Lowassa hakudhuria Msiba wa Mwalimu Nyerere

Lowassa hakudhuria Msiba wa Mwalimu Nyerere

Hivi usipoenda kwenye msiba wa Nyerere basi huna sifa ya kuongoza?
Kwanini Nyerere tunamfanya Mungu kiasi hiki? Jamani hivi na hii nayo hoja ya kumfanya mtu asichaguliwe? Mi nadhani tusifike hatua ya kuangalia mgogoro wa mtu binafsi na mwenzake, kwani wewe mleta mada kama uliwahi kukosana baba riz ukiomba uongozi tusikuchague kisa una bifu na baba riz?

EL ahukumiwe na mchango wake duni wakati wa uongozi wake kama upo, ahukumiwe na matendo yake yasiyofaa kama kuhusika na rushwa, ahukumiwe tabia yake chafu ya kuhonga watu fedha etc.
Hili la msiba halina mashiko sana.
Ni mtazamo wangu tu.

Mwl Nyerere ana significance kubwa sana kwenye taifa hili. Ana mchango mkubwa sana kwenye taifa hili,Alikua ni msaada mkubwa sana kwenye taifa hili. Taifa hili limekua hivi kwasababu yake yeye. Heshima yake lazima iwepo.Anapotokea mtu yoyote ambae atabishana nae huyo mtu atakua anafananishwa na mtoto mwenye kiburi tena ni wa kumuogopa kabisa. If you can not respect someone who knows better and more than you wewe ni mtu wa aina gani? Utapeleka taifa wapi?
Au unasemaje natoka hapa?
 
Siamini kama hii hadithi ni kweli, bora asiende tu atapatwa na Majanga.
Kwa taarifa yako EL alikwenda kwenye mazishi ya John Nyerere. Pia shada la maua liliandaliwa kwa ajili yake na aliliweka kwenye kaburi la marehemu yeye mwenyewe.
 
Jee wewe ungemkaribisha mtu aliyesusia mazishi ya baba yako kwa madharau na chuki, alafu akaja kwenye mazishi ya mdogo wako.

sasa akija nimfukuze wa nini jaribuni kujifunza darasa la mazishi kwanza uanze na msemo wa kiswahili unaosema HAKUNA MSIBA USIOKUWA NA MZISHI.Sio mnabwabwaja
 
Mwl Nyerere ana significance kubwa sana kwenye taifa hili. Ana mchango mkubwa sana kwenye taifa hili,Alikua ni msaada mkubwa sana kwenye taifa hili. Taifa hili limekua hivi kwasababu yake yeye. Heshima yake lazima iwepo.Anapotokea mtu yoyote ambae atabishana nae huyo mtu atakua anafananishwa na mtoto mwenye kiburi tena ni wa kumuogopa kabisa. If you can not respect someone who knows better and more than you wewe ni mtu wa aina gani? Utapeleka taifa wapi?
Au unasemaje natoka hapa?

nyerere ndi aliyekuwa anakemea ukabila mdomoni lakini ndo aliweza kujaza watu wa musoma kwenye jeshi na ikulu
 
Dalili ya mvua ni mawingu....;mwisho wa ubaya ni aibu..hawakukosea wahenga kusema maneno hayo.!
Mengi yamesemwa juu ya kifo cha mzee wetu Julius Nyerere.Wakati akiugua mpaka kufariki kwake kipo kikundi cha watu waliofurahi na kujigammba kimya kimya sasa ni wakati wa kujinafasi.Wametumia fedha zao kuhakikisha hata matoleo ya vitabu vya Mwalimu vinapotezwa kwa makusudi mazima ili kutimiza haja zao.Hotuba(Wosia) ya Mwalimu ya Mbeya 1995 yenye msumari wa "Anayetaka kuingia ikulu kwa kutumia fedha aogopwe kama ukoma",hotuba hii zimetumika shilingi 70m/ ipotee jumla.Bahasha zimepitishwa kuhakikisha kwamba hairushwi katika luninga za Tanzania ili kuwashtua watanzania ili tuendelee kuhadaika na kitu kiitwacho SAFARI YA MATUMAINI inayosemwa sana na mtaka Urais wa Tanzania. Tujiulize hii movie inayochezwa hapa mwisho wake ni safari ya matumaini au kukata tamaa???
 
  • Thanks
Reactions: tyc
Kuna jamaa kaniambia kuwa tangu Mwaka 1990 Lowasa hajawahi kwenda Butiama hata wakati Mwalimu yupo.

Mwalimu alipatwa Msiba wa kaka yake Kiboko Nyerere Lowasa hakuhudhuria.

Mwalimu alifiwa na Mama yake Mzazi Bibi Mogaya Nyerere watu wote walifika kuhani msiba isipokuwa Lowasa.

Nyerere ameugua mpaka anakufa Lowasa hapata kumwona wala kufika kutoa pole.

Msiba umefanyika Butiama, Nchi nzima ilizizima, Watu wengi walifika Lakini Lowasa hakufika.


Huyu mtu wenu ana walakini. Kazi ipo.

Kweli
 
Back
Top Bottom