Lowassa kufutiwa uanachama wa CCM?

Lowassa kufutiwa uanachama wa CCM?

Kama ilivyo Vigumu kwa Chadema kumfukuza Mbowe licha ya Ufujaji wa Pesa za Chama na Mapungufu mengi ndivyo ilivyo vigumu ccm kumfukuza Lowasa Kaa utambuwe Kuwa Yale yote unayoyaona na kuyasikia juu ya Lowasa yote ni kunifanyia Promo tu ili imrahisishie kuingia ikulu kati ya mwaka 2016 au 2017 pindi katiba mpya ikikamilika kwani huenda mwakani 2015 ikawa bado haijakamilika
 
Hawawezi kumvua EL,wote wanamwogopa,hata hawawezi kumpa onyo,chezea EDO wewe!!!!!!!!!!!

Wao wanadhani wanamkomoa Lowasa kumbe wanamfanyia Promo ambayo itamfanya apate huruma za wapiga kura Kama ilivyotokea kwa Kenyata wa Kenya na Zuma wa kule south Africa
 
Tetesi kutoka chanzo kimoja kilichopo Dodoma katika kikao cha CCM ni kuwa Waziri mkuu huyo wa zamani atafutiwa uanachama na hivyo hatagombea Urais hapo 2015.
Inasemekana awali wajumbe waliomhoji walipendekeza apewe adhabu ya kutokugombea kwa muda wa miezi 18, jambo ambalo lingemfanya kushindwa kugombea katika uchaguzi ujao. Naendelea kufuatilia details nitazileta mapema nikithibitisha maana kikao kilikiwa bado kinaendelea.
maamuzi magumu kama hayo labda angekuwepo baba wa Taifa Mwalimu Nyerere,waliopo hakuna mwenye uwezo huo
 
Lowasa anateleza hakamatiki zama za kulala magogoni zimeshatimia anasubiri siku na saa tu .
 
Kama ilivyo Vigumu kwa Chadema kumfukuza Mbowe licha ya Ufujaji wa Pesa za Chama na Mapungufu mengi ndivyo ilivyo vigumu ccm kumfukuza Lowasa Kaa utambuwe Kuwa Yale yote unayoyaona na kuyasikia juu ya Lowasa yote ni kunifanyia Promo tu ili imrahisishie kuingia ikulu kati ya mwaka 2016 au 2017 pindi katiba mpya ikikamilika kwani huenda mwakani 2015 ikawa bado haijakamilika
CCM wanayo kazi sana...sasa imefikia hapo
 
hawana ubavu huo, huyo ndio mgombea pekee anaeukubalika..inawezekana wanaomkataa ni wa kundi la membe na sita
 
Popote penye ulaji hapakosi wapinzani wale wate wenye Nia ya Urais kupitia CCM lazima watakuwa wapinzani wa Lowasa na inaelekea hawajui Kuwa kadri wanavyomfanyia Mizengwe ndivyo wanavyozidi kumfanyia Promo .
 
ni kweli funza, shetani alivomwema atawaparaganyisha kabisa,watalumbana na baadae chama kumeguka,,sala za watanzania zitatimmia,hiki chama kimeshikiliwa na wachache walioharibu misingi yake na kusahau miiko alioiweka baba wa taifa....wacha kife kabisa
Popote penye ulaji hapakosi wapinzani wale wate wenye Nia ya Urais kupitia CCM lazima watakuwa wapinzani wa Lowasa na inaelekea hawajui Kuwa kadri wanavyomfanyia Mizengwe ndivyo wanavyozidi kumfanyia Promo .
 
Hiyo porojo tu kamanda kwani ccm wenyewe hawana maamuzi ya namna hiyo labda kukaa na kupeana posho kwa kujadili majungu tu
 
Tetesi kutoka chanzo kimoja kilichopo Dodoma katika kikao cha CCM ni kuwa Waziri mkuu huyo wa zamani atafutiwa uanachama na hivyo hatagombea Urais hapo 2015.
Inasemekana awali wajumbe waliomhoji walipendekeza apewe adhabu ya kutokugombea kwa muda wa miezi 18, jambo ambalo lingemfanya kushindwa kugombea katika uchaguzi ujao. Naendelea kufuatilia details nitazileta mapema nikithibitisha maana kikao kilikiwa bado kinaendelea.

we mwehu unafikiri ccm ni mambururas kama chadema?
 
CCM hawana ubavu wa mahamuzi kama hayo. Nani amfunge paka kengele? ukoo wa panya unaliindana si kawaida. Heri chama kiishi na mafisadi kuliko kufa. Heri wafe watanzani 1000000 ccm idumu....Huo ndo msimamo wa magamba na kizazi chao.
 
Tetesi kutoka chanzo kimoja kilichopo Dodoma katika kikao cha CCM ni kuwa Waziri mkuu huyo wa zamani atafutiwa uanachama na hivyo hatagombea Urais hapo 2015.
Inasemekana awali wajumbe waliomhoji walipendekeza apewe adhabu ya kutokugombea kwa muda wa miezi 18, jambo ambalo lingemfanya kushindwa kugombea katika uchaguzi ujao. Naendelea kufuatilia details nitazileta mapema nikithibitisha maana kikao kilikiwa bado kinaendelea.

MODS wapo likizo ya valentine......
 
Back
Top Bottom