Lowassa: CCM isijidanganye

Lowassa: CCM isijidanganye

Edo, hawezi kuwa rais Wa nchi hii never ever, may b nchi iwe gizani na wapigakula wote wawe Wa A.town

bila hvyo hawezi, na Sabah kubwa ni 1yy ni fisadi no 1, yy anajua na watz wote tunajua,
Mkuu huu uandishi wako Mungu anakuona. "wapigakula = wapigakura" mara uchanganye herufi kubwa katikati
 
Unaongea tu bila fact,unakumbuka wakat anaomba wadhamini arusha akiwa CCM,alisema muda Wa vyama vivyotafuta Uhuru kuendelea kukaa madarakani umepita,tukipewa ridhaa ya kuongoza nchi tufanye kazi kweli kweli maana vyama vyote karibia vinatoweka vile vya zamani
Kweli alisema tukipewa ridhaa CCM tupige kazi kweli kweli naona USHAURI wake unazingatiwa na Awamu ya 5 ,kazi inapigwa HASA.
 
Kwenye red, kwanini akatumia gharama kubwa kugombea kwa chama ambacho muda wake 'umepita'? Iko siku Watanzania wataelewa nini kinapiganiwa, na watabaki mdogo wazi.[/QUOTE
alikuwa anamaanisha kuwa kama watapata fursa tena ya kuaminiwa na WAtanzania basi waitumie vizuri,
 
Hivi ni lazima kutumia kiingereza na kiswahili muda mmoja?? nahisi ungeendelea na kiswahili tu ningekuelewa hta kma tunatofautiana mawazo naheshim maoni yako ila kma hujui lugha vizuri sio lazima uitumie humu ilimradi uonekane msomi.... GROW UP
kuna watu hawajitambui dhahir kwa comment zao kama ww, kiingereza na kiswahili na wewe umefanya nin, mboga
 
Haitawezekana hata siku moja UKAWA inayoongozwa na Lowassa ikaitoa CCM
 
Unaongea tu bila fact,unakumbuka wakat anaomba wadhamini arusha akiwa CCM,alisema muda Wa vyama vivyotafuta Uhuru kuendelea kukaa madarakani umepita,tukipewa ridhaa ya kuongoza nchi tufanye kazi kweli kweli maana vyama vyote karibia vinatoweka vile vya zamani
Maneno ya wanasiasa matamu amesahau alisema nn wakt yuko ccm
 
Ccm wataongoza milele na sisi tutataabika milele..
 
kuna watu hawajitambui dhahir kwa comment zao kama ww, kiingereza na kiswahili na wewe umefanya nin, mboga
nimesisitiza kwa lugha unayoielewa hapo mwishoni. Mix kama unaweza sio poor grammar kama yako utafkiri upo vidudu. inakera sana kuendekeza ukoloni hadi kwenye lugha
 
Uzi Wa Lumumba ona mnavyojimwaga, mmekurupuka vilabuni mnamuwaza lowasa? yatawashinda
 
Edo, hawezi kuwa rais Wa nchi hii never ever, may b nchi iwe gizani na wapigakula wote wawe Wa A.town

bila hvyo hawezi, na Sabah kubwa ni 1yy ni fisadi no 1, yy anajua na watz wote tunajua,
Huku A-Town tayari tulishamkataa bro ndo maana akifanya mkutano anakodi magari toka kona zote za mikoa jirani na A-town kubeba watu aonekane anapendwa sana.
 
Huku A-Town tayari tulishamkataa bro ndo maana akifanya mkutano anakodi magari toka kona zote za mikoa jirani na A-town kubeba watu aonekane anapendwa sana.
cha kushangaza cdm wanamtaka agombee tena 2020,

cjui hawajitambui? anyway wanahitaji mtalaam Wa kisaikolojia..
 
Waziri Mkuu wa zamani Edward Lowassa ameitaka CCM iache kujidanganya kuwa haiwezi kuondoka madarakani akiitaka iangalie alama za nyakati hasa mabadiliko ya uongozi yanayotokea kwingineko duniani.

Hata hivyo, Lowassa ambaye ni mjumbe wa Kamati Kuu ya CHADEMA amesema unahitajika muungano wa dhati wa vyama na uliopangiliwa vizuri katika juhudi za kuiondoa CCM madarakani.

Lowassa alisema hayo alipoombwa na mwandishi wa habari hizi kutoa tathmini ya maisha yake ya kisiasa mwaka mmoja na nusu tangu alipojiondoa CCM na kujiunga na CHADEMA ambako aliteuliwa kuwa mgombea urais wa chama hicho akiwakilisha muungano wa vyama vinne – CHADEMA, CUF, NCCR - Mageuzi na NLD – Iliopewa jina la Umoja wa Katiba ya Wananchi (UKAWA).

Chanzo: Gazeti la Mwananchi leo.

Wazo binafsi: Ni vyema Lowasa akajitambua kwani CCM haitaondolewa na upinzani unaongozwa na yeye wala Mbowe wala CHADEMA ya sasa.
Sasa wewe unafikiri umungu mtu utaendelea kuvumiliwa na Mungu aliye hai?kwani huoni Ghana,Gambia ,Zambia ,Kenya, Malawi nk unafkiri vyama tawala huko hawakupenda kung'ang'ania madarakani?
 
nimesisitiza kwa lugha unayoielewa hapo mwishoni. Mix kama unaweza sio poor grammar kama yako utafkiri upo vidudu. inakera sana kuendekeza ukoloni hadi kwenye lugha
Try your best mum, poor grammar sio tatzo langu naona akil yako ndo ina poor grammar, kama hukuelewa mute, kumbuka bibie hujanilipia ada how dare you unabwatuka misli ya mbwea
 
Tunaowamba ccm kama wanajiamini waruhusu uundwaji wa tume huru ya ucuaguzi. Mkifanya hivyo mkashida ndipo mje kutamba. Ni ukweli wa wazi kabisa kwamba matokeo yanuchaguzi yanachakachuliwa hasa katika maeneo ambayo upinzani huna watu jeuri.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom