Kwani kuna hata haja ya kumsafisha? kama hajasafishwa anakubalika hivi je akisafishwa?
Pamoja kamanda, yaani kila mahali ccm hawana amani, Lowassa akikatiza tu, ccm hoooooiii, na mtakaa mwaka huu..!!
Kwani kuna hata haja ya kumsafisha? kama hajasafishwa anakubalika hivi je akisafishwa?
waambie hao mkuu wakat lowasa ananadi sera wao wanakomaa na rchmond mmechelewaaa saaNaaaaaUfisadi sio agenda tena kwa Watanzania, imeshapitwa na wakati Hiyo, tafuta agenda nyingine mpya
Kweli hasafishiki
Jamaa hasafishiki huyu. Yaani ni wa kuonea huruma.Ha ha ha naona hapo wanamsafisha na tunguli
[h=3]LOWASSA ANA KIGEUGEU NA KUBADILIKA BADILIKA[/h][h=2]Nina mahaba kwa Lowassa, sisikii siambiwi kuhusu Mr.Presidaaa
#HapaKaziTuMr Chin Usiyempenda ndiye atakuwa Rais wako....Mark maneno yangu! Kwa hiyo epuka kutumika vibaya utakuja kuregreat siku si nyingi!
Mkuu ingekuwa ni mimi nisinge pata shida kama hii unayopata ya kuanzisha posts kila kukicha halafu watu makini wanazipuuzia. Hakuna kitu kibaya kama mtu unajitahidi kwa hali na mali kutafuta vitu vya kuandika kisha unapokuja kuwaeleza watu wakaamua kukudharau na kusonga mbele. Inakatisha tamaa. Kumbuka watu wana mpenda Lowassa na hawata acha kumpenda pamoja na yote hayo mnayo andika kwa ubaya.
Ni kuteseka na shida za dunia kiasi kwamba hata usingizi hupati. Mbaya zaidi CCM ina kwenda kupingwa chini.
Ni kuteseka na shida za dunia kiasi kwamba hata usingizi hupati. Mbaya zaidi CCM ina kwenda kupingwa chini.