Lowassa hakudhuria Msiba wa Mwalimu Nyerere

Lowassa hakudhuria Msiba wa Mwalimu Nyerere

Kwa umuhimu wowote atakaokuwa nao bado si sababu ya kumtenga mwanafamilia
mmoja eti kwa kuwa aligombana na marehemu kaka au dada, Kimsingi ubinadamu
unapitia changamoto zote hizo HAKUNA MKAMILIFU.
Unavyoonekana ukunielewa...TAIFA kuongozwa misingi yake ni ile ile kama ya FAMILIA [Baba, Mama, Watoto na Wandungu]

Anapoondoka Baba na Mama katika uso wa Dunia wanfamilia wanakaa na kumpa jukumu Kaka/Dada mkubwa wa familia kuwaongoza watoto wenzie katika msingi ule ule alio uasisi Marehemu Baba na Mama yao nyakati wakiwa hai.Huyu alie achiwa familia anaongoza familia hiyo kwa mujibu wa nyakati aliyonayo lakini DIRA [VISION] yake huwa ni ile MISINGI aliyoiacha Baba na Mama.[Ottu Jazzy-chini Mzee Gurumo waliimba wimbo Watoto wangu nawausia Mimi Baba Yenu].

Sasa mtoto anapotaka apewe kiti cha Baba wakati HATAMBUI UWEPO wa Baba na HAKUPATA kujua ATA alipozikwa DA yani ATA KATIKA MILA YA KIAFRIKA TU NIKOSA KUBWA SANA, ili kulitoa kosa ilo zinaitajika SALAMU za Wazee wa Kifamilia kukusaidia jinsi ya kufikia suruhu hiyo kwa TOBA kali sana....wewe Gazeti ni MILA GANI wewe? au yenu uwa mnafanya hivyo amjui hata kaburi la Baba zenu na mama zenu yako wapi.
 
Nakusihi uwe mwangalifu na tuhuma zako dhidi ya ENL; simuungi mkono lakini mnyonge mnyongeni bali haki yake apewe! ENL alikuwapo Butiama kwenye kikao maalumu cha halmashauri kuu ya CCM kilichofanyika Mwitongo na ni katika kikao hicho hicho ambacho mtoto wa mwalimu al maarufu kama Charles makongoro Nyerere; wakati huo akiwa Mwenyekiti wa CCM mkoa wa Mara alimsakama sana Edward uso kwa uso ndani ya kikao kuhusu tuhuma za ufisadi zinazomzunguka EL; backlash ya timbwili hilo dhidi ya Edward lilisababisha "bifu" kutoka kwa ENL na wapambe wake lililopelekea Makongoro Nyerere kuenguliwa katika kinyanganyiro cha kutetea Uenyekiti wake wa CCM mkoa; get your facts right Papa!
 
Hivi usipoenda kwenye msiba wa Nyerere basi huna sifa ya kuongoza?
Kwanini Nyerere tunamfanya Mungu kiasi hiki? Jamani hivi na hii nayo hoja ya kumfanya mtu asichaguliwe? Mi nadhani tusifike hatua ya kuangalia mgogoro wa mtu binafsi na mwenzake, kwani wewe mleta mada kama uliwahi kukosana baba riz ukiomba uongozi tusikuchague kisa una bifu na baba riz?

EL ahukumiwe na mchango wake duni wakati wa uongozi wake kama upo, ahukumiwe na matendo yake yasiyofaa kama kuhusika na rushwa, ahukumiwe tabia yake chafu ya kuhonga watu fedha etc.
Hili la msiba halina mashiko sana.
Ni mtazamo wangu tu.

team midimu wapuuzi hao sembe imewaarbu lowasa lazma awanyooshe
 
Kama ni kweli hakwenda na sasa asiende ataanguka vibaya. Hatutaki vifo vya ghafla afadhali umemwambia
 
Nyerere alishawahi kufika kwa Lowassa? au alishawahi kuhudhuria msiba wowote wa familia ya Lowassa? mtumpishe na Lowassa wetu.
 
Kuna mijitu inamwabudu Mwalimu kama Mungu wao. Inakera kweli!
Yani mngekuwa mnaweza kujustify hoja zenu ..ningekuwa najifunza mengi sana...Kama una imani ya kikristu [Nisamehe bure kama ni Islam-japo na hakika pia wao watakuwa na AYA za Mwenyezi Mungu zinana muusia Mja wake kuwaheshimu Baba na Mama Yake katika siku zake hapa Dunia] kuna amri kumi za Mungu amri moja yasema WAHESHIMU BABA NA MAMA YAKO UPATE HERI NA MIAKA MINGI DUNIA.Sasa Mwalimu Nyerere TAIFA limempa kuwa BABA wa TAIFA...ndio maana AIJALISHI UKO CCM, CUF, CDM, NCCR, TADEA,...nini wote inapofika Baba Wa Taifa HESHIMA KWA KWENDA MBELE.

Leo nilimuona mtu mmoja anawananga CHADEMA kuwa walipoenda Butiama Wakachinjiwa Ng'ombe waliona wamefika....na UKWELI kwenye POLITICAL game kitendo kile kinawapa MAKSI.Sasa smeni yote uwezi kusimama nadni ya TAIFA la Marekani ukataka UPEWE URAIS WA MAREKANI uku wakikuuliza WHO DO YOU BELIEVE IN DREAMS OF OUR FORE-FATHERS- kisha useme NON ....wewe IKULU YA MAREKANI utasikia mziki wake na kitakachofuata ni kukupoteza kabisa kwenye siasa za Marekani either your in Democratic or Republican.Lakini ukisimama na kuanza kujinadi na Baba zao wa TAIFa kama wakina Ablaham Lincon or George Washington aahaa support mia kwa mia.
 
Kwa umuhimu wowote atakaokuwa nao bado si sababu ya kumtenga mwanafamilia
mmoja eti kwa kuwa aligombana na marehemu kaka au dada, Kimsingi ubinadamu
unapitia changamoto zote hizo HAKUNA MKAMILIFU.

Kweli mkuu isiwe sababu,

Kwa jamii ya kitanzania imezoeleka mtu ukitofautiana na ndg yako e. Mwana ukoo basi ndg watakutenga `kinamna`
Hili mimi nasema halikubaliki.
 
Unavyoonekana ukunielewa...TAIFA kuongozwa misingi yake ni ile ile kama ya FAMILIA [Baba, Mama, Watoto na Wandungu]

Anapoondoka Baba na Mama katika uso wa Dunia wanfamilia wanakaa na kumpa jukumu Kaka/Dada mkubwa wa familia kuwaongoza watoto wenzie katika msingi ule ule alio uasisi Marehemu Baba na Mama yao nyakati wakiwa hai.Huyu alie achiwa familia anaongoza familia hiyo kwa mujibu wa nyakati aliyonayo lakini DIRA [VISION] yake huwa ni ile MISINGI aliyoiacha Baba na Mama.[Ottu Jazzy-chini Mzee Gurumo waliimba wimbo Watoto wangu nawausia Mimi Baba Yenu].

Sasa mtoto anapotaka apewe kiti cha Baba wakati HATAMBUI UWEPO wa Baba na HAKUPATA kujua ATA alipozikwa DA yani ATA KATIKA MILA YA KIAFRIKA TU NIKOSA KUBWA SANA, ili kulitoa kosa ilo zinaitajika SALAMU za Wazee wa a Kifamilia kukusaidia jinsi ya kufikia suruhu hiyo kwa TOBA kali sana....wewe Gazeti ni MILA GANI wewe? au yenu uwa mnafanya hivyo amjui hata kaburi la Baba zenu na mama zenu yako wapi.
huu upumbavu peleka kwa midmu wauza sembe wenzako....laana ya kula rambirambi ya Ghadafi inawatafuna bila kusahau vijana wa Tanzania mliowageuza mateja.....Nyerere hakuwa Mungu alikua na makosa kibao si lazma kila mtu ampende lowasa ana uhuru binafs kwanza lowasa alichokfanya ni kzur cz hapend kua mnafki kama viongoz wengi walivyo wanafiki
 
Nakusihi uwe mwangalifu na tuhuma zako dhidi ya ENL; simuungi mkono lakini mnyonge mnyongeni bali haki yake apewe! ENL alikuwapo Butiama kwenye kikao maalumu cha halmashauri kuu ya CCM kilichofanyika Mwitongo na ni katika kikao hicho hicho ambacho mtoto wa mwalimu al maarufu kama Charles makongoro Nyerere; wakati huo akiwa Mwenyekiti wa CCM mkoa wa Mara alimsakama sana Edward uso kwa uso ndani ya kikao kuhusu tuhuma za ufisadi zinazomzunguka EL; backlash ya timbwili hilo dhidi ya Edward lilisababisha "bifu" kutoka kwa ENL na wapambe wake lililopelekea Makongoro Nyerere kuenguliwa katika kinyanganyiro cha kutetea Uenyekiti wake wa CCM mkoa; get your facts right Papa!
Somthing Very Interesting .....
 
huu upumbavu peleka kwa midmu wauza sembe wenzako....laana ya kula rambirambi ya Ghadafi inawatafuna bila kusahau vijana wa Tanzania mliowageuza mateja.....Nyerere hakuwa Mungu alikua na makosa kibao si lazma kila mtu ampende lowasa ana uhuru binafs kwanza lowasa alichokfanya ni kzur cz hapend kua mnafki kama viongoz wengi walivyo wanafiki
The problem with you guys matusi mmeyaweka mbele uku ukweli [FACTS] mkizikimbia...hapa tunazungumza hoja ni thread kuhsu Mwalimu na Lowas...wewe maneno ya sembe...yametoka wapi...escaping goat..yani ndio kusema una point unachofanya ni kuruka ruka na kukimbia REALITY.Sasa kama unaweza kutoa matusi hivi leo siku yenyewe siunazimia kabisa.Nimeipenda sana Avatar kuna Comedian fulani msouth africa anaitwa Trevo Noah aliwai kutoa show yake moja Jobegi inatwa Am not a Racist.Itafute uone alimzaungumzia vizuri sana huyi wewe uliyemuona kuwa ni Bonge ya Role Model wako mpaka ukamtumia humu kwa great thinkers waweze kukucredit na kukutambua kupitia Avatar hiyo. kWA kifupi unareflect your LA VUVUZELA...ndio maana huna hoja.
 
  • Thanks
Reactions: MTK
Watu kama hawajamtaja lowassa hawajiamini kama cku yao imepita,muacheni mtoto was mwanaume mwenzenu ukitaka Hata wewe gombea huo urais hujakatazwa.
 
Binafsi sijawahi kumsikia JK akifanya reference kwa kum - quote baba wa taifa, achilia mbali kumsikia akitoa maneno ya "Baba wa Taifa". Naye huyu tumsemeje?
 
kwani nyerere ni nani lazima mtu ukazike
na kushiriki maziko akishiriki mmoja ni sawa mmeshiriki wote acheni kutukuza watu
unaweza kukuta wewe uliyepost hata kaburi la babu yako hulijui

uungwana vitendo sio maneno angeshiriki tu hata kutokea kwa dk 5
 
Last edited by a moderator:
  • Thanks
Reactions: MTK
Ipo siku mke wako atakufukuza nyumbani unamsingizia Lowassa kasababisha.
 
Back
Top Bottom