Lowassa kunyang'anywa shamba

mcubic

JF-Expert Member
Mar 3, 2011
10,307
6,514
Serikali kupitia Waziri wa Ardhi, Nyumba na Makazi, imetangaza uamuzi huo bungeni wa kumnyang'anya shamba la Makuyuni lililopo Monduli, Waziri Mkuu aliyejiuzulu kwa kashfa ya Richmond ndugu Lowassa, na kuwagawia wananchi wa eneo hilo.
Jamboleo 1 (1) (1).jpg
 
Ngoja tusome taarifa hizi kwa undani, tupate sababu za kunyang'anywa kwake.
Mbunge wa monduli aliomba lirudishwe kwa wananchi,so mheshimwa rukuvi akamwambia watalifanyia kazi,ila alisema hili Ipo kazi kwa sababu linamilikiwa na lowasa,chanzo bunge recorded
 
Serikali kupitia waziri wa ardhi nyumba na makazi, imetangaza uamuzi huo bungeni wa kumnyang'anya shamba la makuyuni lililopo monduli, waziri mkuu aliyejiuzulu kwa kashfa ya Richmond ndugu Lowassa, na kuwagawia wananchi wa eneo hilo.


Chanzo: Jambo leo
Sawa....
 
Back
Top Bottom