Lowassa: CCM isijidanganye

Lowassa: CCM isijidanganye

Chadema (Chama cha Demokrasia ya Matope)
 
Angefanya nini kwa mfano...muulize raila kilichomkuta..
Raila kilimkuta nini? kma sio kubembelezwa na kina mkapa na kofi annan leo hii kenya ingekuwa somalia. Hvi mtu mwenye back up ya kura million 8 kma lowassa akiamua kweli kuwaamsha watu waingie barabarani unafkiri angeshindwa ukizingatia hasira walizokuwa nazo wananchi kuhusu ccm na kikwete wao?? Msipende kuestimate mambo maana siku yakitokea mtaanza kulialia kusaka amani mubaraka sijui morsy na jeshi lakeblote walishindwa kudhibiti nguvu ya umma sembuse nyie ccm mlivyochokwa vile?? Hasa miji mikubwa kma dar arusha moshi iringa mbeya tanga mnafkiri pangekalika?? Nonsense
 
Umeona...watu yaani hawajajielewa ..upinzani uliopo sasaivi umesha sambalatika...kama umoja ninguvu ...wapi nguvu yakuitoa ccm kwa sasa??
Upinzani gani umesambaratika???nyie mnaamini UKAWA itakufa kwa kuwa mnamtumia lipumba kuubomoa?? Mnajidanganya kma haukufa 2015 kipindi wamejitoa na slaa basi mtasubiri sana.
Labda nikubaliane na wwe ila sasa najiuliza swali hapa kama kweli umekufa upinzani Mbona mnatumia nguvu kuuzima kma umeshasambaratika??
Si muweke tume huru maana tumeshambaratika
Si mruhusu mikutano maana tumesbaratika
Si muache bunge live maana tumesambaratika
Si msifungie magazeti pinzani kma mawio maan tumesambaratika
Si mtoe sheria kandamizi za mitandao maana tumesambaratika hvo hatuna madhara
Kuna bwana mmoja alitaka kushkuru wapiga kura kwa kumpa kura mamilion ila mlimzuia sasa kwa kuea tumesambaratika kwanni basi mnamzuia wakati hana madhara???
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom