bintiEdo1989
Member
- Jun 4, 2015
- 94
- 24
Ndio rais ataekufa kabla hajamaliza muda wake kama atapitishwa
Wewe ndiye uliyemuumba mpaka unajua atakufa mapema? Wewe na uzima wako unaweza kufa kabla yake
Ndio rais ataekufa kabla hajamaliza muda wake kama atapitishwa
kila MTU lowasssa lowassa lowassa
Kiharusi ni stroke..Kuhusu Parkinson bofya hapaHivi Parkinson's disease ndo kiharusi
LOWASSA imeshakuwa brand name,hivi kuna mtanzania ukimuondoa Nyerere anaemzidi huyu mtu umaarufu????
Umeyajuaje yote hayo,au unafuga majini?
Ni kweli mkuu, ukimuangalia usoni unaona kabisa network imekataNetwork ilikata kabisa
Ni kweli mkuu, ukimuangalia usoni unaona kabisa network imekata
Ndio rais ataekufa kabla hajamaliza muda wake kama atapitishwa
Mnafiki shangazi yako Mke wa Mbowee,Acha unafiki bas
Mnafiki shangazi yako Mke wa Mbowee,
KIMA we, afu usipende kuniquote na usiniquote mana sitakujibu
hivi ikulu kuna biashara gani? mtu hoi hivyo bado anapahitaji? hatuna mda wakuzika rais before hajamaliza mda sisi nchi yenyewe hii hata msiba watu wanafanya ufisadi wa rambirambi
Mwaka huu lowassa atakoroga wengi,kila mahali ni lowassa lowassa,nakumbuka hata jk alivyokuwa anagombea walisema ana matatzo ya pumbu moja ndo huyo mpaka leo anadunda
Mnafiki shangazi yako Mke wa Mbowee,
KIMA we, afu usipende kuniquote na usiniquote mana sitakujibu