mito
JF-Expert Member
- Jun 20, 2011
- 10,811
- 11,031
Aaaaaah akyamama
smartphone umenunua lini?mkuu.
aisee! huku ni kupanic ama!!? msalimie Bashe akupe buku 10 yako.
Ni ushauri aende hospitali akapime hizo difficiency kwa usahihi zaidi, ma GP wengi hua hawangalii vitu kama Magnesium ama Iron ndo chimbuko la matatizo mengi. Hata hivyo ni ushauri kwa afya yake mwenyewe, akipenda aende hospitali akitaka asiende pia.
Lowasa mungu amempiga kibogo mazambi yote aliyoyafanya kwa wezake NHS matunda take,unazani mungu anapenda kuwanyonyo ngozi wenzako?
asante ndugu mtaalam kwa huruma yako , nina kijiswali uchwara , je asipofuata ushauri huu tutegemee nini miezi michache ijayo ?
smartphone umenunua lini?mkuu.
daktari wapi mkuu huyu ni hao hao akina matunge herbalistDu zinga la daktari! Du daktari bingwa tena. Na zaidi ni bingwa wa mabingwa!
Ni ushauri aende hospitali akapime hizo difficiency kwa usahihi zaidi, ma GP wengi hua hawangalii vitu kama Magnesium ama Iron ndo chimbuko la matatizo mengi. Hata hivyo ni ushauri kwa afya yake mwenyewe, akipenda aende hospitali akitaka asiende pia.
Hivi ni ameshindwa kusimama au alikuwa anasogeza kiti akae vizuri!!! Acheni ushabiki usio na maana... Mbona mnahangaika sana na Lowasa!! Watangaza nia wapo 37 hamuwaoni mnamuona Lowasa tu... Au ndio nyota.. Acheni mambo yenu bhana
Hivi unamuonaje Lowassa? Wewe ndio wa kumshauri kuhusu matibabu yake? Kwamba ana upungufu wa magnesium na iron? Kwamba hajui tatizo lake? Huyu mheshimiwa ni miongoni mwa watanzania wachache sana wanaopata world class healthcare. Mafua kidogo tu anakwenda hosipitali Ujerumani. Yote haya kwa ukwasi alioupata kutokana nyadhifa alizowahi kushika serikalini.
Naamini sio white hair, nafikiri ni gray.
Watz wengi tunaimin naye sana
Hakuna confidentiality kwa mtu anayetaka kuwa rais wa nchi. Lazima wananchi wamfahamu vyema ndipo waamue kama anastahili na anaweza kuwa rais wao.sasa hapa unatoa ushauri kwa wana JF au LOwasa na kma ni kwa lowasa sabab umesha mdiagnose na mineral deficiency jua una bleach patient right to confidentiality kwa kutoa huo unaita ushauri kwa kadamnasi sijui ni daktari gani ww usie jua ethics