Lowassa kufutiwa uanachama wa CCM?

Lowassa kufutiwa uanachama wa CCM?

Tetesi kutoka chanzo kimoja kilichopo Dodoma katika kikao cha CCM ni kuwa Waziri mkuu huyo wa zamani atafutiwa uanachama na hivyo hatagombea Urais hapo 2015.
Inasemekana awali wajumbe waliomhoji walipendekeza apewe adhabu ya kutokugombea kwa muda wa miezi 18, jambo ambalo lingemfanya kushindwa kugombea katika uchaguzi ujao. Naendelea kufuatilia details nitazileta mapema nikithibitisha maana kikao kilikiwa bado kinaendelea.
Siku zote nasisitiza humu kuwa kuwa... sio lazima mtu mpaka aokote...
Pasco
 
Udini waliouanzisha CCM unawatafuna sana. Majority ya waliopo kwenye CC ya CCM wana chuki na Lowassa, walishasema raisi hatoki kaskazini na wanataka raisi ajaye abaki kuwa wa dini yao...
 
haiwezekani hata kwa ndoto kwani wote humo wananufaika na fedha zake
 
Tetesi kutoka chanzo kimoja kilichopo Dodoma katika kikao cha CCM ni kuwa Waziri mkuu huyo wa zamani atafutiwa uanachama na hivyo hatagombea Urais hapo 2015.
Inasemekana awali wajumbe waliomhoji walipendekeza apewe adhabu ya kutokugombea kwa muda wa miezi 18, jambo ambalo lingemfanya kushindwa kugombea katika uchaguzi ujao. Naendelea kufuatilia details nitazileta mapema nikithibitisha maana kikao kilikiwa bado kinaendelea.

Kwanini usingesubiri kikao cha maamuzi hayo kiishe ili uje na details kamili? Mnajaza server ya watu kwa vi-thread vyenu vya TETESI!
 
Hayo ni mambo ya CHADEMA. By the way, Nani anayefuatia kufukuzwa CHADEMA?
 
Tetesi kutoka chanzo kimoja kilichopo Dodoma katika kikao cha CCM ni kuwa Waziri mkuu huyo wa zamani atafutiwa uanachama na hivyo hatagombea Urais hapo 2015.
Inasemekana awali wajumbe waliomhoji walipendekeza apewe adhabu ya kutokugombea kwa muda wa miezi 18, jambo ambalo lingemfanya kushindwa kugombea katika uchaguzi ujao. Naendelea kufuatilia details nitazileta mapema nikithibitisha maana kikao kilikiwa bado kinaendelea.

Akifukuzwa atagombea kupitia Chadema kwani Padri Slaa alishamtengenezea njia atakayopitia. Yeye kwa sasa anasafisha njia ya KKKT na makanisa mengine.
 
Wakimfuta uanachama nakuwa shoga mazima......don't get me wrong namaanisha haiwezekani
 
Kwanini usingesubiri kikao cha maamuzi hayo kiishe ili uje na details kamili? Mnajaza server ya watu kwa vi-thread vyenu vya TETESI!

Mambo ya kujaza server wewe yasikusumbue kichwa yani ata usihangaike kuhoji maana wewe sio host
 
Tetesi kutoka chanzo kimoja kilichopo Dodoma katika kikao cha CCM ni kuwa Waziri mkuu huyo wa zamani atafutiwa uanachama na hivyo hatagombea Urais hapo 2015.
Inasemekana awali wajumbe waliomhoji walipendekeza apewe adhabu ya kutokugombea kwa muda wa miezi 18, jambo ambalo lingemfanya kushindwa kugombea katika uchaguzi ujao. Naendelea kufuatilia details nitazileta mapema nikithibitisha maana kikao kilikiwa bado kinaendelea.

Ndani za ccm hakuna wa kuthubutu kumgusa EL, wajaribu waone!.
 
Uwezo wa kumfukuza EL uanachama hawana.... Madwani wa Bukoba waliwashindwa, watamuweza EL...!!!
 
CCM hawawezi kuthubutu kumfukuza Lowassa. anamiliki hisa 40%. Wakimfukuza Chama kitameguka kwa hizo asilimia.
 
weweeeeeee nani amfukuze lowasa? hyo sawa na mtu kunywa tindi kali kwa hiyari HAWAWEZI NEVER
 
jk anaogopa retaliation ya lowassa ndo maana anatumia nguvu nyingi kumzuia asigombee
 
Maccm yatahangaika sana mwaka huu, mfa maji haachi kutapatapa, majizi yanahukumiana sijui kesi itaishia wapi, nina wasiwasi na kifo cha waziri Mgimwa, maana inasemekana kuna fedha imepotea wizarani, ukweli utajulikana, poleni vijana msiojitambua, mnaojifanya mnaijua ccm kuliko babu zenu, njaa zitawaangamiza.
 
Back
Top Bottom