Lowassa kufutiwa uanachama wa CCM?

Lowassa kufutiwa uanachama wa CCM?

Tetesi kutoka chanzo kimoja kilichopo Dodoma katika kikao cha CCM ni kuwa Waziri mkuu huyo wa zamani atafutiwa uanachama na hivyo hatagombea Urais hapo 2015.

Inasemekana awali wajumbe waliomhoji walipendekeza apewe adhabu ya kutokugombea kwa muda wa miezi 18, jambo ambalo lingemfanya kushindwa kugombea katika uchaguzi ujao.

Naendelea kufuatilia details nitazileta mapema nikithibitisha maana kikao kilikiwa bado kinaendelea.
Mkuu hizo drama zipo Chadema.
 
CCM hawawezi kuthubutu kumfukuza Lowassa. anamiliki hisa 40%. Wakimfukuza Chama kitameguka kwa hizo asilimia.

sio kitameguka, kitakufa kabisa. Kwa ccm huyo ndiye pekee anayeweza kupeperusha bendera ya U-Rais! Wengine wote hawana tofauti na baba Ritz
 
Last edited by a moderator:
Mkuu bora umeamka kuna habari nimeiona lowasa anatoa misaada kanisani leo unazungumzia vipi hili mkuu
Mkuu unadhani wana JF wote tupo sehemu moja huku nilipo ni saa saba mchana.

Lowassa kutoa msaada hakuna tatizo lolote watanzani desturi na mila zetu ni umoja na kusaidiana.

Nadhani umenielewa kamanda.
 
Mkuu unadhani wana JF wote tupo sehemu moja huku nilipo ni saa saba mchana.

Lowassa kutoa msaada hakuna tatizo lolote watanzani desturi na mila zetu ni umoja na kusaidiana.

Nadhani umenielewa kamanda.

Kweli leo unatetea makafiri na ukafiri wao......madai yako upo meridian ipi
 
Mkuu unadhani wana JF wote tupo sehemu moja huku nilipo ni saa saba mchana.

Lowassa kutoa msaada hakuna tatizo lolote watanzani desturi na mila zetu ni umoja na kusaidiana.

Nadhani umenielewa kamanda.

Kwa kauli yako inaonesha wewe ni member wa TeamLOWASA. Sasa wakimtimua utakwenda nae kama mlivyoapishwa?
Kuni mbichi jikoni!
 
Ndani ya ccm lowasa ni kisiki cha mpingo hawana jeuri ya kumtimua! Anamiliki 80% ya wajumbe wa vikao vyote vya kimaamuzi ndani ya ccm!
 
CCM haifai yote sioyo lowasa sio nani
 
Kamwe CCM na watawala wake hawawezi na hawadhubutu kufanya jambo kama hilo, Inajulikana wazi kuwa CCM ni pango na kimbil;io la wahalifu wa aina zote wakiwamo wezi, mafisadi, walanguzi wa madawa ya kulevya, majangili na wabakaji.

Kwa kuwa Lowassa anajulikana wazi kuwa ni fisadi, msitarajie katu team member ndani ya club ya CCM kudiriki japo kumnyooshea kidole achilia mbali kumfukuza,
 
CCM kumtosa Lowassa ni sawa na kobe kulivua gamba lake alafu akaendelea kuishi CCM ikimtosa EL lazima ife tu.
 
Basi wote waliokula ubwabwa wake kule MONDULI waurudishe , maana tetesi zinadai walikubaliana kwamba gharama ya wali ule ni urais !

mkuu naona unawaza tumbo tu,inaelekea we ndio wale wanaowaza kwa kutumia tumbo,kichwa unafugia nywele
 
Maccm yatahangaika sana mwaka huu, mfa maji haachi kutapatapa, majizi yanahukumiana sijui kesi itaishia wapi, nina wasiwasi na kifo cha waziri Mgimwa, maana inasemekana kuna fedha imepotea wizarani, ukweli utajulikana, poleni vijana msiojitambua, mnaojifanya mnaijua ccm kuliko babu zenu, njaa zitawaangamiza.

Kwani wewe upo chama gani ? Kama upo chama cha Wachaga ukoo wa Mtei ni bora ukae Kiimya Maana Slaa na Mbowe hawana sifa za kuinyoshea CCM kidole Maana wao ni Mafisadi wa Ndani kwa ndani wa fedha za CDM pesa yote inaishia pale pale Makao makuu kinondoni haifiki kwenye Mashina kule chini ili kuimarisha chama Badala yake Slaa anajikopesha mamilioni huku Mbowe nae akibambika Madeni Feki eti anakidai chama pesa zake Binafsi ! Kisha hujilipa pesa za Ruzuku . Mbowe Pia hufuja pesa za Misaada na kujimilikisha kijanja kisha anawakopesha wajumbe wa CC ili awathibiti kirahisi kwani Mjumbe akihoji Jambo hukumbushiwa Deni la Mbowe hivyo kupelekea Wajumbe wote Kuishi Chadema kwa Kauli Mbiu Zidumu Fikra za M/kiti tu Hakuna kupingwa yaani ukithubutu kumpinga tu Deus Malya akina Kilewo Rwakatare Mnyika Lema na Mrema wanaanza kukusogelea kisha majibu unapewa haraka R.I.P chacha Wangwe Mzimu wake upo pale pale makao makuu umesimama wima Ndio Maana Ndege wajanja wameanza kujinasua toka Tunduni mwa Simba Mbowe
 
Mbowe ni Simba na Wana Chadema wengi ni Nyumbu hv unategemea nini ?
 
mkuu inatosha,kama ni waelewa watakuelewa!!
 
CCM kumtosa Lowassa ni sawa na kobe kulivua gamba lake alafu akaendelea kuishi CCM ikimtosa EL lazima ife tu.

Kama ilivyo Vigumu kwa Chadema kuitisha Uchaguzi wa Mwenyekiti ndivyo ilivyo vigumu cc kumtosa EL
 
Uwezo wa kumfukuza EL uanachama hawana.... Madwani wa Bukoba waliwashindwa, watamuweza EL...!!!

Historia yaonesha kwamba ni Wazanzibari tu ndio wanaoweza kufukuzwa CCM. Ona walimfukuza Mansour kwa kupigia debe muundo wa Serikal tatu wakati Bara wanacheza rafu za wazi wazi na kukiuka maadili ya cgama bila kificho lkn hawaguswi KUUMEN NI KUUMENI TU
 
Back
Top Bottom