zitto junior
JF-Expert Member
- Oct 7, 2013
- 22,793
- 36,360
Kinajishtukia na kujirekebisha?? Mbona mmepandikiza ubaguzi zenji eti ni ya watu weusi mbona hayo maneno mandela hakusema south africa ingawa waliteswa sana na wazungu??Ukweli Mchungu:
- Chadema, Ni Chama Ambacho Ni Kitega Uchumi Cha Wachagga Na Mtei
- CUF, Ni Chama Chenye Itikati Ya Kidini ( Wakati Tanzania Ina Watu Wenye Imani Tofauti )
- UDP Ni Chama Cha Kujipatia Fursa Za Kiuchumi Kwa Familia Ya Cheyo Na Kaka Yake Ambaye Ni Katibu Mkuu.
- ACT Kilianza Vizuri Ingawa Naona Kimeokoteza Wafuasi Wengi Wa Dini Moja Kutoka Mkoa Mmoja Kigoma
- TLP, ADC, Vyote Hakuna Kitu
....
Wakati Huo Huo CCM Ni Chama Cha Siasa Chenye Msingi Madhubuti Mno, Kila Kila Mkoa, Kila Mtaa, Kila Kitongozi, Kila Familia Kuna Mtu Anaipenda CCM, Kila Kanda, Pande 2 Za Muungano, Dini Zote, Makabila Yote
- CCM Ni Chama Tajiri Chenye Nguvu Mno, Kina Ushawishi Mpaka Jeshini
- Na Kizuri Zaidi CCM Ni Chama Ambacho Huwa Kinajishtukia Na Kujirekebisha Kikifanya Mabaya Mambo Ambayo Upinzani Hawafanyi - Ukiwakosoa Tu Umejimaliza.
Wanajirekebisha?? Mbona bungeni hawanaga hoja nzito za kuiisimamia serikali zaidi ya kusema NDIO na kupiga meza.
Wanajirekebisha?? Mbona kika uchaguzi wanahonga wananchi maskini ili wapate kura vilevile hta ndnai ya ccm kma huna pesa ni ngumu kupewa nafasi ya uongozi maana kuhonga wajumbe ni kma jambo la lazma ndo wakupigie kura.
Mbona kila uchaguzi mnachakachua na kutumia vyombo vya dola kung'ang'ania madaraka hata kama wananchi hawawataki???
Niishie hapa kwa sasa maana unaniongezea jazba mchana wote huu
wa FISIEM