Lowassa: CCM isijidanganye

m2020

JF-Expert Member
Jul 10, 2016
979
1,353
Waziri Mkuu wa zamani Edward Lowassa ameitaka CCM iache kujidanganya kuwa haiwezi kuondoka madarakani akiitaka iangalie alama za nyakati hasa mabadiliko ya uongozi yanayotokea kwingineko duniani.

Hata hivyo, Lowassa ambaye ni mjumbe wa Kamati Kuu ya CHADEMA amesema unahitajika muungano wa dhati wa vyama na uliopangiliwa vizuri katika juhudi za kuiondoa CCM madarakani.

Lowassa alisema hayo alipoombwa na mwandishi wa habari hizi kutoa tathmini ya maisha yake ya kisiasa mwaka mmoja na nusu tangu alipojiondoa CCM na kujiunga na CHADEMA ambako aliteuliwa kuwa mgombea urais wa chama hicho akiwakilisha muungano wa vyama vinne – CHADEMA, CUF, NCCR - Mageuzi na NLD – Iliopewa jina la Umoja wa Katiba ya Wananchi (UKAWA).

Chanzo: Gazeti la Mwananchi leo.

Wazo binafsi: Ni vyema Lowasa akajitambua kwani CCM haitaondolewa na upinzani unaongozwa na yeye wala Mbowe wala CHADEMA ya sasa.
 
Kwani Lowassa ameshateuliwa kuwa Mgombea wa 2020?
 
Kama hakukatwa angesema hayo anayosema leo? Leo hii CHADEMA wakimpiga chini kama CCM walivyofanya sina shaka ataanza ngonjera na CHADEMA!
 
Wazo lako binafsi ni batili na kujilisha upepo. Kama lengo lako kuleta mada nilikuwa kuweka Wazo binafsi hukuwa na haja ya kuunganisha kwenye mada iliyoandikwa gazetini na kuifanya leading source ya mtazamo wako. Sometimes ujinga ukizidi unajiona kama wewe ni maalumu wakati ni zero( patupu)
 
Waziri Mkuu wa zamani Edward Lowassa ameitaka CCM iache kujidanganya kuwa haiwezi kuondoka madarakani akiitaka iangalie alama za nyakati hasa mabadiliko ya uongozi yanayotokea kwingineko duniani.

Hata hivyo, Lowassa ambaye ni mjumbe wa Kamati Kuu ya CHADEMA amesema unahitajika muungano wa dhati wa vyama na uliopangiliwa vizuri katika juhudi za kuiondoa CCM madarakani.

Lowassa alisema hayo alipoombwa na mwandishi wa habari hizi kutoa tathmini ya maisha yake ya kisiasa mwaka mmoja na nusu tangu alipojiondoa CCM na kujiunga na CHADEMA ambako aliteuliwa kuwa mgombea urais wa chama hicho akiwakilisha muungano wa vyama vinne – CHADEMA, CUF, NCCR - Mageuzi na NLD – Iliopewa jina la Umoja wa Katiba ya Wananchi (UKAWA).

Chanzo: Gazeti la Mwananchi leo.

Wazo binafsi: Ni vyema Lowasa akajitambua kwani CCM haitaondolewa na upinzani unaongozwa na yeye wala Mbowe wala CHADEMA ya sasa.

Anaongelea CCM ipi wakati yy ndio CCM, atupishe!!!!
 
Kama hakukatwa angesema hayo anayosema leo? Leo hii CHADEMA wakimpiga chini kama CCM walivyofanya sina shaka ataanza ngonjera na CHADEMA!
Unaongea tu bila fact,unakumbuka wakat anaomba wadhamini arusha akiwa CCM,alisema muda Wa vyama vivyotafuta Uhuru kuendelea kukaa madarakani umepita,tukipewa ridhaa ya kuongoza nchi tufanye kazi kweli kweli maana vyama vyote karibia vinatoweka vile vya zamani
 
Waziri Mkuu wa zamani Edward Lowassa ameitaka CCM iache kujidanganya kuwa haiwezi kuondoka madarakani akiitaka iangalie alama za nyakati hasa mabadiliko ya uongozi yanayotokea kwingineko duniani.

Hata hivyo, Lowassa ambaye ni mjumbe wa Kamati Kuu ya CHADEMA amesema unahitajika muungano wa dhati wa vyama na uliopangiliwa vizuri katika juhudi za kuiondoa CCM madarakani.

Lowassa alisema hayo alipoombwa na mwandishi wa habari hizi kutoa tathmini ya maisha yake ya kisiasa mwaka mmoja na nusu tangu alipojiondoa CCM na kujiunga na CHADEMA ambako aliteuliwa kuwa mgombea urais wa chama hicho akiwakilisha muungano wa vyama vinne – CHADEMA, CUF, NCCR - Mageuzi na NLD – Iliopewa jina la Umoja wa Katiba ya Wananchi (UKAWA).

Chanzo: Gazeti la Mwananchi leo.

Wazo binafsi: Ni vyema Lowasa akajitambua kwani CCM haitaondolewa na upinzani unaongozwa na yeye wala Mbowe wala CHADEMA ya sasa.
Ccm mtang'oka wacheni kufikiri kwamba nyie ndio hati miliki ya hii nchi, ni kipi kinachowapa jeuri kiasi hicho, basi ipo siku mtakuja kudhania kwamba mwana ccm yeyote hatokufa maishani mwake kwa jinsi akili zenu msivyozishughulisha kufikiri.
 
CCM inaweza kuondolewa na wanachi chini ya upinzani uliopo chini ya Lowassa na Mbowe isipokuwa CCM hawako tayari kukabidhi nchi kwa karatasi.
 
I hope ccm inaweza kutoka madarakani lakin mi binafsi naona ni chama chenye uafadhar kuliko hizi takataka za wachumia tumbo , lowassa idadi ya miaka uliyoishi ndani ya ccm ni sawa sawa na miaka utakayoishi nje ya ccm, there is no way you can win Tanzanians hearts, you can't be blessed again, it your time to go down and still watching the race.
 
Ni vyema Lowasa akajitambua kwani CCM haitaondolewa na upinzani unaongozwa na yeye wala Mbowe wala CHADEMA ya sasa.

Uko sahihi CCM haiwezi ondolewa na CHADEMA wala UKAWA wala LOWASA sababu wote hao ni wapinga muungano huu wa serikali mbili tulionao

Muungano wa Tanganyika na Zanzibar ambao huwa wanasema UKAWA na Lowasa na SEIF hawauelewi ulivyokaa huo wa serikali mbili uliomchanganya hata warioba na tume yake ndio mwamuzi wa nani afaa kuwa raisi wa Muungano au Zanzibar.

Muungano huo ulifanywa na mababu Wa TANGANYIKA na ZANZIBAR kwa Udongo uliochukuliwa pande mbili za muungano ukachanganywa kwenye chupa na dawa na wazee wakala yamini ya kutouvunja huo muungano hivyo hivyo ulivyo milele,wakapiga madua na manuizo ya kiutawala kwenye hiyo chupa.

Kwa hali ya kawaida ungetarajia ile chupa iliyochanganywa udongo iwe jumba la makumbusho.Haipo.Ilifanyiwa mauchawi ya kitawala ikaenda kutupwa katikati ya vilindi vya bahari huku wazee wakisoma madua kuwa yeyote atakayetaka kubomoa huo muungano abomoke yeye na kama akittaka uraisi popote iwe wa muungano wala wa Zanzibar asipate.Ukitaka kuuvunja hutakiwi kutumia porojo za kitoto za sijui rasimu ya kitoto ya katiba ya Warioba ETI ilitaka seikali tatu hutaweza!!! Katafute ile chupa uibomoe ndipo muungano utabomoka .

Ndio maana wapinga muungano huu kama ulivyo wote hakuna anayeweza kuwa Raisi awe wa Zanzibar au muunganoWote waliojaribu kuuvunja walikwama na waliojaribu kuuvunja ili wafanikiwe kuwa maraisi akiwemo SEIF SHARIFF hamad,LOWASA,warioba,mbowe,Lipumba,SLAA nk wote walikwama.Uwe CCM au nje ya CCM ukiupinga hushiki uraisi wa Tanzania uwe wa muungano au wa Zanzibar.Ni mawili tu uko na huu muungano ulivyo hutaki OUT.

HUO MUUNGANO NI KISIKI kwa Lowasa.Nashangaa kukaa kwake kote serikalini na Kingunge wake hawakuijua hiyo siri.Watu wazima hovyo kabisa.Lowasa alitakiwa alijue hilo kabla ya kwenda kujiunga na wapinga muungano wa serikali mbili.Ukitaka kushika uraisi lazima utake usitake ukubaliane nao kama ulivyo.HUU UJUMBE WAFIKISHIE UKAWA wote wanaodhani huu muungano ulivyo ni wa kuuchezea.Ukitaka kuubomoa unakubomoa.Ndio maana safari hii LOWASA na SEIF walikubaliana SEIF ashike uraisi Zanzibar LOWASA ashike uraisi muungano halafu wabomoe muungano huu wa serikali mbili.Kilichomkuta SEIF zanzibar haji kisahau.Na lowasa hana hamu na haelewi nini kilimtokea hadi leo.

HUO UKAWA ni umoja wa watu mbumbumbu wasiojua uchawi wa utawala.HILO LA KUTAKA KUVUNJA MUUNGANO ni kigezo kiukuu cha UKAWA kutoshika dola HATA WAJIZATITI VIPI.Muungano sio wa kugusa ndio maana hata CCM Haiugusi kabisa kusema twataka serikali tatu sababu wanaujua mziki wake wakiugusa kutaka kuufumua kitakachokuta hawaji sahau.UKAWA wasingekuwa wanapinga serikali mbili uchaguzi uliopita wangeweza shinda lakini walishindana na kisiki kikawachoma.
 
Unaongea tu bila fact,unakumbuka wakat anaomba wadhamini arusha akiwa CCM,alisema muda Wa vyama vivyotafuta Uhuru kuendelea kukaa madarakani umepita,tukipewa ridhaa ya kuongoza nchi tufanye kazi kweli kweli maana vyama vyote karibia vinatoweka vile vya zamani

Kwenye red, kwanini akatumia gharama kubwa kugombea kwa chama ambacho muda wake 'umepita'? Iko siku Watanzania wataelewa nini kinapiganiwa, na watabaki mdogo wazi.
 
Ccm mtang'oka wacheni kufikiri kwamba nyie ndio hati miliki ya hii nchi, ni kipi kinachowapa jeuri kiasi hicho, basi ipo siku mtakuja kudhania kwamba mwana ccm yeyote hatokufa maishani mwake kwa jinsi akili zenu msivyozishughulisha kufikiri.
Siyo kwa Wagombea hawa wa kuokoteza!!
 
CCM inaweza kuondolewa na wanachi chini ya upinzani uliopo chini ya Lowassa na Mbowe isipokuwa CCM hawako tayari kukabidhi nchi kwa karatasi.
Lowassa awe Rais? Nchi gani hiyo? Mwaka Jana alinufaika na mgawanyiko ndani ya CCM lakini 2020 asahau kabisa. Ni bora wamshauri asigombee kabisa maana hatoamini kura kiduchu atakazopata!!
 
Back
Top Bottom