Lowassa hasafishiki

Lowassa hasafishiki

Lowassa ni msafi ndio maana hasafishiki huwezi ukaanza kumsafisha mtu msafi.
 
Aliichafua sana ccm ananuka, sasa ukawa mnanuka, mshanunuliwa, inajulikana mmehongwa, demokrasia hakuna, mtu mwenyewe mgonjwa.

Na bado jina lake linatajwa kwa kashfa kibao tu
Gesi kinyerezi
Richmond
Bandari ya dsm
Kuua reli
Mamilioni ya mfuko wa jimbo
Vodacom na mb 8

Haya msafishe tuone sasa
Kwani makufuri mzima na kama ni mzima alienda kufanya nini kwa mzee wa kikombe na kama swala.la kupiga hela makufuri ndio alisha piga hela ndefu sana ila. Hilo hamlizungumzi mnadili na lowassa ni kuonyesha ni kiasi gani lowassa mnamuogopa na mnajua ni moto wa kuotea mbali.
 
LOWASA ni stainless steel, chuma kisichoshika kutu. Endeleeni kupoteza muda kukipaka kutu lakini kamwe haitakamata hivyo hakihitaji msasa wala jiwe kuking'arisha. Hakiogopi maji, tope wala vumbi. Liache kufuli kwenye mvua kama hujapata hasara.
Wakazi wa LIZABONI, Mahenge, Matarawe, Bombambili kule Songea waliulizwa Raisi ni nani ??? Wakajibu LOWASAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAA
 
Lowassa chaliiii hasafishiki
 
Na kweli kazi mnayo, kupotosha vizazi kwa ajili ya tamaa zenu Mr.Chin na team yako. Hamna huruma na watanzania na mwenyezi Mungu anawaona mnavyoshirikiana na hao watu hao ambao toka ndani ya mioyo yenu mnaujua ukweli wa nchi hii na taabu na mateso yake. Mnaijua Karma????????
 
mgombea wa urais chadema mh lowasa kushindwa kujibu maswali alioulizwa mvumi dodoma ni kushindwa kujisafisha.
sitegemei kuruhusu tena maswali atakumbana na maswali yale yale.

aliulizwa: ulipokuwa waziri mkuu ulijenga zahanati ngapi?

unatuhumia na kashfa ya richmond aelezee

kama ulishindwa kuwazuia wamasai kuingiza ng'ombe kwenye mashamba ya watu utaweza kutatua matatizo ya ardhi?
 
Ushaambiwa..
1.neno "ufisadi" halipo kwenye vocab za Lowassa wala Ilani mpya ya chadema...
2. Kwa mara ya kwanza kwenye ulimwengu wa modern politics, chama cha upinzani kinakimbia midahalo na chama tawala....
I love my country, do you love yours?
 
Lowasa anajiamin ndyo maana anaruhusu maswali , ccm na magufuli wenu mbona hamruhusu maswali? Acheni kulialia hapa tulieni EL awanyoshe..
 
Ila huyu aliyeuza nyumba za serikali yeye ni msafi? Ila huyu aliyenunua kivuko cha DAR - BAGAMOYO mwaka jana kwa bei mbaya wakati siyo hadhi yake na ni kibovu yeye ni msafi?? Una lako jambo au hujitambui!
 
hiyo midaalo ndiyo mnaitaka sasa? Maajabu ya Mussa! Miaka yote mlikimbia midaalo leo ndio mnataka?
 
Ila huyu aliyeuza nyumba za serikali yeye ni msafi? Ila huyu aliyenunua kivuko cha DAR - BAGAMOYO mwaka jana kwa bei mbaya wakati siyo hadhi yake na ni kibovu yeye ni msafi?? Una lako jambo au hujitambui!
Hahaha, kamuulize aliyekuwa MKUU WA MAWAZIRI WOTE pindi nyumba zauzwa ,Frederick Tluway Sumaye aka Mr.ZeR0.
Ukishapata jibu ,ongezea kwa kuwaambia Sumaye na Lowasa warudishe hizo NYUMBA za serikali walizonunua ,wanamiliki hizo nyumba till now.
 
Unajulia wapi bei ya kivuko kama sio ukasuku. wako
 
SAmaki wa magufuri na hasara ya serikali?? Kituo cha mafuta- MZA na hasara ya serikali? na hilo la meli sijui kivuko cha hovyo kinachotumia gharama kwa siku Tzs.4million huku kikipata mapato Tzs.10,000 kwa siku! Rais mkurupukaji huyu nani anamtaka!??
 
Mwaka huu na majira na msimu huu itabid tuseme msemo mmoja wa marekani.

Haijalishi Kama Ataleta Maendeleo au la! Tutamchagua Obama Kuuonyesh a Ulimwengu Kuwa Marekani ni ya Kila Mtu.

Na sisi watanzania Kwa Umoja wet bila kujali tofauti zetu ndogo nyakati hizi ni nizakusema haijalishi kama Lowassa ataleta Maendeleo au la! ni wakati wa kumchagua LOWASSA wa CHADEMA/ UKAWA ili pia pamoja na ILANI elimu bure, katiba mpya, kufungua mawasiliano hasa reli ya kati pia uuonyesha na kuudhihirishia Ulimwengu kuwa Tanzania Siyo ya cicimu pekee.

Tuma ujumbe huu kwa Watanzania wasiopungua 1000 ili kuamsha na kuchochea mabadiliko ya kweli. Fursa hii ya Mabadiliko tukiipoteza itatuchukua miaka 30 tukikumbuka Mwaka 2015 tulijinyima mabadiliko ya katiba, mfumo, maendeleo.

Lowasa Mabadiliko
Mabadiliko Lowassa.

Samahani pia kama utakwazika imebidi kuonyesha Uzalendo kwa Taifa letu lenye miaka 54 ya Uhuru.

Maajabu likipitwa na hata jirani zetu Kenya aliyepata Uhuru kwa kuchelewa miaka 3 sasa ametupita kimiundo mbinu, elimu, utalii, kilimo, kiuchumi, Katiba Mpya,nk.

Na hata Rwanda iliyotoka vitani miaka ya 90 inatupita ingawa sisi ndio tuliowahi pata Uhuru, kujaliwa Rasilimali hata zisizo duniani mpaka zikaitwa majina yetu kama Tanzanite, mito, maziwa, Bahari-Bandari, vivutio vya utalii, ardhi yenye rutuba rasilimali adimu duniani ili tuanze kukimbia badala ya kutambaa kimaendeleo.

ukileta habari ya marekani unaleta ukabila wamarekani walitaka mmarekani mweusi.
marekani wengi wanaume wanavaa heleni
 
Unajulia wapi bei ya kivuko kama sio ukasuku. wako

Hacha matusi nenda katika uhalisia! Kivuko kinatumia Tzs.4.3m kwa siku huku kikikusanya mapato ya TZS.10,000/= kwa siku!! Sasa huyu ndiye Rais mtarajiwa na hilo dogo la Kivuko amekuwa kituko! Kivuko kikitarajiwa kutumia dkk 45 lakini kinatumia masaa matatu! Huyu ndo Rais mtarajiwa?? Ghati iliyojegwa kwa mamilioni ya pesa ili kivuko hiki kibovu kitue nanga pale imeshindikana na sasa wanatia nanga kwenye ghati za Azam! Huyu atakuwa rais kituko kuliko kabla!
 
Hawa viumbe wa ajabu (fisiem) cjawaelewa wanataka mdahalo na Lowassa Badala ya Ukawa???!!!!
 
Lowasa anajiamin ndyo maana anaruhusu maswali , ccm na magufuli wenu mbona hamruhusu maswali? Acheni kulialia hapa tulieni EL awanyoshe..

sio kujiamini alifikiri mvumi mafala kumbe yeye ndio ----
 
Back
Top Bottom