ODILI SAMALU
JF-Expert Member
- Dec 13, 2013
- 1,369
- 489
mwigulu jimboni kwake panaungua huko
alienda loliondo kufanya nini?
alienda loliondo kufanya nini?
Huna jipya. Field Marshal anawanyima usingizi.mwigulu Nchemba tulishamdharau kwa kutengeneza kesi za jinai za kitoto sana
Field Marshal Mwigulu Lameck Nchemba, #HapaKaziTu , hamna muda wa kunyoa!
mwigulu Nchemba tulishamdharau kwa kutengeneza kesi za jinai za kitoto sana
wewe jamaa inaelekea hufuatilii mambo ya siasa ya nchi hii, ile kesi ya Jinai ya kigaidi ya kutengeneza ,Jaji alitoa karipio kali kwa kesi za namna hiiHuna jipya. Field Marshal anawanyima usingizi.
Ungejua tu kamanda Wa kikosi anapitia nini mpaka kuitwa kamanda
Usinge thubutu kumwita huyo nyumbu field Marshall
kasomeutaelewaminal case weweeeeeunaruhusiwa kudharau, mko wachache!
Naunga mkono hoja, kwa yeyote pia anayemsapoti Magufuli, get fitter, chukua sekunde 10 piga push up!Hii style ikitumiwa na wana ccm wote itaonesha modernasation ya kampeni za ccm.
Na pia inaweza kuamsha ari ya nchi nzima katika kufanya kazi!!
A typical pro ukawa ya Lowassa, yaani umeitafsiri kama ilivyo ktk kamusi? kichwa chako ni mzigo wako, hamna wa kukusaidia kukibeba.
rais ajae ni Lowasa tu, hakuna mwingine
Huna jipya kijana.Mbwa nyie wote mtakufa tuu. Mtatangulia EDO atabaki!
Tanzania ya Magufuli ni taifa la wapiga pushap. Wavivu na matapeli kama nyinyi mtanyooka tu. #HapaKaziTu.Mbwa nyie wote mtakufa tuu. Mtatangulia EDO atabaki!
sio kweli ana maigizo mkitotofuli