Hii comment bnUko sahihi CCM haiwezi ondolewa na CHADEMA wala UKAWA wala LOWASA sababu wote hao ni wapinga muungano huu wa serikali mbili tulionao
Muungano wa Tanganyika na Zanzibar ambao huwa wanasema UKAWA na Lowasa na SEIF hawauelewi ulivyokaa huo wa serikali mbili uliomchanganya hata warioba na tume yake ndio mwamuzi wa nani afaa kuwa raisi wa Muungano au Zanzibar.
Muungano huo ulifanywa na mababu Wa TANGANYIKA na ZANZIBAR kwa Udongo ulichukuliwa pande mbili za muungano ukachanganywa kwenye chupa na dawa na wazee wakala yamini ya kutouvunja huo muungano hivyo hivyo ulivyo milele,wakapiga madua na manuizo ya kiutawala kwenye hiyo chupa.
Kwa hali ya kawaida ungetarajia ile chupa iliyochanganywa udongo iwe jumba la makumbusho.Haipo.Ilifanyiwa mauchawi ya kitawala ikaenda kutupwa katikati ya vilindi vya bahari huku wazee wakisoma madua kuwa yeyote atakayetaka kubomoa huo muungano abomoke yeye na kama akittaka uraisi popote iwe wa muungano wala wa Zanzibar asipate.Ukitaka kuuvunja hutakiwi kutumia porojo za kitoto za sijui rasimu ya kitoto ya katiba ya Warioba ETI ilitaka seikali tatu hutaweza!!! Katafute ile chupa uibomoe ndipo muungano utabomoka .
Ndio maana wapinga muungano huu kama ulivyo wote hakuna anayeweza kuwa Raisi awe wa Zanzibar au muunganoWote waliojaribu kuuvunja walikwama na waliojaribu kuuvunja ili wafanikiwe kuwa maraisi akiwemo SEIF SHARIFF hamad,LOWASA,warioba,mbowe,Lipumba,SLAA nk wote walikwama.Uwe CCM au nje ya CCM ukiupinga hushiki uraisi wa Tanzania uwe wa muungano au wa Zanzibar.Ni mawili tu uko na huu muungano ulivyo hutaki OUT.
HUO MUUNGANO NI KISIKI kwa Lowasa.Nashangaa kukaa kwake kote serikalini na Kingunge wake hawakuijua hiyo siri.Watu wazima hovyo kabisa.Lowasa alitakiwa alijue hilo kabla ya kwenda kujiunga na wapinga muungano wa serikali mbili.Ukitaka kushika uraisi lazima utake usitake ukubaliane nao kama ulivyo.HUU UJUMBE WAFIKISHIE UKAWA wote wanaodhani huu muungano ulivyo ni wa kuuchezea.Ukitaka kuubomoa unakubomoa.Ndio maana safari hii LOWASA na SEIF walikubaliana SEIF ashike uraisi Zanzibar LOWASA ashike uraisi muungano halafu wabomoe muungano huu wa serikali mbili.Kilichomkuta SEIF zanzibar haji kisahau.Na lowasa hana hamu na haelewi nini kilimtokea hadi leo.
HUO UKAWA ni umoja wa watu mbumbumbu wasiojua uchawi wa utawala.HILO LA KUTAKA KUVUNJA MUUNGANO ni kigezo kiukuu cha UKAWA kutoshika dola HATA WAJIZATITI VIPI.Muungano sio wa kugusa ndio maana hata CCM Haiugusi sababu wanaujua mziki wake wakiugusa kutaka kuufumua kitakachokuta hawaji sahau.UKAWA wasingekuwa wanapinga serikali mbili uchaguzi uliopita wangeweza shinda lakini walishindana na kisiki kikawachoma.

Hivi ni lazima kutumia kiingereza na kiswahili muda mmoja?? nahisi ungeendelea na kiswahili tu ningekuelewa hta kma tunatofautiana mawazo naheshim maoni yako ila kma hujui lugha vizuri sio lazima uitumie humu ilimradi uonekane msomi.... GROW UPI hope ccm inaweza kutoka madarakani lakin mi binafsi naona ni chama chenye uafadhar kuliko hizi takataka za wachumia tumbo , lowassa idadi ya miaka uliyoishi ndani ya ccm ni sawa sawa na miaka utakayoishi nje ya ccm, there is no way you can win Tanzanians hearts, you can't be blessed again, it your time to go down and still watching the race.
ivi ni lazima kutumia kiingereza na kiswahili muda mmoja?? nahisi ungeendelea na kiswahili tu ningekuelewa hta kma tunatofautiana mawazo naheshim maoni yako ila kma hujui lugha vizuri sio lazima uitumie humu ilimradi uonekane msomi.... GROW UPI hope ccm inaweza kutoka madarakani lakin mi binafsi naona ni chama chenye uafadhar kuliko hizi takataka za wachumia tumbo , lowassa idadi ya miaka uliyoishi ndani ya ccm ni sawa sawa na miaka utakayoishi nje ya ccm, there is no way you can win Tanzanians hearts, you can't be blessed again, it your time to go down and still watching the race.
Kwa hiyo rais wako magu alipoingia na kukuta hazina yote imekombwa na uozo kila kona ilisababishwa na MATAPELI WA CHADEMA???. So sad miaka 50 baada ya uhuru bado kuna watu wanafikra mbovu dhidi ya sera mbadala na hoja kinzani za wanamageuziMimi sio ccm ila chadomo ni chama la matapeli. Cuf ni chama la masultani.
Havitufai watanzania.
wazo lako binafsi ni mfuu, acha chuki na lowasaWaziri Mkuu wa zamani Edward Lowassa ameitaka CCM iache kujidanganya kuwa haiwezi kuondoka madarakani akiitaka iangalie alama za nyakati hasa mabadiliko ya uongozi yanayotokea kwingineko duniani.
Hata hivyo, Lowassa ambaye ni mjumbe wa Kamati Kuu ya CHADEMA amesema unahitajika muungano wa dhati wa vyama na uliopangiliwa vizuri katika juhudi za kuiondoa CCM madarakani.
Lowassa alisema hayo alipoombwa na mwandishi wa habari hizi kutoa tathmini ya maisha yake ya kisiasa mwaka mmoja na nusu tangu alipojiondoa CCM na kujiunga na CHADEMA ambako aliteuliwa kuwa mgombea urais wa chama hicho akiwakilisha muungano wa vyama vinne – CHADEMA, CUF, NCCR - Mageuzi na NLD – Iliopewa jina la Umoja wa Katiba ya Wananchi (UKAWA).
Chanzo: Gazeti la Mwananchi leo.
Wazo binafsi: Ni vyema Lowasa akajitambua kwani CCM haitaondolewa na upinzani unaongozwa na yeye wala Mbowe wala CHADEMA ya sasa.
Ccm bhana huwa mnajifanya watabiri wa kiti cha urais upinzani kila mwaka .... mwaka 2010 mkasema mbowe sijui asipewe maana hana ushawishi ghafla mkashangaa ameletwa slaa na kikwete wenu kuokolewa na lipumba.... mwaka jana mling'ang'ania slaaa sijui mzee kawa babu... little u expected akaja lowassa na kuwasomesha namba... sasa trend imeendelea na mnatutabiria mgombea 2020 atakuwa lowassa ccm bhanaLowassa awe Rais? Nchi gani hiyo? Mwaka Jana alinufaika na mgawanyiko ndani ya CCM lakini 2020 asahau kabisa. Ni bora wamshauri asigombee kabisa maana hatoamini kura kiduchu atakazopata!!
Unafikiri CCM itaondolewa lini na Chama gani kitakachoitoa CCM Madarakani?Waziri Mkuu wa zamani Edward Lowassa ameitaka CCM iache kujidanganya kuwa haiwezi kuondoka madarakani akiitaka iangalie alama za nyakati hasa mabadiliko ya uongozi yanayotokea kwingineko duniani.
Hata hivyo, Lowassa ambaye ni mjumbe wa Kamati Kuu ya CHADEMA amesema unahitajika muungano wa dhati wa vyama na uliopangiliwa vizuri katika juhudi za kuiondoa CCM madarakani.
Lowassa alisema hayo alipoombwa na mwandishi wa habari hizi kutoa tathmini ya maisha yake ya kisiasa mwaka mmoja na nusu tangu alipojiondoa CCM na kujiunga na CHADEMA ambako aliteuliwa kuwa mgombea urais wa chama hicho akiwakilisha muungano wa vyama vinne – CHADEMA, CUF, NCCR - Mageuzi na NLD – Iliopewa jina la Umoja wa Katiba ya Wananchi (UKAWA).
Chanzo: Gazeti la Mwananchi leo.
Wazo binafsi: Ni vyema Lowasa akajitambua kwani CCM haitaondolewa na upinzani unaongozwa na yeye wala Mbowe wala CHADEMA ya sasa.
Unaizungumzia ccm ipi. ccm ya wapiga dili ishatoka iko chadema na kinara wake baada ya mbowe kuwauzia. ccm inapigana kuzaliwa upya kwa kuondoa masalia ya wapiga dili na kuwarejeshea wavujajasho chama chao.Ccm mtang'oka wacheni kufikiri kwamba nyie ndio hati miliki ya hii nchi, ni kipi kinachowapa jeuri kiasi hicho, basi ipo siku mtakuja kudhania kwamba mwana ccm yeyote hatokufa maishani mwake kwa jinsi akili zenu msivyozishughulisha kufikiri.
Well saidLowassa hana madhara kama nyoka wa Bujora makumbusho asahau kabisa kuja kuwa rais wa nchi hii
Ona sasa akili zilizo mfu kwa hiyo mnawekaga uchaguzi wa nini kama hamtaki wapinga muungano wa serilakali mbili wachukue nchi?? Bunge la katiba mliweka majadiliano ya nni si mngesema simply tumefungwa na ushirikina kwa hyo tuache kipengele cha serikali mbili kma kilivyo. Watu wakitaka mabadiliko hta kma nchi imezindikwa hakuna kinachoweza kuzuia hivi ni nani aliyekuwa amejizindika zaidi ya hitler wa ujerumani au czar nicholas wa russia lakini wote walitolewa madarakani unconditionally sembuse wachawi wa kiccm ambao kuna walokole wachache tu walipiga maombi kule bombo hadi mkahamisha mizimu yenu na miuchawi yenu.Uko sahihi CCM haiwezi ondolewa na CHADEMA wala UKAWA wala LOWASA sababu wote hao ni wapinga muungano huu wa serikali mbili tulionao
Muungano wa Tanganyika na Zanzibar ambao huwa wanasema UKAWA na Lowasa na SEIF hawauelewi ulivyokaa huo wa serikali mbili uliomchanganya hata warioba na tume yake ndio mwamuzi wa nani afaa kuwa raisi wa Muungano au Zanzibar.
Muungano huo ulifanywa na mababu Wa TANGANYIKA na ZANZIBAR kwa Udongo uliochukuliwa pande mbili za muungano ukachanganywa kwenye chupa na dawa na wazee wakala yamini ya kutouvunja huo muungano hivyo hivyo ulivyo milele,wakapiga madua na manuizo ya kiutawala kwenye hiyo chupa.
Kwa hali ya kawaida ungetarajia ile chupa iliyochanganywa udongo iwe jumba la makumbusho.Haipo.Ilifanyiwa mauchawi ya kitawala ikaenda kutupwa katikati ya vilindi vya bahari huku wazee wakisoma madua kuwa yeyote atakayetaka kubomoa huo muungano abomoke yeye na kama akittaka uraisi popote iwe wa muungano wala wa Zanzibar asipate.Ukitaka kuuvunja hutakiwi kutumia porojo za kitoto za sijui rasimu ya kitoto ya katiba ya Warioba ETI ilitaka seikali tatu hutaweza!!! Katafute ile chupa uibomoe ndipo muungano utabomoka .
Ndio maana wapinga muungano huu kama ulivyo wote hakuna anayeweza kuwa Raisi awe wa Zanzibar au muunganoWote waliojaribu kuuvunja walikwama na waliojaribu kuuvunja ili wafanikiwe kuwa maraisi akiwemo SEIF SHARIFF hamad,LOWASA,warioba,mbowe,Lipumba,SLAA nk wote walikwama.Uwe CCM au nje ya CCM ukiupinga hushiki uraisi wa Tanzania uwe wa muungano au wa Zanzibar.Ni mawili tu uko na huu muungano ulivyo hutaki OUT.
HUO MUUNGANO NI KISIKI kwa Lowasa.Nashangaa kukaa kwake kote serikalini na Kingunge wake hawakuijua hiyo siri.Watu wazima hovyo kabisa.Lowasa alitakiwa alijue hilo kabla ya kwenda kujiunga na wapinga muungano wa serikali mbili.Ukitaka kushika uraisi lazima utake usitake ukubaliane nao kama ulivyo.HUU UJUMBE WAFIKISHIE UKAWA wote wanaodhani huu muungano ulivyo ni wa kuuchezea.Ukitaka kuubomoa unakubomoa.Ndio maana safari hii LOWASA na SEIF walikubaliana SEIF ashike uraisi Zanzibar LOWASA ashike uraisi muungano halafu wabomoe muungano huu wa serikali mbili.Kilichomkuta SEIF zanzibar haji kisahau.Na lowasa hana hamu na haelewi nini kilimtokea hadi leo.
HUO UKAWA ni umoja wa watu mbumbumbu wasiojua uchawi wa utawala.HILO LA KUTAKA KUVUNJA MUUNGANO ni kigezo kiukuu cha UKAWA kutoshika dola HATA WAJIZATITI VIPI.Muungano sio wa kugusa ndio maana hata CCM Haiugusi kabisa kusema twataka serikali tatu sababu wanaujua mziki wake wakiugusa kutaka kuufumua kitakachokuta hawaji sahau.UKAWA wasingekuwa wanapinga serikali mbili uchaguzi uliopita wangeweza shinda lakini walishindana na kisiki kikawachoma.
Ukweli Mchungu:Mimi sio ccm ila chadomo ni chama la matapeli. Cuf ni chama la masultani.
Havitufai watanzania.
Ina sound kama kuna kaukweli hapo hasa kuhusu hicho kibuyu walichochanganyia huo udongo hao mababu zetu enzi hizo za Ng'wanamalundi!Uko sahihi CCM haiwezi ondolewa na CHADEMA wala UKAWA wala LOWASA sababu wote hao ni wapinga muungano huu wa serikali mbili tulionao
Muungano wa Tanganyika na Zanzibar ambao huwa wanasema UKAWA na Lowasa na SEIF hawauelewi ulivyokaa huo wa serikali mbili uliomchanganya hata warioba na tume yake ndio mwamuzi wa nani afaa kuwa raisi wa Muungano au Zanzibar.
Muungano huo ulifanywa na mababu Wa TANGANYIKA na ZANZIBAR kwa Udongo uliochukuliwa pande mbili za muungano ukachanganywa kwenye chupa na dawa na wazee wakala yamini ya kutouvunja huo muungano hivyo hivyo ulivyo milele,wakapiga madua na manuizo ya kiutawala kwenye hiyo chupa.
Kwa hali ya kawaida ungetarajia ile chupa iliyochanganywa udongo iwe jumba la makumbusho.Haipo.Ilifanyiwa mauchawi ya kitawala ikaenda kutupwa katikati ya vilindi vya bahari huku wazee wakisoma madua kuwa yeyote atakayetaka kubomoa huo muungano abomoke yeye na kama akittaka uraisi popote iwe wa muungano wala wa Zanzibar asipate.Ukitaka kuuvunja hutakiwi kutumia porojo za kitoto za sijui rasimu ya kitoto ya katiba ya Warioba ETI ilitaka seikali tatu hutaweza!!! Katafute ile chupa uibomoe ndipo muungano utabomoka .
Ndio maana wapinga muungano huu kama ulivyo wote hakuna anayeweza kuwa Raisi awe wa Zanzibar au muunganoWote waliojaribu kuuvunja walikwama na waliojaribu kuuvunja ili wafanikiwe kuwa maraisi akiwemo SEIF SHARIFF hamad,LOWASA,warioba,mbowe,Lipumba,SLAA nk wote walikwama.Uwe CCM au nje ya CCM ukiupinga hushiki uraisi wa Tanzania uwe wa muungano au wa Zanzibar.Ni mawili tu uko na huu muungano ulivyo hutaki OUT.
HUO MUUNGANO NI KISIKI kwa Lowasa.Nashangaa kukaa kwake kote serikalini na Kingunge wake hawakuijua hiyo siri.Watu wazima hovyo kabisa.Lowasa alitakiwa alijue hilo kabla ya kwenda kujiunga na wapinga muungano wa serikali mbili.Ukitaka kushika uraisi lazima utake usitake ukubaliane nao kama ulivyo.HUU UJUMBE WAFIKISHIE UKAWA wote wanaodhani huu muungano ulivyo ni wa kuuchezea.Ukitaka kuubomoa unakubomoa.Ndio maana safari hii LOWASA na SEIF walikubaliana SEIF ashike uraisi Zanzibar LOWASA ashike uraisi muungano halafu wabomoe muungano huu wa serikali mbili.Kilichomkuta SEIF zanzibar haji kisahau.Na lowasa hana hamu na haelewi nini kilimtokea hadi leo.
HUO UKAWA ni umoja wa watu mbumbumbu wasiojua uchawi wa utawala.HILO LA KUTAKA KUVUNJA MUUNGANO ni kigezo kiukuu cha UKAWA kutoshika dola HATA WAJIZATITI VIPI.Muungano sio wa kugusa ndio maana hata CCM Haiugusi kabisa kusema twataka serikali tatu sababu wanaujua mziki wake wakiugusa kutaka kuufumua kitakachokuta hawaji sahau.UKAWA wasingekuwa wanapinga serikali mbili uchaguzi uliopita wangeweza shinda lakini walishindana na kisiki kikawachoma.
Katiba yetu inataka mgombea urais lazima awe na digrii angalao moja. Mbowe hana. Sasa Lowasa asipogombea urais 2020 unataka Lissu ndiye agombee? Are you serious kwamba rais wa awamu ya sita awe Tundu Lissu? Unajua yatakayotupata Lissu akiwa de presidaa?Lowasa anapoteza muda tuu,hawezi kuwa raisi
Kwani Lowassa ameshateuliwa kuwa Mgombea wa 2020?