Lowassa inawezekana huna Parkinson's disease - PD

Lowassa inawezekana huna Parkinson's disease - PD

Mwaka huu vichwa vitawauma na Lowassa wetu
 
Hajanunua hata robo ya wapiga kura wote. Wacha kujidanganya. Nijuavyo kama ataendelea kuwanunueni ni theruthi moja tu ya wapiga kura mtanunulika lakini theruthi mbili za wapiga kura jua liwake mvua inyeshe hatununuliki tunasubiria kipenga kuipatia Tanzania Uhuru
Kwa Mara ya pili. Hata wakati wa mkoloni watu kama ninyi walikuwepo lakini hilo halikumzuia Kambarage kumtoa Mwingereza.
Imani iliyojengwa kwa misingi ya Fedha ni hatari mtauza watanzania wote au mlionunuliwa ndo mtabaki?
 
Lowassa vita ya Kagera aliumia kidogo, japo alikuwa msomi kijana fresh from UDSM lakini alipigana mstari wa mbele, ubebaji wa Vitu Vizito ulimuumiza sana. Hata Babaake mdogo Moringe Sokoine alijua, na ndio maana alipewa zawadi baadae na Nyerere akachukue Masters ya Uchumi Uingereza ili aachane na Jeshi aje utumishi wa Ummah. Uongozi anaweza ila yupo kirobot zaidi.
 
Kwa jinsi ulivyoandika naona wewe ni maututi kuliko yeye.
Naweza kuwa mahututi ofcoz lakini huna mamlaka ya kusemea kifo cha mwezako na hata cha kwako, narudia tena futa kauli yako mkuu!! Usimwombee mwenzako kifo..!!
 
Ndio rais ataekufa kabla hajamaliza muda wake kama atapitishwa

Haya wewe ni Komba dhidi ya Warioba. Hivi nyinyi watu huu ujasiri wa kuwatabiria wenzenu vifo mnautoa wapi? By the way last time I checked Komba alishatangulia mbele ya haki na mzee Warioba anadunda bado.
 
Daaaaah huyu mzee naona kuna watu hawalali, hawali, hawacheki... Naona watu wamehamia kwenye ugonjwa badala ya mambo muhimu kama uadilifu, uwezo wa kutukwamua etc etc..

Si vizuri kushabikia ugonjwa wa mtu ila kama huyu mzee ni mgonjwa kweli tumuombee tu ajikubali kwa ugonjwa wake na kupisha wengine... kama haya ya ugonjwa ni uzushi basi tuache mafuriko yapite kuyazuia kwa hoja dhaifu kama ugonjwa sio rahisi
 
nyama choma hasa mbuzi na bia baridi tu and no more!!!
tatizo DOGO sana/ halimzuii chochote!!!
 
Duh kweli Lowassa mgonjwa.Watu wanaangali jinsi alivyoshindwa kukaa lakini hawaangalii jinsi anavyoandika kwa shida na viungo vya mwili wake visivyokuwa na mawasiliano na ubongo.

Naambiwa tiba ya kupunguza makali ya ugonjwa wake ni kunywa pombe kali na kuvuta bangi kwa wingi.Sasa linapokuja suala la kuongoza taifa mtu unatakiwa ufanyekazi ukiwa na akili yako vizuri.
 
Nyokolost...No agenda hapa....!!! Lowassa mpango wa Mungu... mtakoma..!!!
 
Lowassa supporter hapa!!! tumie kila mbinu hii vita nzito kwenu, bega kwa bega kura yangu inamsubiri yeye tu
 
Kuna watu hawapati ma.vi wala mkojo hadi wamseme negative Lowassa...!!! Yesu alipigwa vita sanaaaa... na akayashinda yoote kwa uwezo wake Mungu... Lowassa kama Yesu, atayashinda yote ktk Mungu...!!! Huyu anaeongelea afya ya mtu kwa sifa kuhadaa public hapa, usikute ww una fistula na matege ya haja kubwa, unaleta ipuuzi tu hapa...!! Mtu anazunguka mikoani kutwa nzima, usiku na mchana anapiga kazi, mamilioni ya Watanzania wanatokeza kumdhamini, ww unaleta uongo na umbea hapa... Ke.nge...!!!
 
Daaaaah huyu mzee naona kuna watu hawalali, hawali, hawacheki... Naona watu wamehamia kwenye ugonjwa badala ya mambo muhimu kama uadilifu, uwezo wa kutukwamua etc etc..

Si vizuri kushabikia ugonjwa wa mtu ila kama huyu mzee ni mgonjwa kweli tumuombee tu ajikubali kwa ugonjwa wake na kupisha wengine... kama haya ya ugonjwa ni uzushi basi tuache mafuriko yapite kuyazuia kwa hoja dhaifu kama ugonjwa sio rahisi

Mwaka uliopita utakua afadhali zaid ya ujao hata asimame nani nchi hii itazidi kua kuliko jana
Na EL ana lipi lakutukwamua au ndio aje aendeleze yale alioyafanya kipindi akiwa waziri mkuu nani asiejua kama fisadi mkubwa huyu ndani ya nchi hii akipita huyu m Tz nahama
 
Unadhani nani anafaa mkuu?
 
Mkuu MkamaP umeandika ushauri wenye faida kubwa sana Lowasa .lakini kutokana na team ya Lowasa waliowengi wamejitoa ufahamu hiki ulichokiandika kwa fact hawataweza kuelewa kabisa ujumbe huu Pasco unaweza kuwapelekea wahusika .
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom