Lowassa could've done better...

wewe ni mmoja wa wale watu 12,000 aliosema mhe.JPM ana enjoy akiwasikia wakimtukana wala haoni taabu maana nchi hii ina zaidi ya watu milioni 50
Kwani wapi nimemtukana?
 
Hahaha
 
Hahahahahahahahahah acha nicheke tu maana inabidi kucheka,leo mnauliza ufisadi wa Lowassa ni upi!?
Siku akifikishwa kwa pilato sijui mtakuja na hadithi gani!hahahahahahhahahah! mmechanganyikiwa kwa ukweli.
Mkuu bado unaamini atafikishwa kwa Pilato? Kwa kosa lipi? Mpaka usawa huu lazima amgeshafikishwa kwenye hiyo mahakama. Sanana kuzuiliwa siasa ni dalili za kumuogopa na si vinginevyo.
 
Hivi we unamjua lowassa au unaongea tu? Acheni kuwaona watu kwenye majukwaa mkafanya conclusion,

Kama siyo wa visasi Mtikila yuko wap?
Kama si wa visasi, kule ukerewe amefanya nini mwaka 2013?

Kama si wa visasi sumu kwa mwakyembe iliingiaje,

Kama si wa visasi kabwe alipataje sumu?

Kama si wa visasi alifanyaje kwa msiba wa mwalimu Nyerere?

Kama.si wa visasi Lissu yuko wapi?

Kama si wa visasi Yule mama wa haki za binadamu ambaye alilazimishwa kutoa milion 150 za watoto yatima yuko wapi?
Acheni kuongea ugolo we jmushi
 
Mkuu siasa za Tanzania hazina formula,ni za mzunguko usioeleweka.Kuna watu humu Jamii Forum for eight years walimuandama Lowassa kama chuki binafsi,wakigangana kuwa ni fisadi tu bila chembe ya ushahidi.Kama haitoshi wapo watu wengi walichukia rushwa kubwa kubwa zilivyokuwa zimeharibu hadhi ya serikali,waliomba kumpata raisi mwenye uchungu na mali za nchi hii.
Bahati nzuri walichoomba wamepata sasa kelele za nini?Na ninavyomuona Magufuli ni bora kunyamaza kuliko kukaa unamkosoa hageuki nyuma,wala hajaribiwi.
Magufuli ana Baraza lake la mawaziri akitaka anapata ushauri lakini sio by mtandao.
 
Kama kweli Lowassa hakuwa fisadi wa Richmond Lawama ziwaendee Upinzani aisee maana kupitia wao walizunguka nchi nzima kusema CCM na Lowassa ni mafisadi ( ingawa CCM najua wanakula hela zetu toka sijazaliwa)
kura yangu niliamua kuwapa UKAWA ila nilipoona Lowassa kapokelewa UKAWA kwa mbwembwe live kwenye Tv
Honestly I was confused and disappointed, sikujua niamini kipi
nikaamua kuliko kupigia kura CCM( I glad I didn't
maana nilitegemea kusingekuwa na mabadiliko ila kinachoendelea) I'm very happy sikupigia kura, niliamkia Baa mwendo wa kitimoto na bia

Ila UKAWA niwalaumu nyie kwa kutowapigia kura maana mlituchanganya kwa kweli.
 
Madhari ulimpigia kura huyo, wewe ndio walewale. Huna hoja bora ukae kimya! Ulicho paswa kujua mapema ni kuwa CCM ni walewale hakuna mwenye nafuu hata mmoja. Nchi ina angalia kwasababu yenu.
 
Nani angefaa kuwa Rais bora kati ya wale wote waliotia nia 2015?
 
Huyo Slaa naye mlimuita majina mabaya yote, mkampa sifa zote mbaya,...........manake ni kwamba hata kundi linalo ongozwa ndo lenye kasoro zaidi
 
Sifa kubwa ya kiongozi ni kuwa na busara na hekima.
 
Lowasa alishapigwa chini na JK kabla hata ya 2010, Richmond ilifanywa iondoke na Lowasa lakini haikuwa ya kuondoka nayo.
 
Magufuli ni rais bora kabisa kuwai kutokea. Acheni akili fupi za kiafrika, huyo lowassa kwa mfano angefanya nini ambacho magu hafanyi zaidi ya wizi yeye na genge lake la kina rostam karamagi

Angetuongezea mshahara na marupurupu. Ongeza swali lingine nikujibu....
 
Magufuli ni rais bora kabisa kuwai kutokea. Acheni akili fupi za kiafrika, huyo lowassa kwa mfano angefanya nini ambacho magu hafanyi zaidi ya wizi yeye na genge lake la kina rostam karamagi
Kwa mawazo haya ya watu aina yako, basi nchi ina safari kubwa si ndogo. Final outcome ya awamu ni majanga kwa taifa zima. Kwa sababu as of now, hakuna sera yoyote inayotekelezwa zaidi ya mtu aonavyo inafaa. Muda utaongea.
 



The Characteristic of Leadership - 7 Important Traits


Studying the characteristic of leadership is useful because we tend break things into characteristics to make big concepts easier to handle. There are common traits that define leadership, and finding them only takes some study of those who have been successful. By actively building on these traits you can develop into a stronger leader. Here are some of the most common traits in the characteristic of leadership:

  • Empathy: Creating a legitimate rapport with your staff makes it less likely that personal issues and resentment can creep in and derail the group. When your team knows that you are empathetic to their concerns, they will be more likely to work with you and share in your vision, rather than foster negative feelings.
  • Consistency: Being a consistent leader will gain you respect and credibility, which is essential to getting buy-in from the group. By setting an example of fairness and credibility, the team will want to act the same way.
  • Honesty: Another characteristic of leadership that lends itself to credibility. Those who are honest, especially about concerns, make it far more likely that obstacles will be addressed rather than avoided. Honesty also allows for better assessment and growth.
  • Direction: Having the vision to break out of the norm and aim for great things --then the wherewithal to set the steps necessary to get there-- is an essential characteristic of good leadership. By seeing what can be and managing the goals on how to get there, a good leader can create impressive change.
  • Communication: Effective communication helps keep he team working on the right projects with the right attitude. If you communicate effectively about expectations, issues and advice, your staff will be more likely to react and meet your goals.
  • Flexibility: Not every problem demands the same solution. By being flexible to new ideas and open-minded enough to consider them, you increase the likelihood that you will find the best possible answer. You will set a good example for your team and reward good ideas.
  • Conviction: A strong vision and the willingness to see it through is one of the most important characterizes of leadership. The leader who believes in the mission and works toward it will be an inspiration and a resource to their followers.

PhD hana hata kimoja hapo mkuu. tukubali tuliingia choo cha kike kwa huyu jamaa
 
Reactions: bne
Nilimpigia Magufuli na nitampigia tena na tena, rais aliyekomesha rushwa aina ya richmond na kirudisha heshima mtaani.
Kurudisha heshima mtaani!!!! Nimejua wewe ni mtu wa aina gani kielimu, kimapato (kazi yako) na uwezo wako wa kufikiri. Nikwambie tu hili kurufisha mtaani hakukufanyi ule Milo 3 nyumbani kwako na mwenzo kunywa bia na nyama choma hakukupunguzii kitu
 
Rudia tena
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…