Lowassa kufutiwa uanachama wa CCM?

Lowassa kufutiwa uanachama wa CCM?

Ni rahisi kwa ngamia kupenya kwenye tundu la sindano kuliko CCM kumtimua rowasa
 
Tetesi kutoka chanzo kimoja kilichopo Dodoma katika kikao cha CCM ni kuwa Waziri mkuu huyo wa zamani atafutiwa uanachama na hivyo hatagombea Urais hapo 2015.

Inasemekana awali wajumbe waliomhoji walipendekeza apewe adhabu ya kutokugombea kwa muda wa miezi 18, jambo ambalo lingemfanya kushindwa kugombea katika uchaguzi ujao.

Naendelea kufuatilia details nitazileta mapema nikithibitisha maana kikao kilikiwa bado kinaendelea.

Haya endelea kufuatilia details....
 
Wa kufanya hivyo nani..!? ccm..!? aah wapi, wajaribu waone chama kinavyokufa.. Wanacheza na Ndosi ee!!
 
Tetesi kutoka chanzo kimoja kilichopo Dodoma katika kikao cha CCM ni kuwa Waziri mkuu huyo wa zamani atafutiwa uanachama na hivyo hatagombea Urais hapo 2015.

Inasemekana awali wajumbe waliomhoji walipendekeza apewe adhabu ya kutokugombea kwa muda wa miezi 18, jambo ambalo lingemfanya kushindwa kugombea katika uchaguzi ujao.

Naendelea kufuatilia details nitazileta mapema nikithibitisha maana kikao kilikiwa bado kinaendelea.

Imethibitishwa ama bado ni tetesi?
 
Sijaona mtu wa kumfukuza mwenzake au kuondoka CCM. Wote wanafanana na hakuna wa kumsuta mwenzake. Kama kuhonga CCM inaiba hadi hazina ya taifa kupata pesa za kuwahonga wapiga kura. CCM karibu kila mbunge wa CCM ameshinda uchaguzi kwa kuhonga, kununua shahada na njia zingine chafu. Nani alishawahi kuitwa na kusimamishwa uongozi kwa kwenda kinyume na maadaili ya chama na kuiaibisha chama kwa rushwa? Hakuna!
Ni kwamba Lowasa yeye kawapiku tu wenzake kwa kuwa na pesa hivyo kuanza kuzigawa mapema kwa hiyo watamkalisha kwamba kwanini anawachezea rafu lakini si kwamba anakiuka maadili kwa kugawa rushwa. Mwisho wa siku wote wataungana kumkubali yeyote atakayepita awe Lowasa au nani. Hapo sahau kabisa kelele za Samuel Sitta. Atanyamaza kimya na Mwakyembe atafyata. Hawapendani lakini wote ni wezi. Wanahofia akiingia mtu mwingine asiyetoka CCM wataulizwa. Kwa maana hiyo bora wabaki wenyewe waswahili wanaojuana kwa vilemba.
 
ccm hiihii ya Tz??!!!
Over ...dead body
 
Yani wakimfukuza EL mvua itanyesha Tanzania tangu Siku hiyo kwa siku 365 bila kukata.
 
Huo UJASIRI ccm hawana. Muulize nape aliwapa mafisadi siku ngapi? Muulize nape na kinana mawaziri mizigo walikubaliana wafanywe nn na kikwete akafanyaje. Hiki chama imejaa ushetani na wote ni mashetan ndo maana ni ngumu kusimamia yale wayasemayo coz hakuna msafi ndani ya ccm
 
Tetesi kutoka chanzo kimoja kilichopo Dodoma katika kikao cha CCM ni kuwa Waziri mkuu huyo wa zamani atafutiwa uanachama na hivyo hatagombea Urais hapo 2015.

Inasemekana awali wajumbe waliomhoji walipendekeza apewe adhabu ya kutokugombea kwa muda wa miezi 18, jambo ambalo lingemfanya kushindwa kugombea katika uchaguzi ujao.

Naendelea kufuatilia details nitazileta mapema nikithibitisha maana kikao kilikiwa bado kinaendelea.

Unadhani CCM ipo kwa ajili ya kupoteza kura? malengo ya CCM ni kushika dola na si kufanya maamuzi kwa ajili ya kumridhisha mtu ama kikundi ama chama.
CCM haiwezi kumvua E.L uanachama zaidi ya kukaa nae na kumwomba kwa malengo ya kudumisha umoja ndani na nje ya CCM.
 
Ccm hawana jeuri hiyo hata kama wangesikia L ameanza kampeni jeuri ya kumfukuza hawana.Hiyo ni mashine kubwa. Hayo wanayaweza cdm tu.
 
Mbona naskia Lowassa kawaambia CCM wakimtosa Urais, anaenda kumleta Daud Balali toka Marekani.
 
Back
Top Bottom