Lowassa: CCM isijidanganye

Lowassa: CCM isijidanganye

Try your best mum, poor grammar sio tatzo langu naona akil yako ndo ina poor grammar, kama hukuelewa mute, kumbuka bibie hujanilipia ada how dare you unabwatuka misli ya mbwea
Ila naona kuendekeza ukoloni ndo jadi yenu watawala maana hta nchi yetu tuna almasi sijui dhahabu mara tanzanite ila faida yake hatuioni wanaishia kunufaika wazungu tu hku wakipewa misamaha ya kodi ya mabilion ya shilingi kila mwaka.

So kwa watu kma nyie ambao mnaaminishwa kuongea kingereza ndo inaonekana umesoma sana sishtuki nikiskia mko ccm maana na wenyewe wameendekeza ukoloni mpaka leo.
 
hate your dad who taught you to hate the ruling party
 
Niameanza kukuelewa kumbe, role nini
How dare u question my language literacy level just coz of a mere typing error of a single letter?? Check my other posts and tell me wea have i made a mistake as far as grammar is concerned??
Hate it or like it like father like son
 
Maneno yote hayo ili yeye awe Rais, na atayabadili punde tu atakapoukosa tena, na ni lazima aukose.
 
How dare u question my language literacy level just coz of a mere typing error of a single letter?? Check my other posts and tell me wea have i made a mistake as far as grammar is concerned??
Hate it or like it like father like son
Chonka bojosi abantu mmmmh, mkuki kwa binadam hauwez ukawa mtamu
 
Chonka bojosi abantu mmmmh, mkuki kwa binadam hauwez ukawa mtamu
Mkuuu acha chuki binafsi mie nlitoa tu ushauri kuwa hainaga haja ya kumix lugha ya kiingereza na kiswahili muda mmoja nashangaa ukaichukulia kma ligi.
Maana nakusaidia tu kma unahisi unaweza english basi iongee yote na sio nusu nusu hilo nafkiri kila mzalendo ataniunga mkono. Maana itakuwa haina tofauti ya wwe msomi wa umeme na yule miss tanzania anayeweka "its like" ,"u know","of course" n.k binafsi huoni inaudhi ??
 
asante sana naona upo busy kuipekenyua pr yangu
 
Waziri Mkuu wa zamani Edward Lowassa ameitaka CCM iache kujidanganya kuwa haiwezi kuondoka madarakani akiitaka iangalie alama za nyakati hasa mabadiliko ya uongozi yanayotokea kwingineko duniani.

Hata hivyo, Lowassa ambaye ni mjumbe wa Kamati Kuu ya CHADEMA amesema unahitajika muungano wa dhati wa vyama na uliopangiliwa vizuri katika juhudi za kuiondoa CCM madarakani.

Lowassa alisema hayo alipoombwa na mwandishi wa habari hizi kutoa tathmini ya maisha yake ya kisiasa mwaka mmoja na nusu tangu alipojiondoa CCM na kujiunga na CHADEMA ambako aliteuliwa kuwa mgombea urais wa chama hicho akiwakilisha muungano wa vyama vinne – CHADEMA, CUF, NCCR - Mageuzi na NLD – Iliopewa jina la Umoja wa Katiba ya Wananchi (UKAWA).

Chanzo: Gazeti la Mwananchi leo.

Wazo binafsi: Ni vyema Lowasa akajitambua kwani CCM haitaondolewa na upinzani unaongozwa na yeye wala Mbowe wala CHADEMA ya sasa.
Ccm itaondoka,ipende au isipende.mwisho ukifika miti yote hutereza.
 
ACT Wazalendo ndio chama kikuu cha upinzani ndani ya mioyo ya Watu..

Watu hawana hamu tena na lile chaka la mafisadi chadema.
 
Waziri Mkuu wa zamani Edward Lowassa ameitaka CCM iache kujidanganya kuwa haiwezi kuondoka madarakani akiitaka iangalie alama za nyakati hasa mabadiliko ya uongozi yanayotokea kwingineko duniani.

Hata hivyo, Lowassa ambaye ni mjumbe wa Kamati Kuu ya CHADEMA amesema unahitajika muungano wa dhati wa vyama na uliopangiliwa vizuri katika juhudi za kuiondoa CCM madarakani.

Lowassa alisema hayo alipoombwa na mwandishi wa habari hizi kutoa tathmini ya maisha yake ya kisiasa mwaka mmoja na nusu tangu alipojiondoa CCM na kujiunga na CHADEMA ambako aliteuliwa kuwa mgombea urais wa chama hicho akiwakilisha muungano wa vyama vinne – CHADEMA, CUF, NCCR - Mageuzi na NLD – Iliopewa jina la Umoja wa Katiba ya Wananchi (UKAWA).

Chanzo: Gazeti la Mwananchi leo.

Wazo binafsi: Ni vyema Lowasa akajitambua kwani CCM haitaondolewa na upinzani unaongozwa na yeye wala Mbowe wala CHADEMA ya sasa.
hahahahaahahaha pole
 
Uko sahihi CCM haiwezi ondolewa na CHADEMA wala UKAWA wala LOWASA sababu wote hao ni wapinga muungano huu wa serikali mbili tulionao

Muungano wa Tanganyika na Zanzibar ambao huwa wanasema UKAWA na Lowasa na SEIF hawauelewi ulivyokaa huo wa serikali mbili uliomchanganya hata warioba na tume yake ndio mwamuzi wa nani afaa kuwa raisi wa Muungano au Zanzibar.

Muungano huo ulifanywa na mababu Wa TANGANYIKA na ZANZIBAR kwa Udongo uliochukuliwa pande mbili za muungano ukachanganywa kwenye chupa na dawa na wazee wakala yamini ya kutouvunja huo muungano hivyo hivyo ulivyo milele,wakapiga madua na manuizo ya kiutawala kwenye hiyo chupa.

Kwa hali ya kawaida ungetarajia ile chupa iliyochanganywa udongo iwe jumba la makumbusho.Haipo.Ilifanyiwa mauchawi ya kitawala ikaenda kutupwa katikati ya vilindi vya bahari huku wazee wakisoma madua kuwa yeyote atakayetaka kubomoa huo muungano abomoke yeye na kama akittaka uraisi popote iwe wa muungano wala wa Zanzibar asipate.Ukitaka kuuvunja hutakiwi kutumia porojo za kitoto za sijui rasimu ya kitoto ya katiba ya Warioba ETI ilitaka seikali tatu hutaweza!!! Katafute ile chupa uibomoe ndipo muungano utabomoka .

Ndio maana wapinga muungano huu kama ulivyo wote hakuna anayeweza kuwa Raisi awe wa Zanzibar au muunganoWote waliojaribu kuuvunja walikwama na waliojaribu kuuvunja ili wafanikiwe kuwa maraisi akiwemo SEIF SHARIFF hamad,LOWASA,warioba,mbowe,Lipumba,SLAA nk wote walikwama.Uwe CCM au nje ya CCM ukiupinga hushiki uraisi wa Tanzania uwe wa muungano au wa Zanzibar.Ni mawili tu uko na huu muungano ulivyo hutaki OUT.

HUO MUUNGANO NI KISIKI kwa Lowasa.Nashangaa kukaa kwake kote serikalini na Kingunge wake hawakuijua hiyo siri.Watu wazima hovyo kabisa.Lowasa alitakiwa alijue hilo kabla ya kwenda kujiunga na wapinga muungano wa serikali mbili.Ukitaka kushika uraisi lazima utake usitake ukubaliane nao kama ulivyo.HUU UJUMBE WAFIKISHIE UKAWA wote wanaodhani huu muungano ulivyo ni wa kuuchezea.Ukitaka kuubomoa unakubomoa.Ndio maana safari hii LOWASA na SEIF walikubaliana SEIF ashike uraisi Zanzibar LOWASA ashike uraisi muungano halafu wabomoe muungano huu wa serikali mbili.Kilichomkuta SEIF zanzibar haji kisahau.Na lowasa hana hamu na haelewi nini kilimtokea hadi leo.

HUO UKAWA ni umoja wa watu mbumbumbu wasiojua uchawi wa utawala.HILO LA KUTAKA KUVUNJA MUUNGANO ni kigezo kiukuu cha UKAWA kutoshika dola HATA WAJIZATITI VIPI.Muungano sio wa kugusa ndio maana hata CCM Haiugusi kabisa kusema twataka serikali tatu sababu wanaujua mziki wake wakiugusa kutaka kuufumua kitakachokuta hawaji sahau.UKAWA wasingekuwa wanapinga serikali mbili uchaguzi uliopita wangeweza shinda lakini walishindana na kisiki kikawachoma.
Andiko lako refu lakini halina maana ccm hitatoka madalakani na itatolewa na wananchi awa awa ambao mnawaona marofa,washenz ,wajinga , wapumbavu watu wasio n mwelekeo Mme kuwa mkidharau maoni na mawazo yao

Rasimu ya katiba mpya ambayo hilikuwa na rafiki kwa wantazania wote imedharaulika na mwisho wa siku ikatengenezwa katiba inayo pendekezwa kwa mawazo ya chama kimoja cha ccm Leo hii hatuwezi kufanya chochote kwenye maswala ya uchaguzi kwa maana katiba bado ina wabeba chama tawala rasi wakwao tume yao wakurungezi wa kwao watendaji wakwao madc wa kwao ma RC wa kwao kibaya zaidi katiba inampa mamlaka rais kuwateua awa watu

Lakini Nina amini ipo siku tume huru itapatikana kutoka kwa wananchi waliochoka na utawala na mfumo mbovu wa uongozi ungozi wa kibabe, uongozi unaopuuza mawazo ya watanzani na hapo ndipo ccm itatoka madalakani

Naamini ccm itolewa na watanzania ambao watasema basi kama kufa wachatufe lakini hatupo tayr kuendelea kuongozwa na ccm IPO siku na ndio itakuwa mwisho wa ccm haijarishi watu wa kufa au kupoteza maisha yao hakuna jambo lisilo na mwisho
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom