Mwamba Usemao Kweli
JF-Expert Member
- Oct 5, 2012
- 744
- 186
Ndo uwezo wa akili yako ilipofikia?
MKuu, mie huwa naamini sana taharifa zako....hebu funguka tukusome kwa faida ya wanaJF wotekuna kitu kimoja wengi kitawasumbua kwa mda kidogo na wengi wanaweza wasikifahamu
kabisa
Mkuu wewe kweli uko sawasawa! Siku zote nimekuwa nikijiuliza ugomvi tunaoaminishwa kati ya lowasa na kikwete chanzo ni nini? Nimefuatilia sijaona hata mtu mmoja mwenye ushahidi kwamba hawa watu hawapatani! Tanzania ni nchi ya MAZUZU, siku zote ni watu wakuchezewa propaganda na wenyewe wana dance without questioning. Hii ni cinema walipanga siku nyingi hawa mabwana kutuhadaa, but at the end of the day watanzania wataingia kingi! Tangu EL alipopigwa chini u prime minister kutokana na maskendo, walikaa chini na kupanga watoke vipi! Kaka akamwambia bwana eeh mimi nikikuunga mkono directly watu hawatatuelewa! Tujifanye haziivi but nitakuwa nakusapoti kuandaa watu watakaokupitisha ili uni replace kwa ofisi! Kama tunaipenda TZ ni lazima tuhakikishe WANAMTANDAO WOTE WASITUCHEZEE AKILI, KWANI NDIO WALIOTUWEKEA KAKA, NA HIVI SASA WANATULAGHAI KWA KUTAKA KUTUWEKEA MWANAMTANDAO MWINGINE! KINACHOFANYIKA NI KUHAKIKISHA WATANZANIA HAWAFIKIRI WATU WENGINE ILA WAO TU ! HII INARATIBIWA NA MAKANJANJA WA VYOMBO VYA HABARI, AMBAO KWA HAKIKA NDIO WALIOTUFIKISHA HAPA TULIPO. HII MEDIA YA BONGO IS TOO SUBSTANDARD KUTUELEKEZA NANI ANAFAA KUWA RAIS! NI WAKATI MUAFAKA SASA WATANZANIA KUWAHOJI WANAOTAKA KUTUONGOZA NINI WANAWEZA KUTUFANYIA AND HOW B4 KUWAPA MADARAKA NA SI KUSIKILIZA VIGAZETI UCHWARA! All in all BIG UP SANA MKUU, TUPO PAMOJA!Mwanakijiji wewe ni mchambuzi mzuri mfano wa chekundu - cheusi unafurahisha lakini katika muktadha huu ni mfano mfu. Nani alikwambia kuwa Mh. Lowassa na Rais Kikwete ni maadui? Watu wanawekewa maneno nao wanayabeba kama majuha.
Lowassa na Rais Kikwete ni Marafiki wa siku nyingi na hakuna wa kuwatenganisha wala wao hawana sababu za kuwa maadui, wawe maadui kwa lipi???
Anayesema kuwa hawa ni maadui ama atakuwa ana matatizo kwenye ubongo na mfumo wote wa ufahamu wake au atakuwa ni wakala wa kuendelea kupumbaza watu kwa makusudi yao na hapo ndipo wanaokubali na kufikiri kuwa ni maadui ndio wanachezeshwa chekundu- cheusi!!
Hii ni JF watu tuna vichwa vizuri!!
Kama kawaida Pro-Chadema JF wanamjadili rais atakayekuja ambaye hatatoka CCM wamemsahau kabisa Dr Slaa na Chadema yao.
Ni wazi mwisho wa kundi la Lowassa utaanzia leo; hasa tukisubiri uundwaji wa sekretariati mpya ya CCM ambayo itakipeleka chama hicho kwenye uchaguzi mkuu wa 2015. Mtu kaliwa. Lakini atarudi tena na fedha nyingine kujaribu kucheza mchezo ambao uko dhidi yake?
kuna kitu kimoja wengi kitawasumbua kwa mda kidogo na wengi wanaweza wasikifahamu kabisa
JF kuna vichwa maji vya ajabu sana pia!!!
Gaidi siku hizi umehamia kwenye Taarabu nini? Naona unakuja ni misemo ya Hadja KopaHuyu kijana anaejiita Mzee Mwanakijiji, anaonesha kwa dhati kabisa kuwa ni fataani kwelikweli na anataka kuwaaminisha watu yasiyokuwepo.
Humjui Kikwete humjui Lowassa, unawasikia tu.
Mtakufa navyo vijiba vya roho!