Lowassa kavunja record, tumpe kura ya ndiyo

Lowassa kavunja record, tumpe kura ya ndiyo

Kavunja rikodi ya kuwanunua wachagaa. No doubt.

Mie nilifikiri Mmasai hana ujanja kwa wachagga, kumbe ujanja wake ni mdogo sana, pesa tu.

Mkuu mimi ni ccm na ni Mchagga mbona hajaninunua?hili swala la ukabila linakera na haswa pale wana ccm wenzangu wenye kufikiri sivyo ukiwemo wewe kutumia ukabila kwenye siasa.
 
Hahahahahah

Alikuwa mtendaji Mkuu wa Serikali kwa miaka miwili aliuondoa umasikini wa nani?

Mimi nnaona alituzidishia tu umasikini, akashtukiwa.

alivoshtukiwa na kufukuzwa umaskini ukatokomezwa kabisa kikwete hoyeeee
 
alivoshtukiwa na kufukuzwa umaskini ukatokomezwa kabisa kikwete hoyeeee

Alishtukiwa wape ili ilikuwa wivu wa kisiasa wa akina Mwakyembe na akina Sitta lakini kama msemo usemao Riziki ya mtu haiziliki na mwanadamu inacheleweshwa tu ndo kinacho onekana sasa. Fainali 25th.10.2015.
 
Alikua akitumikishwa na chama cha mafisadi CCM

CCM imedhihirisha kuwa ni chama cha wananchi. Lowassa amejaribu akashindwa kuinunuwa CCM na fedha zake zote, kaweza kuwanunua wachagga bila jasho.

Sishangai kwa kuwa chadomo ni kampuni binafsi ya Mtei na Mkwewe.

Fikiri.
 
Hata mchonge vip lkn huyo ndio raid wenu hamtaelewa saiv mtaelewa baadaw .....mungu ibariki Tanzania ....mbariki lowasa
 
Kwa lipi Lowassa kazidi Umasikini???
Ameacha Huo Uwaziri mkuu miaka 8 iliyopita,ufisadi wa Tegeta Escrow nani kaufanya?
Ufisadi wa Mabehewa mabovu ya treni ni nani??

Tatizo sio Lowassa ni Mfumo wa CHAMA CHA MAPINDUZI.
Kawadanganye waliokunywa maji ya bendera ya ccm.
Mwaka mtalia kilio cha samaki machozi hayaonekani.
Tatizo la umeme mpaka kesho halijamwlalizwa na MAGAMBA,kama mnavyokata umeme mtaani kama huo ndio utamu basii NAMI KURA YANGU ITATUMIKA KUWAKATA CCM KWENYE UCHAGUZI WA 25/10/2015.

Kutuweka kizani miaka miwili na Richmond yake kama si kutuongezea umasikini ni nini?
 
''if you talk about me, while you don't know me, you will be talking about yourself"...50cent
ukitaka kujua tabia za mtu, angalia tabia za marafiki zake.
Mkuu naona hapa umejaribu kuongelea hisia zako juu ya Mheshimiwa Lowasa, but nat the way he is.
 
Back
Top Bottom