Lowassa hawezi "Magufulika"

Status
Not open for further replies.
images
...

magufulika na JPM.
 
Ni staili inayopendeza kwa kila mtu vp kuhusu ile ya yule mwingine ya kujinea inajaribika kweli???? Jaribuni 2oneee.
 
Usisumbuke na watoto wa kiume waliojichubua na kutoboa masikio. Hata Mungu mwenyewe amewasusa na kuwaacha wajiongoze wenyewe. Nchi hii haitajengwa na FIESTA, tunahitaji vichwa vinavyowaza MIRADI na sio MASHAIRI

acha dharau wewe funzajike!..unajua pato la SANAA ikiRASMISHWA?
We hiko kichwa chako kimewaza mradi gani?
Nonsense!
 
Magufuli tu hapo ndio amekidhi viwango vya kuwa BODYGUARD wa RAIS wa awamu ya tano wa jamuhuri ya muungano wa tz Hon Edo Lowassa. Hao wengine wakaombe kazi kwenye night clubs teh teh
VIVA UKAWA!!!
 
Magufuli tu hapo ndio amekidhi viwango vya kuwa BODYGUARD wa RAIS wa awamu ya tano wa jamuhuri ya muungano wa tz Hon Edo Lowassa. Hao wengine wakaombe kazi kwenye night clubs teh teh
VIVA UKAWA!!!
Bado sana. Nyie endeleeni kubeba ule mzigo. Kiyama inawasubiri.
 
[h=2]
12027743_429403493928551_8018030484976315457_n.jpg
[/h]

12036364_429403797261854_8644411080303904661_n.jpg
10917031_429403967261837_4092299935794295457_n.jpg


Habari ya mujini na MAGUFULIKA. Huu ujumbe unaiteka anga ya Siasa Tanzania. Yaani CCM sasa ni mwendo mdundo na Mh. Magufuli sasa anasubiri kuapishwa tu.



NENO JIPYA KATIKA KAMUSI: Magufulika
 
Status
Not open for further replies.

Similar Discussions

Back
Top Bottom