Lowassa kavunja record, tumpe kura ya ndiyo

Lowassa kavunja record, tumpe kura ya ndiyo

Soma ilani ya CCM, tuliukuta umasikini wa 60% sasa hivi kipindi cha Kikwete tumeubakisha 28%.

Umasikini hata USA upo. Alikudanganya Lowassa ataumaliza wakati mtu kama wewe umasikini upo kwenye ubongo wako, Fikiri kama unaweza.
mmetudanganya muda mrefu sana , inatosha sasa .
 
Lowassa ni mvumilivu sana
Lowassa anayajua majizi yote makubwa na madogo Nji hii
Lowassa na Sumaye wanaujua fika udhaifu Wa Lodi Loffa na Mbayuwayu na Magamba wote

QUOTE=12STONE;14038061]Sifa zake ni nyingi tena sio za kumbomoa bali zinamjenga na kuzidi kukubalika katika jamii yetu Watanzania.

-HANA PUPA KATIKA UTENDAJI WAKE.
-NI MPOLE.
-NI MAKINI SAANA.
-HANA SIASA ZA MATUSI.
-ANA DHAMIRIA KWELI KUONDOA UMASIKINI WA WATANZANIA.
-Ni Waziri Mkuu Mstaafu wa kwanza KUIHAMA CCM.
amevunja mwiko,kaonyesha nje ya ccm bado kuna maisha sahihi na salama.

-ANA KIBALI CHA KUPENDWA NA WATANZANIA WENGI.
-UTENDAJI WAKE HULETA FAIDA KWA TAIFA LOTE NA SIO HASARA.

LOWASSA MABADILIKOOOOO!!!!! MABADILIKO LOWASSA.

USIFANYE AJIZI/KOSA MWAKA HUU CHAGUA LOWASSA NI CHAGUO SAHIHI KWA KIZAZI CHETU.

Puuza Propaganda na Vitisho wa CCM,Hakuna kura itakayoibiwa hivyo ukimpigia Lowassa KURA,pamoja na Wagombea Ubunge na Udiwani wanaotoka vyama vya CHADEMA,CUF,NLD NA NCCR-MAGEUZI {UKAWA} Utaleta Mabadiliko ya kweli katika Taifa letu.

Mimi na Familia yangu yooote KURA YANGU YA NDIYO NI KWA LOWASSA.
[/QUOTE]

Maneno yako mazito kweli kweli. Miaka 8 Lowasa tangu ajiuzuru, kama angehama CCM muda huo angekuwa amejijenga sana CHADEMA.

Sumaye mara 2 amechukua fomu kugombea Urais ndani ya CCM na mara zote amakatwa. Sumaye pia ni muda mrefu akiwa mtazamaji tu kwenye uongozi CCM, muda huo ungekuwa umetosha kujijenga kisiasa nje ya CCM.

Wote wanaamini mabadiliko nje ya CCM.

Busara yangu inashindwa kuelewa kwa nini hawa wamehama mara tu baada ya kukatwa.

Naomba usiwasemee kwa sababu hujui yaliyomo moyoni mwao. TAFAKARI CHUKUA HATUA
 
Huyu ajuza anamatatizo hasa ya udini na kabila, inasikitisha sana hata sheria ya mitandao hawafuatilii post za huyu mama za kichochezi.
Siasa zisiharibu misingi ya umoja wa taifa hili
 
LOWASA kwenye familia yetu ana kura za ndiyo 10

LOWASA HUYO ANAKUJA NA TANZANIA MPYA
 
Sifa moja kubwa zaidi ya Lowassa ni fisadi papa.

Sababu kuu ya matatizo ya Tanzania ni kuwa na viongozi aina ya Lowassa.

Kama tunataka matatizo ya Tanzania yaendelee kuwepo basi hatuna budi tumpe kura za ndiyo Lowassa ili awe Rais wa Tanzania.

Ni vizuri tumpe kura ya ndiyo Lowassa ili avunje record ya kuwa Rais wa Tanzania ambaye ni fisadi papa!

The choice is yours!

Binti
Hizo ni hisia tu. Jifunze kujenga hoja.
 
hata kama ccm watachakachua Lowasa ni sura ya siasa ya tanzania
 
Hahahahahah

Alikuwa mtendaji Mkuu wa Serikali kwa miaka miwili aliuondoa umasikini wa nani?

Mimi nnaona alituzidishia tu umasikini, akashtukiwa.

Sifa moja kubwa zaidi ya Lowassa ni fisadi papa.

Sababu kuu ya matatizo ya Tanzania ni kuwa na viongozi aina ya Lowassa.

Kama tunataka matatizo ya Tanzania yaendelee kuwepo basi hatuna budi tumpe kura za ndiyo Lowassa ili awe Rais wa Tanzania.

Ni vizuri tumpe kura ya ndiyo Lowassa ili avunje record ya kuwa Rais wa Tanzania ambaye ni fisadi papa!

The choice is yours!

Kula limao ili utoe roho ya kukataa mabadiliko iliyo ndani mwako. Chagua Lowassa kwaendeleo.
 
Attachments

  • 1442680190466.jpg
    1442680190466.jpg
    8 KB · Views: 134
  • 1442680268222.jpg
    1442680268222.jpg
    8.6 KB · Views: 130
Kavunja rikodi ya kuwanunua wachagaa. No doubt.

Mie nilifikiri Mmasai hana ujanja kwa wachagga, kumbe ujanja wake ni mdogo sana, pesa tu.

Tushafanya maamuzi sisi we piga domo tu.
 
Attachments

  • 1442680461735.jpg
    1442680461735.jpg
    27.8 KB · Views: 115
Sifa zake ni nyingi tena sio za kumbomoa bali zinamjenga na kuzidi kukubalika katika jamii yetu Watanzania.

-HANA PUPA KATIKA UTENDAJI WAKE.
-NI MPOLE.
-NI MAKINI SAANA.
-HANA SIASA ZA MATUSI.
-ANA DHAMIRIA KWELI KUONDOA UMASIKINI WA WATANZANIA.
-Ni Waziri Mkuu Mstaafu wa kwanza KUIHAMA CCM.
amevunja mwiko,kaonyesha nje ya ccm bado kuna maisha sahihi na salama.

-ANA KIBALI CHA KUPENDWA NA WATANZANIA WENGI.
-UTENDAJI WAKE HULETA FAIDA KWA TAIFA LOTE NA SIO HASARA.

LOWASSA MABADILIKOOOOO!!!!! MABADILIKO LOWASSA.

USIFANYE AJIZI/KOSA MWAKA HUU CHAGUA LOWASSA NI CHAGUO SAHIHI KWA KIZAZI CHETU.

Puuza Propaganda na Vitisho wa CCM,Hakuna kura itakayoibiwa hivyo ukimpigia Lowassa KURA,pamoja na Wagombea Ubunge na Udiwani wanaotoka vyama vya CHADEMA,CUF,NLD NA NCCR-MAGEUZI {UKAWA} Utaleta Mabadiliko ya kweli katika Taifa letu.

Mimi na Familia yangu yooote KURA YANGU YA NDIYO NI KWA LOWASSA.

hata mimi nampa LOWASSA
 
Soma ilani ya CCM, tuliukuta umasikini wa 60% sasa hivi kipindi cha Kikwete tumeubakisha 28%.

Umasikini hata USA upo. Alikudanganya Lowassa ataumaliza wakati mtu kama wewe umasikini upo kwenye ubongo wako, Fikiri kama unaweza.
kachukue buku saba lumumba
 
Back
Top Bottom