OgwaluMapesa
JF-Expert Member
- May 24, 2008
- 10,942
- 437
Mwaka huu lowassa atakoroga wengi,kila mahali ni lowassa lowassa,nakumbuka hata jk alivyokuwa anagombea walisema ana matatzo ya pumbu moja ndo huyo mpaka leo anadunda
Ndio rais ataekufa kabsla hajamaliza muda wake kama atapitishwa
Wanaojinadi kumpenda mie naona ni kinyume chake!Ndio rais ataekufa kabla hajamaliza muda wake kama atapitishwa
Huna mamlaka juuuhaiuhaiaunakifokifo kwako au kwa mwenzakoi.isitoshe ugonjwa haunahhodiunaingia na kkutoka kwa mtu yeyote, futakkauli yyako.
Ndio rais ataekufa kabla hajamaliza muda wake kama atapitishwa
Huna mamlaka juuuhaiuhaiaunakifokifo kwako au kwa mwenzakoi.isitoshe ugonjwa haunahhodiunaingia na kkutoka kwa mtu yeyote, futakkauli yyako.
asante ndugu mtaalam kwa huruma yako , nina kijiswali uchwara , je asipofuata ushauri huu tutegemee nini miezi michache ijayo ?sijasema haingii ama anaingia, bali namshauri aka check hizo deficiency. Ni uamuzi wake nini cha kufanya kila kitu kiko ndani ya mahakama yake mwenyewe.
smartphone umenunua lini?mkuu.
Hivi zile huwa ni grey hair au ni White hair..!?
Does it have any significance of what going on? Kwanini sasa hivi?
kwasababu ni le fisadi.Hivi ni ameshindwa kusimama au alikuwa anasogeza kiti akae vizuri!!! Acheni ushabiki usio na maana... Mbona mnahangaika sana na Lowasa!! Watangaza nia wapo 37 hamuwaoni mnamuona Lowasa tu... Au ndio nyota.. Acheni mambo yenu bhana
Huna mamlaka juuuhaiuhaiaunakifokifo kwako au kwa mwenzakoi.isitoshe ugonjwa haunahhodiunaingia na kkutoka kwa mtu yeyote, futakkauli yyako.
ungeiona video huzuni ingali kujaaa.
Propaganda bwana....
Ndio rais ataekufa kabla hajamaliza muda wake kama atapitishwa