Naomba niwasaidie msiojua. Neno ni "MAADUI" kwa Jk & El ni fahari kwao na ndo nguzo ya kutimiza matakwa yao kisiasa. Tujikumbushe tu kwamba suala la El Kumfikisha Jk Magogoni halihitaji miwani, na kazi hihi Eli kama Mkristo hakuifanya kwa maana ya kutenda wema na kuundoka zake!
Bali ulikuwa ni mpango wake kuhakikisha awamu ijayo nae anaingia Magogoni. Kwa maana hiyo El maana yake halisi kumfikisha Jk hapo alipo ni kwamba alimwaga sehemu ambayo ni rahisi kuzoa.
Mwanakijiji wewe ni mchambuzi mzuri mfano wa chekundu - cheusi unafurahisha lakini katika muktadha huu ni mfano mfu. Nani alikwambia kuwa Mh. Lowassa na Rais Kikwete ni maadui? Watu wanawekewa maneno nao wanayabeba kama majuha.
Lowassa na Rais Kikwete ni Marafiki wa siku nyingi na hakuna wa kuwatenganisha wala wao hawana sababu za kuwa maadui, wawe maadui kwa lipi???
Anayesema kuwa hawa ni maadui ama atakuwa ana matatizo kwenye ubongo na mfumo wote wa ufahamu wake au atakuwa ni wakala wa kuendelea kupumbaza watu kwa makusudi yao na hapo ndipo wanaokubali na kufikiri kuwa ni maadui ndio wanachezeshwa chekundu- cheusi!!
Hii ni JF watu tuna vichwa vizuri!!
This time hatarudi!, he won't play anymore, "the games people play"!.Siupendi sana huu mchezo;
Ni wazi mwisho wa kundi la Lowassa utaanzia leo; hasa tukisubiri uundwaji wa sekretariati mpya ya CCM ambayo itakipeleka chama hicho kwenye uchaguzi mkuu wa 2015. Mtu kaliwa. Lakini atarudi tena na fedha nyingine kujaribu kucheza mchezo ambao uko dhidi yake?
Mh. Lowasa atapoteza fahamu safari hii, jiulize mkuu, kama yeye ana watu anaowaamini, kwa nini alikimbia kundi lakifo? Hakuna kitu tena pale! Ngoja tusubiri kama bado atakuwa na nguvu ya kwenda kwenye makanisa, mashule na misikiti kutoa vijisenti eti michango! Mwizi tu!
Kama EL alikuwa na nia ya dhati ya kutaka kupewa nafasi ya kuongoza CCM ili awee kujiandalia mazingira mazuri kwa 2015 basi alipaswa kuiga mbinu za Jacob Zuma wa South Africa. Hali ya ANC ilikuwa kama ilivyo sasa hali ya CCM, Jacob Zuma ambaye alikuwa amechafuka sana mbele ya jamii kwa kashfa za ufisadi alijipanga na kuweka wazi uadhaifu wa kiutendaji wa Rais Thabo Mbeki. Na alichofanya Jacob Zuma hakujificha nyuma ya migongo ya wanachama wa ANC, alijitokeza wazi wazi na kupata support ya vijana wakiongozwa na aliyekuwa mwenyekiti wa Youth League Julius Malema. Jacob Zuma aliamua kuweka nia yake ya kutaka uongozi wa juu wa NC, na Alijaza form, na walipoingia kwenye uchaguzi alimgalagaza Thabo Mbeko vibaya mno. Baada ya Miezi michache Jacob Zuma aliitisha NEC ya ANC iliyojadili utedaji kazi wa Serikali na kuamua kuiunda upya serikali iliyokuwa imeyumba kiuongozi na kiutendaji na kuomba Thabo Mbeki ajiuzuru. Kwa vile NEC ya ANC ilikuwa imeundwa na washabiki na wafuasi wa karibu wa Jacob ZUma kama ambavyo NEC ya CCM imejaza Pro Lowassa, haikuwa kazi kumuengua Thabo Mbeki na kusadia Jacob Zuma Kushinda uraisi wa Afrika kusini kamatika uchaguzi mkuu uliofuata hapo Baadaye. Nilitegemea Lowasa angejitokeza blodly kama Jacob Zuma kumpinga JK wazi wazi katika uchaguzi, na kama Lowassa angedhamiria na kujipanga mapema bila shaka angemuondoa JK katika kinyangányiro hiki.
Mwanakijiji wewe ni mchambuzi mzuri mfano wa chekundu - cheusi unafurahisha lakini katika muktadha huu ni mfano mfu. Nani alikwambia kuwa Mh. Lowassa na Rais Kikwete ni maadui? Watu wanawekewa maneno nao wanayabeba kama majuha.
Lowassa na Rais Kikwete ni Marafiki wa siku nyingi na hakuna wa kuwatenganisha wala wao hawana sababu za kuwa maadui, wawe maadui kwa lipi???
Anayesema kuwa hawa ni maadui ama atakuwa ana matatizo kwenye ubongo na mfumo wote wa ufahamu wake au atakuwa ni wakala wa kuendelea kupumbaza watu kwa makusudi yao na hapo ndipo wanaokubali na kufikiri kuwa ni maadui ndio wanachezeshwa chekundu- cheusi!!
Hii ni JF watu tuna vichwa vizuri!!
Kama kawaida Pro-Chadema JF wanamjadili rais atakayekuja ambaye hatatoka CCM wamemsahau kabisa Dr Slaa na Chadema yao.
sema wewe ndiye unayemwamini, unamwamini kama nani? Nimuamini EL katika fungu lipi, sina imani na mtu yeyote hapa, LIFE GOES ONMwanakijiji yuko Detroit. Anamwongelea lowassa ambaye hamfaham vizuri. Hearsay, Wabongo wanamwamini.Kwanza unachoandikaga sikuelewi..
mwanakijiji wewe ni mchambuzi mzuri mfano wa chekundu - cheusi unafurahisha lakini katika muktadha huu ni mfano mfu. Nani alikwambia kuwa mh. Lowassa na rais kikwete ni maadui? Watu wanawekewa maneno nao wanayabeba kama majuha.
lowassa na rais kikwete ni marafiki wa siku nyingi na hakuna wa kuwatenganisha wala wao hawana sababu za kuwa maadui, wawe maadui kwa lipi???
Anayesema kuwa hawa ni maadui ama atakuwa ana matatizo kwenye ubongo na mfumo wote wa ufahamu wake au atakuwa ni wakala wa kuendelea kupumbaza watu kwa makusudi yao na hapo ndipo wanaokubali na kufikiri kuwa ni maadui ndio wanachezeshwa chekundu- cheusi!!
Hii ni jf watu tuna vichwa vizuri!!
Kama kawaida Pro-Chadema JF wanamjadili rais atakayekuja ambaye hatatoka CCM wamemsahau kabisa Dr Slaa na Chadema yao.......
Mwanakijiji wewe ni mchambuzi mzuri mfano wa chekundu - cheusi unafurahisha lakini katika muktadha huu ni mfano mfu. Nani alikwambia kuwa Mh. Lowassa na Rais Kikwete ni maadui? Watu wanawekewa maneno nao wanayabeba kama majuha.
Lowassa na Rais Kikwete ni Marafiki wa siku nyingi na hakuna wa kuwatenganisha wala wao hawana sababu za kuwa maadui, wawe maadui kwa lipi???
Anayesema kuwa hawa ni maadui ama atakuwa ana matatizo kwenye ubongo na mfumo wote wa ufahamu wake au atakuwa ni wakala wa kuendelea kupumbaza watu kwa makusudi yao na hapo ndipo wanaokubali na kufikiri kuwa ni maadui ndio wanachezeshwa chekundu- cheusi!!
Hii ni JF watu tuna vichwa vizuri!!
Ritz ndg. yangu, una tatizo kubwa. Nenda hospitalini ukapimwe akili, kwa maana nadhani unaugongwa unaoitwa CHADEMA. Chadema wanaingiaje kwenye minyukano yetu? Kwani hakuna makundi kwenye chama chetu ?
Khaaaa ! Unatia kinyaa. you are not helping CCM. you are exposing how CCM people have small brains. Sorry but that is the truth
si ungemalizia kwa kiswahili tu! hiyo inglishi yako ni ya darasa la pili shule ya kata!.......
Siupendi sana huu mchezo; kwani unaweza kukuaminisha kabisa kuwa utashinda.
..............
Ni wazi mwisho wa kundi la Lowassa utaanzia leo; hasa tukisubiri uundwaji wa sekretariati mpya ya CCM ambayo itakipeleka chama hicho kwenye uchaguzi mkuu wa 2015. Mtu kaliwa. Lakini atarudi tena na fedha nyingine kujaribu kucheza mchezo ambao uko dhidi yake?
Nenda kamuulize Mh.Lowasa yamemkuta yepi kipindi hiki cha uchaguzi wa viongozi Taifa nadhani atakupa jibu sahihi zaidi,ukweli unaendelea kubaki ukweli.kama hujui ni vizuri ukatafuta ukweli vinginenyo nawe ni mtiifu kwake sasa mambo yamewashinda mnaanzisha kujifanya hamjui yaliyotukia pale Dodoma.Kimsingi we were aware kuliko unavyofikiri na kudhani tunaandika toka ndotoni mkuu,mie si mnajimu wa kumzushia Mh.Lowasa wala wewe ila i know the fact...!Mlidhani mambo yenu hayajulikani?!Hivi kweli Lowassa ni dumb kiasi hicho cha kuandaa mkutano Dodoma kipindi hiki na watu wake?
Hujalewa wakati unaandika haya?