Lowassa azomewa na wanachama wa CHADEMA

Muda mwingine ukikosa vyakuandika n boraa ukakaa kimyaaaa tu
 
habar inaning'inia ka zile pichu za vip enz hizooo bila shaka ulizivaa
 
Wana CCM hao hakuna chadema hapo.
 
Wewe chadema uliingia lini hadi Leo unasema hutaki chama kipotee? Acha ushabiki wa uwongo. Ww ni ccm tu. Kama vip toroka uje ndo uongee
 
Wamzomee alafu waachwe hai kwenye ile nyomi?
Unawajua vijana wa UKAWA au unawasikia?
 

Katika watu wajinga wewe ni Mpumbavu. Mbona husemi kazomewa wapi? au ndiyo pesa mnazopewa na ccm? angalia usipende kuwaongopea watu waliochoka.
 

Wewe lini umejiunga na Chadema? acha unafiki ukizani itawasaidia kumbe mnaendelea kutufanya tuichukie ccm kuliko mnavyodhani
 

atakuwa yule jamaa kakodisha wazoa taka ma kunuinua tsht za cdm ili kumuua mamvi nguvu ila sisi alipo tupooooo endeleeni kununua tsht tupate mapene ya come pain na mumwambie huyo anayewatuma kachelewa mabadilikooooooooo
 

Wewe tumekuwa tunajibishana hapa leo ndiyo umejiunga na Chadema? Mnafiki mkubwa
 

ile meremeta ni ya nani ......kiwira je?
yule aliyetukatiaga umeme hapa mkewe akaapata tenda ya kuuza mageneteta unamjua??????? enzi hizo??? mfyuuuu
 
Hao ni CCM wanajiingiza kwenye mikutano yake. Kwa taarifa waambieni watapigwa iko siku yao.
Kama waliweza kufanya mipango hapa Dar akina Masaburi why washindwe kupandikiza vibaraka kwenye mikutano???
Bafffffffffff CCM
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…