Lowassa inawezekana huna Parkinson's disease - PD

Lowassa inawezekana huna Parkinson's disease - PD

Kama sio sasa ni lini?....wamwage mboga tumwage ugali.....

Amueni moja mumpe au mumnyime tuwape ukawa....habari ndio hiyooooooooo.
 
nani ampe?

asiyeumwa hapa nani ainue kidole juu?...parkinson.. Parkinson kelele kila siku mnatuchoshaaaaaa....watu na virusi vyao tumenyamaza hatusemi seuse parkinson....kwendreeeeeeni kuleeeeeeeeeeee....

Juzi kati hapa mtu kaugua hadi busha na bado anaongoza na shillingi inaporomoka mmekaa kimya sie leo tumechoka na kero zenu tunashindwa kuinuka kwenye kiti ndio mnatuona hatufai kuwaongoza watanzania........

Tutampa urais kupitia ccm ...na kama hamumpitishi tunamwaga ugali...zigo linaenda ukawa ndio mujuwe kilichomnyima kuku kukojoa ni nini....arghhhhhhhhhhhhh.

Muwike musiwike ndio huyoo....mutake musitake ndio huyooo......tena bora sahivi anaingia mgonjwa kutuongoza huenda dawa na vifaa tiba vikajaa mahospitalini maana trip za nje zitamchosha na yeye hapendi kutembeatembea na kwenda kubembea jamaica.

Hao wazima walioongoza nchi wamefanya nini cha ajabu hata sie wagonjwa tushindwe?....kushusha thamani ya shilingi hata chizi wa milembe anaweza...haya semeni sie wagonjwa wa parkinson tutashindwa nini?.....

Arghhhhhh....mnfyuuuuuuuuuuuu.

Vote for lowasa vote for poverty alleviation (team black billionaires in the making)
 
Who Cares? Umepaniq! hahahaha mhurumieni basi mzee wa watu mkuu! mtamuua sasa!
 
Last edited by a moderator:
Nimeicopy kwenye group la friends of Lowassa Michael fox diagnosed with parkison at the age of 30 but he remains working as an actor in Hollywood till now, muhammad Ali,janet reno was nominated American Attorney general when she just got the disease, bob hoskins health living it, nafikiri tusitumie ugonjwa kumuhukumu maana haujamfanya ashindwe kufanya kazi kazunguka nchi nzima wenzake wote wamekaa dar wametuma watu wazunguke nani mgonjwa
 
Nimeona video ya ndugu Lowasa ina circulate u-tube, akishindwa kunyanyuka. Na pia niliona humu wakiongelea kuhusu kuwa ana Parkinson's disease. Yawezekana ni kweli, lakini nimejaribu kuangalia symptoms zingine mfano:

1. Lowasa alikuwa na pre-mature grey hair.

2. Lowasa ama develop kitambi

3. Lowasa anapata matatizo ya kuongea.

4. Lowasa ana matizo ya joints

5. Lowasa utakuwa na matatizo ya kumbukumbu --assumption

6. Lowasa utakuwa na matatizo ya tumbo kuunguruma -- assumption

7. Lowasa utakuwa na matatizo ya burning feet -- assumption

8. Lowasa utakuwa na matatizo ya gum bleeding -- assumption.

9. Lowasa utakuwa na matatizo ya kusinzia -- Assumption

10. Lowasa una high pressure-- assumption

NA kama una symptoms moja wapo kuanzia namba 5 hadi 10, kwa maana 1 hadi 4 ziko proved. Basi wewe unatatizo la ANEMIA toka ukiwa mdogo, umeliacha kwa mda mrefu na lime develop hizo symptoms unazoziona leo.

Na kama namba tisa 5 hadi 10 zipo hizo symptoms japo moja tu, basi uwezekano mkubwa una IRON, MAGNESIUM DEFICIENCY ama vitamin D2, D3 na D.

Kama ndivyo, nenda kacheck mineral zote na vitamin zote kwa uhakika zaidi. Ni ushauri tu kwa mapenzi mema kwa wanadamu wote.
copied from friends of Lowassa

Michael fox diagnosed with parkison at the age of 30 but he remains working as an actor in Hollywood till now, muhammad Ali,janet reno was nominated American Attorney general when she just got the disease, bob hoskins health living it, nafikiri tusitumie ugonjwa kumuhukumu maana haujamfanya ashindwe kufanya kazi kazunguka nchi nzima wenzake wote wamekaa dar wametuma watu wazunguke nani mgonjwa
 
Nimeona video ya ndugu Lowasa ina circulate u-tube, akishindwa kunyanyuka. Na pia niliona humu wakiongelea kuhusu kuwa ana Parkinson's disease. Yawezekana ni kweli, lakini nimejaribu kuangalia symptoms zingine mfano:

1. Lowasa alikuwa na pre-mature grey hair.

2. Lowasa ama develop kitambi

3. Lowasa anapata matatizo ya kuongea.

4. Lowasa ana matizo ya joints

5. Lowasa utakuwa na matatizo ya kumbukumbu --assumption

6. Lowasa utakuwa na matatizo ya tumbo kuunguruma -- assumption

7. Lowasa utakuwa na matatizo ya burning feet -- assumption

8. Lowasa utakuwa na matatizo ya gum bleeding -- assumption.

9. Lowasa utakuwa na matatizo ya kusinzia -- Assumption

10. Lowasa una high pressure-- assumption

NA kama una symptoms moja wapo kuanzia namba 5 hadi 10, kwa maana 1 hadi 4 ziko proved. Basi wewe unatatizo la ANEMIA toka ukiwa mdogo, umeliacha kwa mda mrefu na lime develop hizo symptoms unazoziona leo.

Na kama namba tisa 5 hadi 10 zipo hizo symptoms japo moja tu, basi uwezekano mkubwa una IRON, MAGNESIUM DEFICIENCY ama vitamin D2, D3 na D.

Kama ndivyo, nenda kacheck mineral zote na vitamin zote kwa uhakika zaidi. Ni ushauri tu kwa mapenzi mema kwa wanadamu wote.

Mkuu, either you have poor reasoning as a medical personnel or hujui unachokisema.

1. You should understand that 'Anemia/ Anaemia' tells you there's a problem, but by itself isn't a problem per se! Inakueleza tu kuwa kuna upungufu wa damu, lakini issue si anemia issue ni kujua nini kinachosababisha upungufu huo.

2. Ningekushauri kuchunguza vitu kabla ya kuconclude, mfano tatizo la anemia ambalo halikutibika toka utotoni ndilo lenye kuleta gray hair, kitambi, kushindwa kuongea n.k. Hebu tuongee kitabibu, ni wagonjwa wa ngapi wenye tatizo hilo la "upungufu wa damu tunaowahudumia hadi wanakuwa watu wazima hawana hizo dalili? Why only him?

3. Assumed symptoms (5 to 10), usikurupuke kugeneralize, unapaswa kutambua vitamins na minerals ni composition ndogo sana katika mwili wa binadamu, pili katika dunia ya sasa statistically(refer WHO,MoHSW) hili limepungua kwa kiasi kikubwa, hatutegemei tatizo hili kwa watu wenye socio economic status kubwa. Na hapa ndipo napokuuliza unatrgemea Mh. Lowassa anaweza kuwa na shida hiyo?

Mwisho nikukumbushe/nikueleze kuwa dalili nyingi huweza kumaanisha tatizo moja, vile vile dalili nyingi zaweza kumaanisha magonjwa mengine pia. Ni vizuri kufikiri zaidi ya uoanapo.
Mf. Labda kwa sababu Mh. Lowassa ana tatizo la unywaji wa muda mrefu unaweza ukasema ana Korsakoff syndrome inayopelekea yeye kutetemeka, na kuwa na dalili nyingine nyingi mfano dalili namba 2,3,5,6,7,8,9, 10...Lakini tambua dalili nyingine zinaingiliana(overlap) na dalili za kisukari ambacho Mh. Lowassa anaumwa na yuko katika matibabu
 
Back
Top Bottom