Lowassa hawezi "Magufulika"

Lowassa hawezi "Magufulika"

Status
Not open for further replies.
Acheni kudhalilisha vyeo vya watu ,Field Marshal ??
 
Yap! afya ya viongozi wetu ni mhimu sana. nasisitiza tena mambobya zambia marais kufa wakiwa ikulu hatutaki hapa. Eti mgonjwa aingie ikulu! hapana! si atazichafua sofa za ikulu kwa kwa kinyesi???? nawacheka kwa dharau hahahahaahahahaah.....
 
eti alienda kupanda daladala asubuhi na mapema 'kusikiliza' shida za wananchi.

bora anayepanda daladala anaangalia kweli watu, push up za nini? kikwete, mkapa hawakuwahi kufanya kampeni za kitoto na ni dalili ya kutokukubalika
 
Hii style ikitumiwa na wana ccm wote itaonesha modernasation ya kampeni za ccm.
Na pia inaweza kuamsha ari ya nchi nzima katika kufanya kazi!!
 
Yap! afya ya viongozi wetu ni mhimu sana. nasisitiza tena mambobya zambia marais kufa wakiwa ikulu hatutaki hapa. Eti mgonjwa aingie ikulu! hapana! si atazichafua sofa za ikulu kwa kwa kinyesi???? nawacheka kwa dharau hahahahaahahahaah.....

alienda loliondo kufanya nini?
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom