kugawa mashamba ya watu, haiwezi kutoka kwa viongozi wa CCM na hata Ukawa sababu ardhi wameitumia kama speculative asset, wanasubir ipande bei wauze.

Kungekuwa kuna database wangevuta ardhi yote inayozid heka 100 kwa nchi nzima, then wafanye analysis of ownership structure, ungekuta kama unaweka graph basi ni viongoz na matajiri tu, wapiga kelele wa jf humu ingekuwa bila bila!
 
Siyo rahisi hivyo Kama mnavyodhani mliwadanganya watanganyika kuwagawia sukari bure baadae mkasalimu amri. Endeleeni kuigiza .
 
Sasa mbona unatukana, unatumia maneno ya kuudhi. Jenga hoja, ad homine arguments hazikusaidii kujenga hoja. Sheria za ardhi si unachukua sheria namba 4&5 za 1999 ( na sheria zingine za ardhi-land acqisition act, TIC act etc) unasoma na regulations zake. Unasoma tena conditions za kuwa granted right of occupancy zinasemaje. Hivi ni vitu ambavyo unaweza chukua vitabu ukasoma na usipoelewa section/provision una google kuona kifungu hicho kama kuna kesi iliyokitafsiri- simple; kama wewe ni mwanasheria basi wenzako tulimaliza huko zamani sana tena tulisoma kama nyongeza tu baada ya kumaliza degree zingine!
Back to the roots: Unajuaje kama mimi ni mwanamke? Unajuaje kama nina watoto? Unajuaje kama nilipata watot guest-Hivi Matola ni watu wa Masasi? Ndanda, Chiungutwa, Mwena etc.
Have a nice day and enjoy your work, taking care not to fall the victim of puss squeezing!
Umetumia maneno ya busara ndg yng, nadhan tufike mahali tuwe na ukomo wa kutukana watu
 
Umetumia maneno ya busara ndg yng, nadhan tufike mahali tuwe na ukomo wa kutukana watu
Lazima wengine tuwe na mtazamo tofauti kidogo. Akitukana na mimi nikatukana hatutafika, tuelimishane , ndio kujifunza. Elimu haina mwisho. Waitu bagile mushana!
 
Serikali kupitia waziri wa ardhi nyumba na makazi, imetangaza uamuzi huo bungeni wa kumnyang'anya shamba la makuyuni lililopo monduli, waziri mkuu aliyejiuzulu kwa kashfa ya Richmond ndugu Lowassa, na kuwagawia wananchi wa eneo hilo.


Chanzo: Jambo leo
Hii thread, hitapata support za watu, kwa kua wengi wao ni wa kwake!!!!!
 
Lazima wengine tuwe na mtazamo tofauti kidogo. Akitukana na mimi nikatukana hatutafika, tuelimishane , ndio kujifunza. Elimu haina mwisho. Waitu bagile mushana!
Wakola waitu osibe gei,,,,,, uctukane mtu ucyemjua ushaur Kwa wadau wa JF HUMU
 
Siyo rahisi hivyo Kama mnavyodhani mliwadanganya watanganyika kuwagawia sukari bure baadae mkasalimu amri. Endeleeni kuigiza .
Huu ni utekelezaji wa ahadi...kwamba ardhi isiyotumika itarudishwa kwa wananchi masikini
 
picha ndio kwanza linaana yote lazima yarudishwe kwa wananchi
 
Back
Top Bottom