Sio kama Yesu bali kama lucifa... Uwe unaangalia sehemu ya kumuweka Yesu Bwana wetu! He is holly, he is mighty and he is so clean to be compared in any way with any one else........
:israel:
Kwa hiyo hata wale makada wengine waliosimamishwa nao wanakaangwa??
Kuna taarifa kwamba CCM wana mpango wa kurefusha kifungo cha makada waliofungiwa kwa mwaka mmoja zaidi mpaka uchaguzi utakapokwisha lengo kubwa hasa likiwa kumkaanga Lowasa.
Kada maarufu wa CCM ambaye hakutaka kutaja jina lake anayefanya kazi Makao Makuu ya CCM, Dodoma alisema kuwa mpango huo wa kumuangamiza Lowasa umekamilika na hakuna mtu anayeweza kuupindua.
"Si unajua kwamba amehukumiwa pamoja na makada wenzake...hivyo njia nzuri ni kuwafungia wote ili kupunguza malalamiko kutoka kwa wafuasi wake (Lowasa) na kugawanyika kwa chama. Unajua huyu mtu ana wafuasi wengi sana hivyo tukimfungia ovyo anaweza kukigawa chama chetu". Alisema.
KAMA YESU?
Wakristo mnakumbuka wakati mtoto Yesu alipozaliwa, mafarisayo waliwaua watoto wote wa kiume lakini target yao hasa ilikuwa ni kumuua Yesu. Naona CCM wameamua kukopa mbinu hiyo kwa kum-target Lowasa. Hili ni jambo la ajabu sana.
MAONI YANGU
CCM mnajaribu kuliziba jua kwa kutumia ungo lakini mjiandae vizuri kwa madhara yatakayotokea. Lowasa hazuiliki.
:israel:
Nani kakuambia kuwa tupo naye?
Yamepita ya ACT sasa kila uzi ni Lowasa.Kama anafaa wananchi wataamua October.
Kuna taarifa kwamba CCM wana mpango wa kurefusha kifungo cha makada waliofungiwa kwa mwaka mmoja zaidi mpaka uchaguzi utakapokwisha lengo kubwa hasa likiwa kumkaanga Lowasa.
Kada maarufu wa CCM ambaye hakutaka kutaja jina lake anayefanya kazi Makao Makuu ya CCM, Dodoma alisema kuwa mpango huo wa kumuangamiza Lowasa umekamilika na hakuna mtu anayeweza kuupindua.
"Si unajua kwamba amehukumiwa pamoja na makada wenzake...hivyo njia nzuri ni kuwafungia wote ili kupunguza malalamiko kutoka kwa wafuasi wake (Lowasa) na kugawanyika kwa chama. Unajua huyu mtu ana wafuasi wengi sana hivyo tukimfungia ovyo anaweza kukigawa chama chetu". Alisema.
KAMA YESU?
Wakristo mnakumbuka wakati mtoto Yesu alipozaliwa, mafarisayo waliwaua watoto wote wa kiume lakini target yao hasa ilikuwa ni kumuua Yesu. Naona CCM wameamua kukopa mbinu hiyo kwa kum-target Lowasa. Hili ni jambo la ajabu sana.
MAONI YANGU
CCM mnajaribu kuliziba jua kwa kutumia ungo lakini mjiandae vizuri kwa madhara yatakayotokea. Lowasa hazuiliki.
:israel:
sasa kuna kitu sijaelewa ina maana wana huo mpango wa kurefusha kifungo hadi lini?au ndio hakutakuwa na mgombea kabisa toka upande huo?sijaelewa elewa kabisa hizi fununu
Watanzania sisi siyo wajinga wewe rockspider hatununuliwi kama mafungu ya mchicha sokoni.hivi unafikiri hatuoni huyo lowasa anavyotoa mapesa kununuwa watu? Ametudharau sana watanzania huyu mtu hawezi kutudhalilisha kiasi hiki.uongozi haununuliwi kwa rushwa.Lowasa Big NO hakubaliki.
Huwe kufananisha YESU na yuda aliyemsaliti YESU. lowasa kwa watz ni km yuda coz aliwasaliti kwa kushinikiza na kuunda kampuni feki akishirikiana na mapacha wake kikwete na rostamu......
ACHENI KUMDHALILISHA MUNGU/YESU kwa kutolea mifano ya majambazi sugu na fisadi papa km lowasa
Au Lowassa amekuwa Mungu kiasi kwamba CCM lazima wampitishe?
Kwa nini autafute U-Rais kwa gharama yoyote? Itakuwa rahisi ngamia kupita kwenye tundu la sindano kuliko Kamati Kuu ya CCM kupeleka jina la Lowassa kwenye Halmashauri Kuu ya CCM.
Kama kweli ana umaarufu kiasi hicho, kwa nini asianzishe chama chake ili wafuasi wake waende huko?