Lowassa anaota ndoto za muchana. Watanzania sio wajinga. Hawawezi kumpigia kura kiongozi mwenye ubinafsi kutoka kwenye uongozi wa haki na ukweli wa Rais Magufuli no chance. . Lowassa alihama CCM siyo kwa kuchukia wizi uliokuwepo kwenye uongozi uliyopita, kwani alikuwa ni mmojawapo aliyejitajirisha kwa mali ya Watanzania. Amehana CCM kwa ubinafsi wake wa kutaka kuwa Rais kwa manufaa yake binafsi na siyo kuwatumikia Watanzania. Lowassa Alikuwa na kiu CHA Urais ili aendelee kujitajirisha kwa kutumia mali za wengi. Leo Lowassa angekuwa Rais Mbowe angejinyakulia jengo la National Housing ambalo ALISEMA ana share kubwa kwa mukataba wa ujanja, lakini chini ya uongozi wa Rais Magufuli, ulipiga ukuta. Mpaka Leo ni kimya bado Watanzania wanadai zaidi ya billioni 1.3 kutoka kwa Mbowe, na huyu ndiye ati kiongozi wa wapinzani, hii ni kuchezea Akita za Watanzania. Wapinzani waamuke, Watanzania siyo wajinga, wameibiwa vya kutosha.. CHADEMA na vyama vingine unless wawateme Mbowe na Lowassa, vyama vyao havitaheshimiwa, kwasababu viongozi wana record mbaya ya kutoaminiwa. Chini ya uwongozi wa Mbowe na Lowassa wapinzani hawana chance ya kuishinda CCM chini ya uongozi wa Rais Magufuli, hizo ni ndoto za MCHANA. Lowassa akachunge ngo'ombe kama alivyoahidi, na Mbowe awalipe Watanzani PESA zao ili zitumike kuwapa huduma bora Watanzania.