Lowassa could've done better...

Baadaye tulikuja kuambiwa list iliandaliwa na Lissu mwenyewe. Tafuta video zake youtube
 
Tatizo badala ya kuangalia principles, mnaangalia watu.

Lazima tupigwe sana tu.
 
acha kutudanganya ndugu, ulivoandika apo juu umekosea sana, Lowassa is not good katika maamuzi na uwajibikaji pia, na hana sifa za kua kiongozi bora
 
Magufuli ni rais bora kabisa kuwai kutokea. Acheni akili fupi za kiafrika, huyo lowassa kwa mfano angefanya nini ambacho magu hafanyi zaidi ya wizi yeye na genge lake la kina rostam karamagi
Nakuunga mkono ndugu yangu asilimia 100 hao wanaoongea kuhusu JK na EL ni vibaraka wa mahaba JPM anakubalika kimataifa ndio maana balozi wa China aliyeondoka alisema sasa Tanzania itafuatiliwa na jumuiya za kimataifa kwa sababu ya utendaji kazi wa JPM
 
Dr Slaa ambaye ameshindwa hata kuendeleza ndoa yake? Aliye liendea kinyume kanisa? Aliyeitekeleza familia yake kwa mchapuko? You can not be serious! Ukitaka kujuwa kiongozi kama mzuri au laa, tizama mahusiano yake na familia, period!
 
A day dream!!!
 

Hongera kwa kutengeneza story, ingawa sikubaliani na hili
 

Huenda awamu ya 5 ikawa na kashfa kuliko awamu zilizopita, awamu itakayokuja itapitia pia haya ya awamu ya tano mfano mikataba ya bombadier, ununuzi wa meli, mikataba ya reli ya kati etc
 
Lowassa zilipendwa hana nafasi tena katika siasa za bongo, atulie kama wenzake akina, Malecela , Dr. Salim, Msuya na wenginevo vinginevyo atakuja pata aibu tu
 
Mushi huyo lowassa kama ccm wengine wote ni fisadi

this nullifies your long article
 

uko sahihi sana

nani ambaye unafikiri angekuwa rais ana hizo sifa?? ukitaja itakuw bora

Pia nafasi ya wananchi katika kuelewa haya kukoje? maana unaweza ukamlaumu kiongozi kumbe katokana na jamii hiyo hiyo ambayo ndio hao hao wanampigia kura!!

Tutasema kiingereza chote mpaka sayari ya mars, huyu kabana kula...na ndio tatizo la msingi linazua theory zote hizi

muweke JK pia katika hiyo mizani, tupe mrejesho!

hamna atakeykuwa na zote, kama yuko unayemfahamu...nakupa Tanzanite kilo 5
 
Muanzisha hii thread leo kaja na maada eti 'Lowassa angekuwa rais bora kabisa kuliko Magufuli'

muwe mnasimamia maamuzi na mitazamo yenu, mnakuwa na thamani zaidi--ulikuwa mpingaji sana wa ufisadi nchi hii

Fisadi anabaki kuwa fisadi haijalishi kaenda chama gani, yuko nje au jela, kama kaokoka na kujifanya malaika au la!!!

Fisadi ni identity hatakasikiki, wala kuosheka...wakiishafanya ufisadi kuna watu wanakufa kwa namna mbalimbali directly au indirectly! you can not reverse the damage done

Hata fisadi akaongea maneno matamu namna gani, au akaenda kukaa na watakatifu wa chadema! hata hawa watakatifu waliomuita kuja kunajisi ukuu wao bado haitamfanya fisadi kutakata!!

Vyama au mahali anapoenda na anapohamia havina mechanism ya kubadilisha moyo, damu na akili yake asiwe fisadi!

Lowassa ni fisadi sawa na walioko ccm, ambao for years wamejiwekea misingi ya unyonyaji, kuwa na biashara nzito na hawakutumika

Infact kisiasa Lowasa ni chadema, mirija, moyo na base zake zote za kupata hela ziko CCM inajulikana,

Lowasa na hao akina kikwete, mkapa, mwinyi , karamagi n.k wana biashara mbalimbali ambazo wako share

Leo anapokuja mwanachadema anatoa povu kana kwamba Lowasa alikufa akafufuka na akasahau na kuacha mambo yake ya kale unamwonea huruma!!

anapokuja ny.umb.u mmoja na kusema mbona hauyuko gerezani unacheka, kwani nani aliyesema ccm wasafi? hawa wote lao moja!!!!

endeleeni kusaga lami na ndala zenu zilizoisha

Lowasa kuwa Fisadi ni SI Unit, ni kama kuku KFC, au football barcelona, ni sawa na dhahabu barrick au ubongo wa lissu na sheria, Lowasa na ufisadi ni inseparable!!

Mengine yote semeni ila mtu huyu anapendeza sana kwa ID yake ya fisadi, imemvaa
 
Acha uwongo alikua anavuta 200m wakina wapi? Kama Lowassa angewaonea city water bac wangeshinda kesi yao lkn kwakua Lowassa ni genius anaejua uongozi ndio maana akashinda.
Lkn huyu wetu asiyejua lolote alichofanya ni nn?
_ kauza nyumba hadi kwa washikaji wake
_ kanunua kivuko kibovu
_ kajenga barabara Nyingi zilizochini ya viwango
_ kavunja mikataba kibao bila kufwata sheria na kututia hasara juu
Sasa mtu kama huyu unamtetea kwa lipi?
 
Madhari ulimpigia kura huyo, wewe ndio walewale. Huna hoja bora ukae kimya! Ulicho paswa kujua mapema ni kuwa CCM ni walewale hakuna mwenye nafuu hata mmoja. Nchi ina angalia kwasababu yenu.
Mkuu si bora nimetambuwa mapema? Kuna binadamu asiyefanya kosa?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…