Ritz
JF-Expert Member
- Jan 1, 2011
- 54,590
- 44,090
Mbona Dr.Slaa hakudhuria msiba wa Mwalimu Julius Kambarage Nyerere, au yeye hamna tatizo.uungwana vitendo sio maneno angeshiriki tu hata kutokea kwa dk 5
Last edited by a moderator:
Mbona Dr.Slaa hakudhuria msiba wa Mwalimu Julius Kambarage Nyerere, au yeye hamna tatizo.uungwana vitendo sio maneno angeshiriki tu hata kutokea kwa dk 5
Waulize viongozi wenzie walikuwa wanafuata nini BUTIAMA kabla na baada ya kuwa Viongozi wa Kitaifa.Hivi mandera ana umuhimu gani mpaka kusimamisha DUNIA siku ya MSIBA wake JIULIZE [Mtoto wa Kichifu=Nyerere].Mwalimu Nyerere ndiye aliyemjenga Mandera.Siku Mwalimu anatangazwa na Rais Benjamini William mkapa kuwa amefariki TANZANIA ilizizima kama ilivyozizima msiba wa marehemu Sokoine.Sasa kama TAIFa linazizima leo hii mtu aliyepata kuwa WAZIRI MKUU asisimukwe na tukio linalo muhusu Mzee yule basi HATAREEEE.
nakumbuka kuna watu walikwenda katika huo msibalowassa anahukumiwa na historia ya kutokuwa na mahusiano mazuri na familia ya mwalimu nyerere. Lowassa hajawahi kufika butiama tangu mwalimu afariki.
Lowassa hakuhudhuria msiba wa baba wa taifa. Ni mgombea pekee wa urais ambaye hajui kaburi la baba wa taifa liko wapi.
Inasemekana alishangilia na kufanya tafrija fupi monduli wakati watanzania wanaomboleza mwezi mzima butiama.
Huyu hakuwa na mahusiano mazuri na mwalimu aliyependa viongozi waadilifu. Lowassa kakwepa mara nyingi kwenda butiama kwasababu ya kuogopa mzimu wa nyerere. Nafsi inamsuta kwasababu hakudhuria mazishi ya mwalimu, doa na kumbukumbu hii haiwezi kufutika hata awe nani leo mpaka kesho.
Leo anagombea urais, umepatikana msiba wa kijana wa mwalimu, marehemu john nyerere inasemwa lowassa atakwenda butiama, lahaula! Kwasababu gani?
Au kwakuwa msiba umevuta hisia za wengi? Au kwasababu msiba umetokea kipindi muhimu kuelekea uchaguzi? Kwasababu msiba utakusanya walio wengi wa muhimu? Au kwakuwa kwasasa itakuwa rahisi kujulikana kuwa hukuhudhuria?
Mbona sijakuona msasani dar es salaam?? Maana unavyopenda picha zingekuwa magazetini.
Acha unafiki kama hufika msiba wa baba wa mtoto wake unakusibu nini? Sikatalii msiba la hasha! Ni mshangao kama lowassa amesahau kuwa mzimu wa nyerere bado upo na unaishi, utamzukia butiama na kumuangusha?
Maana haujapata kumuona tangu mwalimu amefukiwa mwitongo.
Leo familia itashangaa, wazee wa zanaki watashangaa, wanaojua siri hii watakushangaa.
Nenda lakini mzimu wa mwalimu unakusuta! Ulikuwa wapi siku zote?
Lowassa anahukumiwa na Historia ya kutokuwa na Mahusiano mazuri na Familia ya Mwalimu Nyerere. Lowassa hajawahi kufika Butiama Tangu Mwalimu afariki.
Lowassa hakuhudhuria Msiba wa Baba wa Taifa. Ni Mgombea pekee wa Urais ambaye hajui kaburi la Baba wa Taifa liko wapi.
Inasemekana alishangilia na kufanya tafrija fupi Monduli wakati Watanzania wanaomboleza Mwezi Mzima Butiama.
Huyu hakuwa na Mahusiano mazuri na Mwalimu aliyependa viongozi waadilifu. Lowassa kakwepa mara nyingi kwenda Butiama kwasababu ya kuogopa Mzimu wa Nyerere. Nafsi inamsuta kwasababu hakudhuria Mazishi ya Mwalimu, Doa na kumbukumbu hii haiwezi kufutika hata awe nani leo mpaka kesho.
Leo anagombea Urais, umepatikana msiba wa kijana wa Mwalimu, Marehemu John Nyerere inasemwa Lowassa atakwenda Butiama, Lahaula! Kwasababu gani?
Au kwakuwa Msiba umevuta hisia za wengi? Au kwasababu Msiba umetokea kipindi muhimu kuelekea uchaguzi? Kwasababu msiba utakusanya walio wengi wa Muhimu? Au kwakuwa kwasasa itakuwa rahisi kujulikana kuwa hukuhudhuria?
Mbona sijakuona Msasani Dar es Salaam?? Maana unavyopenda picha zingekuwa Magazetini.
Acha unafiki kama hufika Msiba wa Baba wa Mtoto wake unakusibu nini? Sikatalii msiba la hasha! Ni mshangao kama Lowassa amesahau kuwa Mzimu wa Nyerere bado upo na unaishi, utamzukia Butiama na kumuangusha?
Maana haujapata kumuona tangu Mwalimu amefukiwa Mwitongo.
Leo Familia itashangaa, Wazee wa Zanaki watashangaa, Wanaojua siri hii watakushangaa.
Nenda lakini Mzimu wa Mwalimu unakusuta! Ulikuwa wapi siku zote?

Nguvu a giza wazijua wewe na ndio maana umezizungumzia kwa kuwa ziko kwenye mindset yako zinaishi na wewe.Nitafutie sehemu nilikoshuhudia hapa story za Nguvu za giza.!!Nimesema kila koo zina JADI yake jadi sio nguvu za GIZA.Jadi ni tamaduni za ASILI za mababu toka koo hadi koo, kabila hadi kabila,chief moja kwenda chief nyingine [Acha akili za kukodiwa]. Kwa kutambua hilo ndio maana viongozi upewa Ngao, Mgolole na Mkuki kisha wanakarishwa kwenye kigoda kama ishara ya kuwa viongozi wetu katika shughuri mbalimbali za kijamii na maeneo tofauti tofauti...Unajua maana yake au upo upo tu...ndio maana mnatuletea shida HAMJUI ASILI YA KWENU.Kila Munu Ave na Kwao-TongolangaSasa hoja yako ni nini hapa?
Naona kama unaongelea uwepo wa nguvu za giza kwenye familia ya Mwalimu Nyerere!!
Njooni Arusha Jumamosi tarehe 16 mumsikie akitoa maamuzi magumu!
![]()
Yesu alisema nanukuu "waacheni wafu wazike wafu wenzao" mwisho wa kunukuu
Nadhani nitakuwa nimekulipa cash, sio kwa installment,.
Maamuzi magumu yanaanzia Arusha halafu anakwenda mikoani si unajuwa asilimia kubwa ya Friends of Lowassa wako Arusha!Anekosea kufanyia Arusha, angefanyia Dar es Salaam; hapo ndio angetikisa
Hivi Mwalimu alishiriki msiba wa Kambona?
Maamuzi magumu yanaanzia Arusha halafu anakwenda mikoani si unajuwa asilimia kubwa ya Friends of Lowassa wako Arusha!
Lowassa anakubalika nchi yote sio jangwani tu - kama huna nauli ya kuja Arusha nitumie number yako nikurushie nauli!Na hii ndio sababu itakayofanya chochote atakachofanya Arusha kisionekane tishio.
Kama anahitaji kuonyesha jinsi anavyokubalika alipaswa afanye mkutano huo kwenye kiwanja cha ugenini, angetikisa jangwani basi angelitikisa taifa na kuitetemesha CCM lakini ya Arusha haitamtisha yeyote.
Nguvu a giza wazijua wewe na ndio maana umezizungumzia kwa kuwa ziko kwenye mindset yako zinaishi na wewe.Nitafutie sehemu nilikoshuhudia hapa story za Nguvu za giza.!!Nimesema kila koo zina JADI yake jadi sio nguvu za GIZA.Jadi ni tamaduni za ASILI za mababu toka koo hadi koo, kabila hadi kabila,chief moja kwenda chief nyingine [Acha akili za kukodiwa]. Kwa kutambua hilo ndio maana viongozi upewa Ngao, Mgolole na Mkuki kisha wanakarishwa kwenye kigoda kama ishara ya kuwa viongozi wetu katika shughuri mbalimbali za kijamii na maeneo tofauti tofauti...Unajua maana yake au upo upo tu...ndio maana mnatuletea shida HAMJUI ASILI YA KWENU.Kila Munu Ave na Kwao-Tongolanga