Lowassa kufutiwa uanachama wa CCM?

Lowassa kufutiwa uanachama wa CCM?

Imebainika kwamba lengo la kumwita Lowasa Dodoma ilikuwa ni kumwomba msamaha kwa niaba ya Makonda na Mzee Malecela waliomkashfu,hivyo ikaamuliwe waitwe na wengine kwa nia ya kuficha udhaifu wao.Habari hii nimeipata kutoka kwa mmoja wa kamati iliyokuwa ikiwahoji hapo Dodoma.
 
Kama anafukuzwa mtujuze mapema ili tumpangie namna nyingine ya yeye kukomboa hii nchi.
 
Mnao kula kwa lowasa mnashida kweli,tulia wakati ufike majibu utayapata kwa nini unakumbatia mtu?
wakati ukifika majibu utayapata.
 
Kama anafukuzwa mtujuze mapema ili tumpangie namna nyingine ya yeye kukomboa hii nchi.

Ndiyo karata peker chadema mmebakiza kama agenda. Subirini mzalendo ZITTO atawanyoosha vizuri sana
 
Kama anafukuzwa mtujuze mapema ili tumpangie namna nyingine ya yeye kukomboa hii nchi.
Wewe unataka nini nasikia kafukuzwa juzi toa msimamo wako sasa kama unajinyonga au unasubiri kidogo.
 
Ndiyo karata peker chadema mmebakiza kama agenda. Subirini mzalendo ZITTO atawanyoosha vizuri sana
Ok,kumbe mzee naye anatoka kulekule ndiyo maana wanakomaa naye kumbe wanalao jambo limejificha.
 
Kama anafukuzwa mtujuze mapema ili tumpangie namna nyingine ya yeye kukomboa hii nchi.

njaa njaa, kupenda vya kupewa bure vinamadhara sana. Kama hili jamaa limepewa mikate kanisan na EL sasa hvi linaona ndio Mungu wake
 
njaa njaa, kupenda vya kupewa bure vinamadhara sana. Kama hili jamaa limepewa mikate kanisan na EL sasa hvi linaona ndio Mungu wake

Hawa watahukumiwa kwa kutanguliza tamaa mbele
 
Mradi huo hautekelezeki kamwe! Itakuwa na madhara makubwa sana kwa CCM kuliko wanavyofikiri. Kwa ufupi wamechelewa sana kufanya uamuzi huo, huu sio wakati muafaka, Lowasa ameshawatangulia sana! Watakiharibu chama chao, watafute njia nyingine sio kufukuzana tena na hasa kumfukuza Lowasa ni threat kubwa kwa chama chao. Hii ni tofauti sana na CHADEMA!
 
Tetesi kutoka chanzo kimoja kilichopo Dodoma katika kikao cha CCM ni kuwa Waziri mkuu huyo wa zamani atafutiwa uanachama na hivyo hatagombea Urais hapo 2015.

Inasemekana awali wajumbe waliomhoji walipendekeza apewe adhabu ya kutokugombea kwa muda wa miezi 18, jambo ambalo lingemfanya kushindwa kugombea katika uchaguzi ujao.

Naendelea kufuatilia details nitazileta mapema nikithibitisha maana kikao kilikiwa bado kinaendelea.

Ha ha haa, Kwa CCM haitakaa itokee. wataibuka na kauli kuwa CCM inao wanachama wenye mvuto na wanaopenda kujitolea hivyo waendelee na moyo huo huo.

Halafu mkuu post yako inaweza ikaua!!! Kuna watu wameshaanza kujiandaa kufanya kazi kurugenzi ya mawasiliano ikulu. Unaposema jamaa hatagombea tena unawastua!
 
Back
Top Bottom