Achen kupanic, leo jion ni mafuriko, maduka yanafungwa hahahahaha
Mabadiliko lowasa.....
Hata mie duka langu ningefunga, kujiepusha na majangili wanaotumia nafasi za mikutano ya kishabiki kama hii kupora mali za watu. Wenye maduka wanajiepusha na hasara ndugu, lakini sio ushabiki wa kisiasa