Lowassa hajaalikwa kwenye harambee yetu ~ Kanisa Katoliki

Ninachojua Kanisa lina utaratibu wa kualika viongozi wa serikali katika matukio kama haya wale ambao kwa mujibu wa majukumu yao wanapaswa kuwepo nafasi zinapowaruhusu. Viongozi hao ni pamoja na Mkuu wa nchi, Mkuu wa Mkoa na Mkuu wa wilaya ambao tukio lipo ndani ya eneo lao kikazi. Haya ya Lowez ni ya kujipelekapeleka ili kutafuta mwanya wa kuungwa mkono kuwania kupenya nafasi ya kugombea kuiangia Ikulu.
 
katika hili kanisa katoliki mmetufadhaisha sana, nafikiri baada ya hili mkae na kujadili ni vipi mtazuia hili wakati mwingine au ni vipi mtalihalalisha wakati mwingine bila kuwa na mawazo nusunusu, maana sasa mnakataa kwa maneno na kukubali kwa matendo. bora angekuwa ni kiongozi wa serikali ingekuwa nafuu lakini kiongozi wa ccm da c mchezo. Askofu pengo mnatufadhaisha sana wauminni wenu kwa kutoa sababu ambayo hata mtoto mdogo haiimwingii akilini, bora bora muamue moja halafu mlitetee lakini hilo la nusunusu hatuelewi
 
Reactions: FJM
Umechanganya maoni yako na taarifa ya kukanusha kutoa mualiko.
Mahindi + Maharage = Kande
 

1. kanisa katoliki halina dayosisi
2. EL alialikwa diamond jubilee darisalama tar 7 march kwenye chakula lengo likiwa ni kuchangisha fedha kwaajili ya kuanzisha jimbo jipya la ifakara
3. EL alialikwa mwanza na kanisa katoliki kwenye harambee ya kuchangia ujenzi wa kanisa la nyakato

Mizambwa alileta tamko hili wiki chache zilizopita na ilikuwa ni kama tamko la mtu binafsi (askofu msaidizi)
 
Kanisa katoliki linaongoza kwa jeuri duniani, na wanaamini makanisa yote na pamoja na uislamu ni fotokopi za ukatoliki na wote walioanzisha kabla hawajaandika hiyo miradi ya tamaa waliwahi kuwa wakatoliki. lakini ni kweli?
Future President Lowassa aende tu hata kama hana mwaliko, hawatampa kwa jeuri hata siku moja
 
Kama anaenda kusali, haitaji kibali wala kuulizwa maswali

Exactly! Can everybody now stop this bull***p about Lowasa, mnampa ma promo day in day out kama watu wangekuwa wanachukuliwa jinsi walivyo Lowasa stahili yake ingekuwa kama Mwigulu tu. Lakini sababu ya kumwongelea sana mnamfanya kama jabali fulani hivi, which he is not.
 
Reference please?

you do not need to have it.
Ukitaka kujua njoo hapa Arusha, pale Ngaramtoni kuna Nyumba inaitwa Masonic Lodge, mara kwa mara wanakutana pale, Rais wetu Mtarajiwa EDO ni muumini mzuri wa jumba lile pamoja na Jk na the so called Ngurumo ya upako
 
mkuu wangu lemonade naamini wakati unapost hii kitu hata wewe ndani ya moyo wako ulikua unajua ni uwongo!
 
Hivi Mungu yupo kwa ajili ya kubagua watu?.La hasha ni KUOKOA.

mungu haokoi kwa mtindo huo. Wa kutafuta wapi kuna harambee unahonga wajumbe ili uwe mgeni rasmi! NO! Unaweza kwenda kutubu popote pale ila siyo kwenye harambee.
 
Kwa hiyo hamjamwalika ila atakuwepo kwa kuwa mke wake ni mkatoriki, what a shame on RC. Vipi Sadaka imepungua Italy na Spain nini?, maana uchumi umeyumba uko. RC ilikuwa zamani bwana, siku hizi magumashi tu, full upako na usanii mwingine. Acha wengine tunaoamini kwenye hedinism tuendelee kujihedonise bila stress.
 

kumbe lowassa na mkewe wanaalikana wenyewe nyumbani halafu nyie mnakuja kudai kaalikwa na kanisa katoliki??

mbona kila mtu anamkana lowassa siku hizi?kuna nini hapa
 

hedonism wanaenda mbali kiasi gani kwenye doctrine yao Nelsweeter!!?

NB
Picha nzuri ya avatar yako
 
Jamani Lowasa ni nani ? Mbona anaongelewa sana ? Kalifanyia nini hili Taifa so far ?
 
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…