Lowassa hakudhuria Msiba wa Mwalimu Nyerere

Lowasa ni mtu hatari sana mwenye roho mbaya sana hatufai kuwa Rais hafai kabisaaa!!!!

mkuu nyarongo tena lowasa si.mtu ni.jitu yali libedui flani linalotaka lijinufaishe na hawa mafisadi walio nyuma yake. nnauhakika bila chembe ya hofu ikitokea lowasa amekuwa rais wa nchi hii watanzania hawatakaa wasahau machungu watayopAta
 
Sipati picha ikiwa ENL anaukwaa uraisi kwa kudra ya mwenyezi Mungu itakuwaje!kuna watu mpaka sasa hawajajiandaa kisaikolojia.
Mimi na wenzangu tunaamini kuwa uongozi wa juu kama urais unapangwa na Mungu,yeye ndio anajua kwanini anampa huyu na kumnyima huyu.
 
Nyerere alishawahi kufika kwa Lowassa? au alishawahi kuhudhuria msiba wowote wa familia ya Lowassa? mtumpishe na Lowassa wetu.

Hawezi kufika kwa fisadi, anafika kwa walio safi, unakumbuka alivyoshindwa kwenda akamtuma kawawa? unakumbuka kawawa alimwambia usiwe mjinga kama yeye?
 
Amekwisha kafanya kosa kubwa kukanyaga kwa mwalimu!!! Laana ya mwalimu itamtafuna !!!!
 
nimepata taarifa za ndani kuwa Lowassa atatangaza rasmi nia ya kugombea Urais Mei 24, Mjini Arusha haya ya kweli?
 
unataka kila issue umuone. mualike kwenye ndoa yako na mumeo uone kama hatakuja alafu ndo uandike humu ''hakuhudhuria kwenye ndoa yangu'' TUTAKUSOMA

Jifunze kuandika bila kuquote huzi mrfu hv unajaza nafasi,mm nimekuquote wewe kuonyesha msistzo.Jaza thread bure
 
Lowassa anahukumiwa na Historia ya kutokuwa na Mahusiano mazuri na Familia ya Mwalimu Nyerere. Lowassa hajawahi kufika Butiama Tangu Mwalimu afariki.

Lowassa hakuhudhuria Msiba wa Baba wa Taifa. Ni Mgombea pekee wa Urais ambaye hajui kaburi la Baba wa Taifa liko wapi.

Inasemekana alishangilia na kufanya tafrija fupi Monduli wakati Watanzania wanaomboleza Mwezi Mzima Butiama.

Huyu hakuwa na Mahusiano mazuri na Mwalimu aliyependa viongozi waadilifu. Lowassa kakwepa mara nyingi kwenda Butiama kwasababu ya kuogopa Mzimu wa Nyerere. Nafsi inamsuta kwasababu hakudhuria Mazishi ya Mwalimu, Doa na kumbukumbu hii haiwezi kufutika hata awe nani leo mpaka kesho.

Leo anagombea Urais, umepatikana msiba wa kijana wa Mwalimu, Marehemu John Nyerere inasemwa Lowassa atakwenda Butiama, Lahaula! Kwasababu gani?

Au kwakuwa Msiba umevuta hisia za wengi? Au kwasababu Msiba umetokea kipindi muhimu kuelekea uchaguzi? Kwasababu msiba utakusanya walio wengi wa Muhimu? Au kwakuwa kwasasa itakuwa rahisi kujulikana kuwa hukuhudhuria?

Mbona sijakuona Msasani Dar es Salaam?? Maana unavyopenda picha zingekuwa Magazetini.

Acha unafiki kama hufika Msiba wa Baba wa Mtoto wake unakusibu nini? Sikatalii msiba la hasha! Ni mshangao kama Lowassa amesahau kuwa Mzimu wa Nyerere bado upo na unaishi, utamzukia Butiama na kumuangusha?
Maana haujapata kumuona tangu Mwalimu amefukiwa Mwitongo.

Leo Familia itashangaa, Wazee wa Zanaki watashangaa, Wanaojua siri hii watakushangaa.

Nenda lakini Mzimu wa Mwalimu unakusuta! Ulikuwa wapi siku zote?
Eti ni kweli wamepigwa mkwara msibani wasifanye kampeni?
 
Wewe muongo na ndiyo maana majanga hayakuachi. Utaendelea hivyo hivyo mpaka siku ya kuaga rasmi hapa ulimwenguni. Usipende uongo uongo haujengi!
 
Mtoa mada una lako la moyoni na Lowasa tu! Kwann usitafute chanzo cha yy kushindwa kushiriki mazishi ya mwalimi? Unaanza kulaumu tuuuu, lzm kuna 7bu ya yy kutoshirki mazishi si hivhiv tu. Acha lawama wewe.
 
mkuu nyarongo tena lowasa si.mtu ni.jitu yali libedui flani linalotaka lijinufaishe na hawa mafisadi walio nyuma yake. nnauhakika bila chembe ya hofu ikitokea lowasa amekuwa rais wa nchi hii watanzania hawatakaa wasahau machungu watayopAta

Nahisi mtakufa na presha siku ya kuapishwa Lowassa
 
Kwani Mwalimu alikuwa Mungu ili kila mtu ahuthurie mazishi yake? Acheni ujinga.
 
kwan ni viongozi wote walienda msibani? Binafsi sijaona kosa hapo.. Jekama alikua anaumwa utajuaje? Dont judge
 
Back
Top Bottom