Lowassa hasafishiki

Lowassa hasafishiki

"LOWASSA HASAFISHIKI" Ni moja ya vichwa vya habari vya gazeti la MwanaHalisi Toleo na 236 Jumatano, April 6, 2011. Saed Kubenea inabidi ajitokeze atupe afafanuzi kwanini Lowassa 2011 alikuwa hasafishiki na sasa CHADEMA wamepata wapi sabuni ya kumsafisha?
 
Hata watumie nini. Mkaa hauwezi kusafishika na kuwa mweupe.
 
Umekosea andika LOWASSA Hashikiki kwenye mbio za urais.Yazamani yameshapita tazama mapya
 
Lowasa the biggest name in Tanzania and soon will be in Africa and rest of the world
 
[h=3]LOWASSA HASAFISHIKI[/h]

11904693_903417529712551_5119096946078899204_n.jpg


ukawa.jpg
 
ha ha mkahangaika sana tunasonga mbele na lowasa na hakika lowasa ni chaguo la mungu na mtu pekee wa kulivusha taifa hili.

ccm haifai hata kidogo mana hakuna mlijualo zaid ya uchochez tu

mabadilko ni lazimaa
 
ha ha mkahangaika sana tunasonga mbele na lowasa na hakika lowasa ni chaguo la mungu na mtu pekee wa kulivusha taifa hili.

ccm haifai hata kidogo mana hakuna mlijualo zaid ya uchochez tu

mabadilko ni lazimaa
Lowassa hasafishiki
 
dawa inawaingia mtaisoma namba watz tu ndo wenye haki ya kuhukumi ila sio nyie wala buku 7 lowasa anakubalikaa na ndo maana anawanyima usingizi
 
We chini unaongea mambo ya chini chini tu. nani anaesafishika sasa?
 
Mwanahalisi, UMMa, uhuru,Mzalendo,TBC1,StarTV=CCM, Sinaga Muda wa Kupoteza Kuangalia Mambo Yao.
 
yan hawa jamaa waajabu sana tuhuma zote zilizojaa ccm hawazion wanaona tuhuma ya lowasa ambayo wao wenye dola wameshindwa mshitaki nyie mnatuambia nn sisi tunajua mchezo yenu sis na lowasa tu
 
Mnahangaika na lowasa wanini, nyie simmewaletea maisha bora watanzania,tulieni tuu, msubiri kuingizwa kwenye jeneza.
 
Back
Top Bottom