Tatizo lowasa hasafishiki.ni mchafu kuliko uchafu wenyewe.
Ndio mpo naye, kwa nini hamumtimui katika chama??Nani kakuambia kuwa tupo naye?
Lowassa yuko chama gani? Ndoroooooobo wewe!Nani kakuambia kuwa tupo naye?
Mkuu mambo ya kuingiza jina la Yesu unakosea unaweza kuzua mjadala wa kidini uwa nacheka sana wafuasi wa Chadema kuwa wasemaji wa Lowassa.Kuna taarifa kwamba CCM wana mpango wa kurefusha kifungo cha makada waliofungiwa kwa mwaka mmoja zaidi mpaka uchaguzi utakapokwisha lengo kubwa hasa likiwa kumkaanga Lowasa.
Kada maarufu wa CCM ambaye hakutaka kutaja jina lake anayefanya kazi Makao Makuu ya CCM, Dodoma alisema kuwa mpango huo wa kumuangamiza Lowasa umekamilika na hakuna mtu anayeweza kuupindua.
"Si unajua kwamba amehukumiwa pamoja na makada wenzake...hivyo njia nzuri ni kuwafungia wote ili kupunguza malalamiko kutoka kwa wafuasi wake (Lowasa) na kugawanyika kwa chama. Unajua huyu mtu ana wafuasi wengi sana hivyo tukimfungia ovyo anaweza kukigawa chama chetu". Alisema.
KAMA YESU?
Wakristo mnakumbuka wakati mtoto Yesu alipozaliwa, mafarisayo waliwaua watoto wote wa kiume lakini target yao hasa ilikuwa ni kumuua Yesu. Naona CCM wameamua kukopa mbinu hiyo kwa kum-target Lowasa. Hili ni jambo la ajabu sana.
MAONI YANGU
CCM mnajaribu kuliziba jua kwa kutumia ungo lakini mjiandae vizuri kwa madhara yatakayotokea. Lowasa hazuiliki.
:israel:
Watu wale wale propaganda zile zile Eti Lowassa ni Mchafu! Kuliko nani ndani ya CCM? Hao Beneficiaries wa ESCROW, UJANGILI, SEMBE, EPA, RICHMOND/DOWNS/SYMBION? ... Nani asiejua kuwa baadhi ya Mapapa ya CCM hawamtaki EL kwakuwa wanaogopa atawalipizia kisasi? Kifungo hutolewa na Mahakama? CCM imegeuka mahakama? CCM maslahi wajiandae kwa permanent damage ...
Mkuu amewekeza kwenye kitu gani coz huku mtaani kwetu kuna vijana wengi hawana ajira niwapaeleke hata wakapate mkate wa kila siku,Bora tuongozwe na Fisadi aliyetuibia na akawekeza hapa kuliko kuwa na viongozi mafisadi waliotuibia na hatujui wamewekeza wapi!
Mkuu amewekeza kwenye kitu gani coz huku mtaani kwetu kuna vijana wengi hawana ajira niwapaeleke hata wakapate mkate wa kila siku,
"Hopeless is not hope"[/QUOTE
Wewe unataka Mkate wakati hutaki kujishulisha sio?
Kuna taarifa kwamba CCM wana mpango wa kurefusha kifungo cha makada waliofungiwa kwa mwaka mmoja zaidi mpaka uchaguzi utakapokwisha lengo kubwa hasa likiwa kumkaanga Lowasa.
Kada maarufu wa CCM ambaye hakutaka kutaja jina lake anayefanya kazi Makao Makuu ya CCM, Dodoma alisema kuwa mpango huo wa kumuangamiza Lowasa umekamilika na hakuna mtu anayeweza kuupindua.
"Si unajua kwamba amehukumiwa pamoja na makada wenzake...hivyo njia nzuri ni kuwafungia wote ili kupunguza malalamiko kutoka kwa wafuasi wake (Lowasa) na kugawanyika kwa chama. Unajua huyu mtu ana wafuasi wengi sana hivyo tukimfungia ovyo anaweza kukigawa chama chetu". Alisema.
KAMA YESU?
Wakristo mnakumbuka wakati mtoto Yesu alipozaliwa, mafarisayo waliwaua watoto wote wa kiume lakini target yao hasa ilikuwa ni kumuua Yesu. Naona CCM wameamua kukopa mbinu hiyo kwa kum-target Lowasa. Hili ni jambo la ajabu sana.
MAONI YANGU
CCM mnajaribu kuliziba jua kwa kutumia ungo lakini mjiandae vizuri kwa madhara yatakayotokea. Lowasa hazuiliki.
:israel:
Ukinijibu nibeep nije nione jibuMkuu amewekeza kwenye kitu gani coz huku mtaani kwetu kuna vijana wengi hawana ajira niwapaeleke hata wakapate mkate wa kila siku,
"Hopeless is not hope"[/QUOTE
Wewe unataka Mkate wakati hutaki kujishulisha sio?
"Hopeless is not hope"
Kuna taarifa kwamba CCM wana mpango wa kurefusha kifungo cha makada waliofungiwa kwa mwaka mmoja zaidi mpaka uchaguzi utakapokwisha lengo kubwa hasa likiwa kumkaanga Lowasa.
Kada maarufu wa CCM ambaye hakutaka kutaja jina lake anayefanya kazi Makao Makuu ya CCM, Dodoma alisema kuwa mpango huo wa kumuangamiza Lowasa umekamilika na hakuna mtu anayeweza kuupindua.
"Si unajua kwamba amehukumiwa pamoja na makada wenzake...hivyo njia nzuri ni kuwafungia wote ili kupunguza malalamiko kutoka kwa wafuasi wake (Lowasa) na kugawanyika kwa chama. Unajua huyu mtu ana wafuasi wengi sana hivyo tukimfungia ovyo anaweza kukigawa chama chetu". Alisema.
KAMA YESU?
Wakristo mnakumbuka wakati mtoto Yesu alipozaliwa, mafarisayo waliwaua watoto wote wa kiume lakini target yao hasa ilikuwa ni kumuua Yesu. Naona CCM wameamua kukopa mbinu hiyo kwa kum-target Lowasa. Hili ni jambo la ajabu sana.
MAONI YANGU
CCM mnajaribu kuliziba jua kwa kutumia ungo lakini mjiandae vizuri kwa madhara yatakayotokea. Lowasa hazuiliki.
:israel:
CCM jiandaeni kumkubali Lowasa...huyu ni mwali wenu, mnapaswa kumkubali jinsi alivyo na hakuna jinsi ya kumuepuka. Kwanini mnawekea mikingamo ya ovyo ovyo? Nyota ya mtu iking'ara hakuna awezaye kuizima isipokuwa Mungu tu. Kwani CCM mmekuwa Mungu hadi mumzibie njia Laigwanan Lowasa? Acheni hizo figisufigisu zenu.